DROO za kila wiki za kampeni ya NMB MastaBata-Kote Kote zimetamatika leo Ijumaa, tarehe 27 Januari 2023 baada ya zoezi la kuwapata washindi...
By Gabriel MushiJanuary 28, 2023MWILI wa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, aliyefia vitani nchini Ukraine akiipigania Urusi, Nemes Tarimo, umewasili nchini leo Ijumaa saa 10:25...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2023MSANII Peter Msechu amekuwa miongoni mwa watu waliopatiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni (intragastric balloon) katika hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2023BENKI ya NMB imeendelea kuboresha rekodi yake ya kutengeneza faida baada ya mwaka 2022 kuongeza kwa kiasi kikubwa pato hilo na kutenga Sh...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2023MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam imewahukumu Abdalah Ngoma na Hamis Abdul kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2023JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema hali ya ulinzi na usalama wa nchi ni shwari kwani limeendelea kudhibiti matukio makubwa yanayoweza kuleta...
By Regina MkondeJanuary 26, 2023MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuwa tishio na changamoto kubwa hapa Visiwani, kutokana...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (CCM), ameongoza harambee ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Muhoji, inayojengwa ili kutatua changamoto...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeelezwa kuwa, kikao cha Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi, kilichomuondoa madarakani aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2023WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, ametembelea Makao Makuu ya Benki ya NMB na kuipongeza Menejimenti...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2023SERIKALI imeongeza siku 14 kwa Watanzania waliosajili laini zao za simu kuhakiki laini hizo kabla ya kufikia tarehe 13 Februari, 2023 saa...
By Danson KaijageJanuary 24, 2023SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknologia ya Habari imeunda kamati ya watu tisa itakayoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media...
By Danson KaijageJanuary 24, 2023AFISA Usajili wa Biashara kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Gift Raphael, amesema wafanyabishara na wawekezaji wanaotumia jina ya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023MENEJA Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi wa Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili Dk. Elikana Kalumanga amesema shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo ni moja...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023WAKALA wa Barabara nchini – Tanroads mkoa wa Arusha imeanza kutekeleza zoezi la kubomoa vibanda vilivyojengwa ndani ya eneo la hifadhi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023HATIMAYE Serikali ya Tanzania kwa mara ya kwanza imetoa kauli kuhusu Mtanzania, Nemes Tarimo aliyefariki dunia vitani nchini Ukraine akiipigania Urusi na...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, madai ya upatikanaji katiba mpya, yanatakiwa yaende sambamba na uimarishwaji wa uhuru wa...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Mbeya, ifanye...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema katika Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, Serikali inapendekeza wakwe kuingizwa katika bima hiyo.Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 23, 2023JESHI La Polisi mkoani Mbeya linawashukilia watu saba kwa tuhuma za mauji ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Handeni, Joakim Mwakyolo yaliyotokea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Mgodi wa Igalula uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Hussein Makubi ameiomba serikali kupitia Wizara ya Nishati kuwaletea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023MWAKILISHI wa kikosi kazi cha Serikali kinachoshughulikia Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, Bernard Konga amesema katika marekebisho yanayofanywa kwenye muswada huo,...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023TUME ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), inafanya ziara Tanzania kuanzia tarehe 23 hadi 27 Januari 2023 kwa ajili...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023SEKTA ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeazimia kuwasilisha kwa Maakmu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ambaye pia...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko ameitaka Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuwafikisha kwenye...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale ya...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2023MSHINDI wa kampeni la NMB MastaBata Kote-Kote inayoendeshwa na Benki ya NMB, Emmanuel Marumbo kutoka mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki yake aina ya...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023WINFRIDA Mandindile (17), amejinyonga kwa madai ya mzazi mwenzie kugoma kutoa fedha za matumizi ya mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja....
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir, ameunda tume ya watu saba kwaajili ya maboresho ya Baraza Kuu la...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023WAZIRI wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika hususan katika...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023MAMLAKA ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma nchni (PPRA) imeeleza kuwa utumiaji wa utaratibu wa kikosi kazi “ Force Account “katika utekelezaji wa miradi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema linatarajia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, atatimiza ahadi yake ya kupeleka...
By Regina MkondeJanuary 19, 2023NDUGU wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa...
By Faki SosiJanuary 19, 2023RAIA wa Tanzania, mwanachama mwandamizi na kada mashuhuri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tarimo Nemes Raymond, amefariki dunia akiwa vitani...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2023SERIKALI ya Tanzania ipo katika maandalizi ya mwisho ya kufanya utafiti wa hali ya umasikini nchini kwa mwaka 2023/2024. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kupungua kwa mfumuko wa bei za vyakula na vinywaji baridi, kutoka asilimia 9.7, kufikia Machi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Camilus Wambura leo tarehe 17 Januari, 2023 amewatangazia vijana walioomba kuajiriwa na Jeshi la Polisi usaili...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023BAADHI ya waumini wa Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam wamejitokeza mbele ya kanisa hilo wakiwa na mabango...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Januari, 2023 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World...
By Gabriel MushiJanuary 17, 2023TAARIFA ya likizo ya siku 60 ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani,...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imejipanga kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha uchumi unaendelea kukukua kwa kusimamia urekebishwaji wa baadhi...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewataka Majaji wa Mahakama nchini kuzingatia weledi, kufuata misingi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023MKURUGENZI wa Kampuni ya Agricultural Pharm, Khamis Mgeja, ameiomba Serikali kutatua changamoto ya huduma za pembejeo vijijini ili kuwaondolea wakulima adha ya kutembea...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemkabidhi Afisa mkuu wa Teknolojia na mabadiliko ya kidigitali wa...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe hususan katika mkoa wa Ruvuma umeendelea...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameishauri Serikali iweke misingi imara itakayosaidia kujenga uhuru wa kudumu...
By Regina MkondeJanuary 16, 2023