Benki ya NMB imekamilisha zoezi la kuunganisha mfumo wake mkuu wa kibenki na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2024SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI), limeiomba serikali na taasisi zake kulinda viwanda vya ndani kwa kununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda hivyo kama...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2024MFUKO wa Self unaoendeshwa na Serikali, unakusudia kupanua wigo wa utoaji ukilenga kutimiza idadi ya matawi 20 nchi nzima, hatua inayotokana na...
By Jabir IdrissaMarch 13, 2024MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) wamewafikisha katika...
By Yusuph KayandaMarch 13, 2024WAKULIMA wa Mpunga Kata ya Madibira wilaya ya Mbarali, Mbeya wameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa Mradi wa...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2024Raia mmoja wa Korea Kusini amekamatwa nchini Urusi kwa madai ya ujasusi na kuzuiliwa katika mji wa mbali wa mashariki mwa nchi wa...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2024SERIKALI imeziagiza halmashauri zote nchini kuweka sheria kali kwa ajili ya kuwashughulikia watu watakaotiririsha maji taka wakati wa mvua, lengo likiwa ni kudhibiti...
By Regina MkondeMarch 12, 2024MAGONJWA yasiyopewa kipaumbele ya Mabusha na Matende, bado yanaendelea kusumbua kata 10 za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, kutokana...
By Regina MkondeMarch 12, 2024AngloGold Ashanti ambayo ni kampuni mama ya Geita Gold Mining Limited imemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa sehemu ya mabadiliko chanya ya...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2024MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Nsemwa, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kuanzisha kozi ya uchunguzi wa masuala ya ufisadi...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2024SERIKALI ya Thailand imepanga kufufua mpango wa wa biashara ya mwanamke kukubali kushika mimba na kujifungua mtoto kwa niaba ya familia fulani maarufu...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2024NAIBU Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN), Nada Alnashef, amefanya mazungumzo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2024WATU tisa wamenusurika kufa baada ya boti ya uvuvi ya My Legacy inayomilikiwa na Yakoub Juma, kuzama katika baharini maeneo ya ufukwe wa...
By Regina MkondeMarch 11, 2024KITUO cha Msaada wa Kisheria cha Ngorongoro (NGOLAC)mkoani Arusha, kimewataka wananchi wanaokumbana na matatizo ya ukatili wa kijinsia, wafike ofisini kwao kwa ajili...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2024SERIKALI ya Tanzania, imeibwaga Kampuni ya Alchemist Energy Trading DMCC, katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC), baada ya kampuni hiyo ya kiarabu...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2024BARAZA la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali za wanawake hapa nchini kesho Jumapili wameandaa hafla maalumu ya...
By Gabriel MushiMarch 9, 2024KATIKA kuandimisha ya siku ya mwanamke duniani yanayofanyika tarehe 8 Machi, kila mwaka, wanawake wa kata ya Kideleko katika halmashauri ya mji...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2024KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imekabidhi msaada wa vifaa tiba vikiwemo vya viti mwendo na mashine za kupima presha vyenye thamani ya...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2024WATAALAM kutoka Benki ya Dunia wanaendesha semina kwa Wataalam wanao simamia utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2024Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya watu na kujimilikisha kinyume na utaratibu jijini Dar es salaam ajulikanae kama Paul Mushi leo Ijumaa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2024WAKULIMA wanaozalisha mazao ya viungo kwa mfumo wa kilimo hai katika vijiji vya Kizerui na Antakae wilayani Muheza mkoani Tanga wameiomba Serikali kutengezeza...
By Seleman MsuyaMarch 8, 2024HOSPITALI ya Kitonka iliyopo Gongolamboto Dar es Salaam, imeshinda kesi ya uzembe iliyofunguliwa na mgonjwa wake, Mwalu Dege akiidai fidia ya Sh700 milioni...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2024Mkuu wa mkoa wa Songwe Dk. Fransis Michael ameshangazwa na mienendo ya kesi zinazowahusu watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi na kukatisha masomo yao,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeanza rasmi nchini ikiwa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2024JUMLA ya wafanyakazi watano wanawake kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu mafunzo ya juu ya uongozi na kutakiwa kutumia elimu...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2024WAKAZI saba wa Jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya mahakimu watatu tofauti wakikabiliwa na kesi...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2024WAZIRI Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewanyooshea kidole wazazi kutokana na mmomonyoko wa maadili kwenye...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2024Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takribani miaka saba kwamba anaidai fidia ya Sh 987...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2024SERIKALI imeiagiza wenye maabasi nchini kuhakikisha madereva na wahudumu wao wote wa usafiri wa umma nchini wanapata mafunzo ya namna ya kutoa huduma...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2024Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2024Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua katika Manispaa ya Mkoa wa Lindi kutoka asilimia mbili hadi asilimia 1.7 mwaka 2023 hali ambayo imewezesha...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2024SERIKALI imekiita mezani Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA), ili kutafuta suluhu ya mvutano wao kuhusu matumizi ya kitita kipya cha gharama za...
By Regina MkondeMarch 1, 2024IMEELEZWA kuwa zao la karafuu ambalo kwa sasa linalimwa pia katika mkoa wa Morogoro limetajwa kuwa miongoni wa zao la kimkakati ambalo linatarajiwa...
By Mwandishi WetuFebruary 29, 2024WASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu iliyoendeshwa na Benki ya NMB kwa miezi mitatu ‘NMB MastaBata – Halipoi’ na...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024WATU wanne wakiwamo abiria watatu na rubani mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano katika Hifafhi ya Taifa ya Serengeti....
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis amelazimika kufuta mkutano na waumini mjini Vatican jana Jumatatu asubuhi baada ya kubainika kuwa anasumbuliwa na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali pamoja na wajasiriamali katika mkoani Kilimanjaro wamepatiwa bure mitungi ya gesi ya Oryx 1000 pamoja na majiko...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametoa wito kwa wahitimu wa vyuo vikuu waliojiunga na program ya mafunzo tarajali katika Kampuni ya...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori nchini inahusisha mnyama tembo, huku simba, boko, mamba, fisi na nyati wakichangia...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limewataka Watanzania kujitokeza kutembelea vivutio vya utalii ili kuongeza mapato ya ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Timu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Nje Jogging imeshiriki mashindano ya Mbio za Kimataifa...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2024Watu 25 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema ili kukabiliana na migongano kati ya binadamu na wanyamapori ni vema kwa wadau wote kushiriki kutoa elimu...
By Seleman MsuyaFebruary 24, 2024SHAHIDI ambaye ni fundi Seremala, Dominic Mpakani (43) ameileza mahakama jinsi mtuhumiwa Bharat Nathwan (57) alivyomshambulia jirani yake, Lalit Ratilal kwa kumpiga kichwa...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imehitimisha mafunzo kwa maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024KATIKA kukabiliana na uhaba wa watalaam wa uchimbaji wa kina kirefu chini ya ardhi (Underground Mine), Chemba ya Migodi Tanzania (TCM) kwa kushirikana...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema CCM chini ya Mwenyekiti Rais Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua za wastani hadi juu ya wastani kwa msimu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutoa nafasi za juu...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024