Thursday , 25 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Nchimbi: Uhusiano wa Tz, Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema CCM chini ya Mwenyekiti Rais Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano...

Habari Mchanganyiko

TMA yatoa tahadhari ya mvua ya Masika

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua za wastani hadi juu ya wastani kwa msimu wa...

Habari Mchanganyiko

ATE yaipongeza GGML kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi wanawake 23

CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutoa nafasi za juu...

Habari Mchanganyiko

‘BBT yazidi kukonga mioyo ya Watanzania

WADAU mbalimbali kutoka sekta za kilimo, mifugo na uvuvi wamepongeza utekelezaji wa mpango wa Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) kama njia itakayosaidia kuzinua...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Exim yaungana na Dk. Mwinyi kuchochea utalii Z’bar

Benki ya Exim Tanzania imesisitiza dhamira yake kuhudumia wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ndani na nje ya nchi ili kuunga mkono na...

Habari Mchanganyiko

Vijini 68 Musoma kupata maji ya Ziwa Victoria

WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji 68 vya jimbo la Musoma Vijijini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

TMA yawanoa wanahabari kuelekea msimu wa mvua wa Masika 2024

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali kujadili kuhusu utabiri wa msimu wa Masika (Machi –Mei)...

Habari Mchanganyiko

Wakazi kwa mawaziri walia majitaka kusambaa mitaani

WAKAZI zaidi ya 4,000 wa mitaa ya Eyasi, TPDC na mtaa wa kwa mawaziri, Mikocheni jijini Dar es Salaam, wanakabiliwa na adha ya...

Habari Mchanganyiko

Viumbepori, bahari hatarini kutoweka

KUKOSEKANA juhudi za pamoja za Serikali, wadau wa uhifadhi na wananchi kukabiliana na uvunaji haramu wa viumbepori na bahari baada ya miaka mitano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TPSF yataja mbinu ya kuibua vipaji vipya taaluma ya madini

Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Raphael Maganga ametoa wito kwa kampuni za sekta binafsi kuiga mwongozo wa Kampuni ya Geita...

Habari Mchanganyiko

Kampuni 500 kushiriki maonyesho ya TIMEXPO 2024

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini  ( CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade), wamezindua  mipango ya ushiriki wa Maonesho ya...

Habari Mchanganyiko

NIMR: Simu kutumika kufanya utafiti wa magonjwa yasiyoambukiza

  TAASISI ya Taifa ya Tafiti za Magonjwa ya Binadamu NIMR kwa kushirikiana na Wizara ya Afya hivi karibuni inatatarajia kuanza kufanya utafiti...

Habari Mchanganyiko

Uwekezaji mkubwa wa Serikali wafanikisha ukamataji wa shehena ya dawa za kulevya

  SERIKALI kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya...

Habari Mchanganyiko

Kuelekea Masika 2024, TMA yapongezwa kwa ushirikiano wao na wadau

  MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ameipongeza TMA kwa kuendelea kushirikisha sekta mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 40 waula GGML, kupata mafunzo kazini kwa mwaka 1

KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imezindua mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Watetezi haki za binadamu waikaba koo Serikali kisa mgawo wa umeme

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto ya mgawo wa umeme kwa kuwa tatizo hilo linakiuka haki za binadamu hususan ya kufanya...

Habari Mchanganyiko

CWT yampiga ‘stop’ kigogo aliyegomea uteuzi

BUNDI ameendelea kukiandama Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya Baraza la Kuu la chama hicho kumsimamisha ukatibu mkuu Japhet Maganga. Anaripoti Danson...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Paroko amshukia diwani, mbunge Ulanga

PAROKO wa Kanisa Katoliki la Sali, Padri Charles Kuandika, amemshukia Mbunge wa Ulanga Mashariki, Salim Almasi (CCM) na Diwani wa Kata ya Sali,...

Habari Mchanganyiko

Usawa wa kijinsia waweka salama shoroba

UZINGATIAJI usawa wa kijinsia kwenye usimamizi wa shoroba saba ambazo zipo kwenye Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili umewezesha shoroba hizo kuwa salama na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rostam amuaga Lowassa kwa machozi

  MFANYABIASHARA, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli...

Habari Mchanganyiko

Serikali yasaka wawekezaji uzalishaji sukari

  SERIKALI imeanza utekelezaji mikakati ya kutafuta wawekezaji kwenye sekta ya uzalishaji sukari ili kukabiliana na upungufu wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mzee Mwinyi aendelea na matibabu chini ya uangalizi wa madaktari

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, anaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari, huku familia ikiwaomba Watanzania wamuombee...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa acharuka barabara kuharibika kabla ya muda

WAZIRI  wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kutafuta ufumbuzi kuhusu suala la kuharibika kwa barabara kabla ya muda uliopangwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Askofu Malasusa awataka viongozi wa kisiasa kumrudia Mungu

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amewataka viongozi wa kisiasa kufanya ibada kulingana na imani zao ili...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaiamuru Serikali kuwalipa mamilioni wakazi Loliondo kwa kutaifisha mifugo yao

SERIKALI imeamriwa kuwalipa kiasi cha Sh. 169.2 milioni, baadhi ya wakazi wa Loliondo  mkoani Arusha, kama fidia ya kutaifisha mifugo yao kinyume cha...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujumbe wa Kwaresma: TEC walia na malezi katika familia, viongozi wasiowaadilifu

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...

