SERIKALI ya Tanzania, imeziagiza kamati za kutokomeza ukatili wa kijinsia zishirikiane na vyombo vya dola, kutokomeza mauaji yanayosababishwa na migogoro ya kifamilia....
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, linawashikilia watu sita wakituhumiwa kuhusika na matukio saba ya mauaji yaliyotokea katika nyakati tofauti mkoani humo. Anaripoti...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022HELMAN John, anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na mpini wa jembe mama yake, Celina William, akimdai fedha kiasi cha Sh. 300,000. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi feki za Mabingwa wa kihistoria wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 2, 2022LEO Jumatano tarehe 2 Februari 2022 ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mgeni rasmi kwenye...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2022JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu utata wa tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Grayson Mahembe...
By Kelvin MwaipunguJanuary 31, 2022KUNDI la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika, Aliko...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesogeza mbele kwa siku moja (sawa na saa 24) sherehe za Siku ya Sheria kutoka tarehe 1 Februari...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Hamad Masauni ameitisha kikao cha watendaji wakuu wa jeshi la Polisi nchini humo ili kupokea...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2022BAADHI ya wasomi kutoka Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iitishe meza ya majadiliano kati ya wananchi...
By Gabriel MushiJanuary 29, 2022SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limetangaza mgawo wa umeme kwa muda wa siku 10 kuanzia tarehe 1 hadi 10 Februari, mwaka huu...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022WAJANE wa Marehemu Mzee Amir Mrisho, Aseline na Amina Mrisho wamesema ili haki yao ya kumiliki kiwanja namba 108 Port Access isipotee...
By Seleman MsuyaJanuary 28, 2022HALI ya afya ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ni tete na amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU)....
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza zawadi ya kidani cha Tanzanite aliyopewa mke wake Mama Mary Majaliwa na Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022WATU wawili wamefariki dunia na wengine nane kujeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Scania kugonga watu waliokuwa wanavuka barabara ya Morogoro...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema uhitaji wa kuwa na mipango miji...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022WATOTO wa marehemu Mzee Amir Mrisho, wamepeleka maombi ya kuzuia mchakato wowote wa umilikishwaji wa Kiwanja namba 108 Port Access kilichopo wilayani...
By Seleman MsuyaJanuary 27, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema ushirikishwaji wa wadau katika ngazi zote na...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ametoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini – IGP Simon Sirro kuwakamata watuhumiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amesema wanatarajia kuifumua stendi ya daladala na soko la sabasaba iliyopo katikati ya jiji hilo...
By Danson KaijageJanuary 26, 2022SIRI dhidi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Khamisi, maarufu “Mussa Dola,” anayedaiwa kuporwa kiasi cha Sh.70 milioni na kisha kuuawa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini wametakiwa kufanya uchimbaji wa wenye tija na kuongeza thamani ya madini yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi atahutubia mkutano mkubwa wa wadau wa bima kutoka ndani na nje ya nchi, wenye lengo...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imekifungia kipindi cha Efatha Ministries, kinachomilikiwa na Askofu Josephat Mwingira na kurushwa na...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022MAHAKAMA Kuu Tanzania imezindua mfumo wa kuratibu taarifa za mawakili kielektroni (e-wakili) wenye lengo la kudhibiti mawakili wasiotambulika kisheria ‘mawakili makanjanja au...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022WATU watano katika kijiji cha Zanka Wilayani Bahi mkoani Dodoma wameuawa katika nyumba waliokuwa wakiishi kijiji hapo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022UONGOZI wa la Dodoma nchini Tanzania, umesema hautasita kumchukulia hatua za kisheria mtu ambaye anakwamisha juhudi za maendeleo sambamba na utunzaji wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 23, 2022WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameaswa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu ili kuiletea tija...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SERIKALI imesema kuwa pamoja na kuwepo kwa mabadiko ya tabia ya nchi yaliyosababisha kukosekana kwa mvua za uhakika, nchi ina akiba ya...
By Danson KaijageJanuary 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kupunguza matayarisho ya kinywaji maarufu mkoani humo cha pombe aina ya mbege, ili...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2022MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema jumla ya mifugo 1,257 imekufa mkoani humo kwa kukosa maji na malisho kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limewaomba Watanzania kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho umeme unakatika kila mara kutokana na mvua na upepo...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022UTAFITI uliofanywa kuhusu chembechembe zitokanazo na plastiki zinazopatikana kwenye fukwe za bahari zimeonesha kuwa na kemikali za sumu ambayo inaweza kusababisha madhara...
By Seleman MsuyaJanuary 21, 2022Serikali ya Mkoa wa Dar es salaam kupitia kikosi kazi cha kuratibu usafishaji wa mito mkoani humo kimeonya kuwa hakitosita kuwachukulia hatua za...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) nchini Tanzania imeanzisha kutumia mfumo mpya wa ukataji wa tiketi wa kielektroniki ili kuhakikisha inazuia upotevu...
By Jonas MushiJanuary 21, 2022NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Festo Dugange amesema serikali itachukua hatua za kumsimamisha kazi Meneja wa TARURA Wilaya ya Karatu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022JESHI la Polisi nchini limesema tayari uchunguzi umeanza dhidi ya picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii huku zikimuonesha askari wa usalama barabarani...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022IMEELEZWA kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, inatarajiwa kutoa ajira kwa walengwa 195,000 ambao watalipwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022MSANII wa muziki wa Injili nchini, Rose muhando amefunguka kwamba mojawapo ya mambo anayotaka afanikiwe kwa mwaka huu ni kumpata mume mzungu...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022SHAHIDI wa kumi wa Januari, Innocent Ndowo (37) katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022BAADHI ya wanaume, hususan walio ndani ya ndoa katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, wamekuwa wakikumbana na vitendo vya kikatili,...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema treni ya abiria yenye injini namba 9022 imepata ajali muda wa saa 10 alfajiri kati ya...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022MKUU wa Wilaya ya Ilala, Ng’wilabuzu Ludigija ameunda timu ya uchunguzi wa chanzo cha moto katika Soko la wafanyabiashara wadogo la Karume ambayo inatarajia...
By Masalu ErastoJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa mwanafunzi bora...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 ambayo yameonesha jumla ya watahiniwa wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kufuta matokeo yote ya watahiniwa 214 waliofanya udanganyifu katika upimaji kitaifa wa darasa la nne,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 15, 2022MTANGAZAJI maarufu wa Shirika la Utangaza la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ametangaza kuondoka ndani ya shirika hilo alilolitumika kwa miaka 14 kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na mawaziri na naibu mawaziri huku akimpangia kazi aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022