Habari Mchanganyiko

Askofu aonya jamii kutokwepa kuwahudumia walemavu

Wito umetolewa kwa jamii ya Watanzania kutokwepa wajibu wa kuwahudumia watu wanaoishi na ulemavu sambamba na kuhakikisha kuwa kundi hilo linapata mahitaji mbalimbali...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx Gas yatimiza ombi la Dk. Mwinyi, yagawa mitungi 1,000 Z’bar

KAMPUNI ya gesi ya Orxy imetekeleza maombi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kupeleka mitungi ya gesi...

Habari Mchanganyiko

Bodi mpya NEEC yapewa ujumbe mzito

NAIBU Waziri  wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga amewataka wajumbe wa Bodi ya Saba ya Baraza la...

Habari Mchanganyiko

Kiwanda cha sukari cha Mkulazi yaingiza shehena za sukari mtaani

  KIWANDA kipya cha Sukari cha Mkulazi kilichopo wilayani Kilosa, Morogoro kimeingiza rasmi sheheza za bidhaa ya sukari kwa matumizi ya majumbani kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Ujenzi kituo cha kupoza umeme GGML wafikia 95%

JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), zimezidi...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi wa bwawa la Kidunda wafikia 15%

Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bwawa la maji Kidunda mkoani Morogoro, unaotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara...

Habari Mchanganyiko

Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge (WMA)

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewahamasisha viongozi wa vikundi 10 vilivyomo katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kigogo Bakwata akatwa mkono, mtuhumiwa auawa

KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Bukoba Mjini, Hamza Zacharia Abdallah, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga yaliyomsababishia kupoteza...

Habari Mchanganyiko

Polisi wachunguza kifo mkuu wa kituo aliyedaiwa kuuawa na polisi

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limetangaza kuendelea kufanya uchunguzl wa tuklo la mauaji ya Mkuu wa kituo kidogo cha Polisi Chiungutwa Wilaya ya...

Habari Mchanganyiko

Ulanga wapigwa msasa kuhusu elimu ya sheria

KATIKA kuadhimisha wiki ya sheria nchini, Mahakama ya Wilaya Ulanga imetoa elimu ya sheria kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwigulu: Ushirikiano mzuri umestawisha sekta ya madini Tz

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Serikali na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu, mkewe mbaroni kwa kumficha mtoto (8)

JESHI la polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Baraka Mwashihuya mkazi wa kitongoji cha Tazara – Mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Madaktari wazawa watenganisha watoto mapacha walioungana

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yaweka historia mpya, faida yapaa hadi bil. 775

BENKI ya NMB imeweka rekodi mpya ya ufanisi kiutendaji kwa kutengeza faida kabla ya kodi ya TZS bilioni 775 na kupata mafanikio mengine...

Habari Mchanganyiko

Oryx Gas yakabidhi mitungi 700 kwa waziri Jafo

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemani Jafo wamekabidhi ...

Habari Mchanganyiko

Bihimba atoa msaada ujenzi wa madrasa

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ametoa msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madrasa iliyopo katika msikiti wa Aisha, Kivule jijini...

Habari Mchanganyiko

Watalii 534,065 waingiza bil. 123 Ngorongoro

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Richard Kiiza amesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza kasi...

Habari Mchanganyiko

PAC: OSHA itumike kuainisha viwango vya usalama, afya katika ununuzi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri serikali kuutumia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuainisha...

Habari Mchanganyiko

NMB yaandika historia kukuza uchumi wa Taifa kidijitali

BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushirikiana katika uundaji na uboreshaji wa mifumo ya Tehama...

Habari Mchanganyiko

Ushirikiano NMB Foundation, NGO’s kunufaisha Watanzania

NMB Foundation imesaini makubaliano ya kushirikiana na asasi mbili kubwa za kiraia nchini yenye lengo la kuendeleza ustawi wa jamii na kutekeleza mipango...

Habari Mchanganyiko

EBN yatoa gari Burunge WMA kusaidia kupambana na ujangili

KAMPUNI ya Uwindaji wa Kitalii ya EBN Hunting Safari Ltd ambayo inafanya shughuli zake katika kitalu cha uwindaji cha Hifadhi ya Jamii ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shule za serikali zang’ara matokeo kidato cha nne, 102 wafutiwa matokeo

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, ambapo watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Vituo vya huduma kwa jamii vyaanza kutumika Dar

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekamilisha ujenzi wa vituo 30 vya huduma kwa jamii (Public Sanitary Service...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 50 wapatiwa mafunzo kazini, 15 waula mgodini

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga na kuwapatia vyeti wanafunzi 50 kutoka vyuo vikuu waliokuwa wanafanya kazi katika mgodi huo kupitia...

error: Content is protected !!