Sunday , 19 May 2024

Month: June 2022

Habari za Siasa

Waziri Mkuu aipiga ‘stop’ Wizara upandishaji hadhi Loliondo

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kutoanza kazi ya upandishaji hadhi mapori tengefu ikiwemo Loliondo hadi pale itakapokutana...

Habari za Siasa

Mambo yatakayotumika kuwapima Wakurugenzi, wakuu wa Idara

  SERIKALI nchini Tanzania imesema inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vigogo wa Bandari kortini Dar, yumo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu

  VIGOGO wanne wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kuisababishia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampeleka Jenerali Mabeyo Ngorongoro

  HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

Habari Mchanganyiko

USAID yatoa tani 12,000 za chakula kwa wakimbizi

  MAREKANI kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa (USAID), imetoa msaada wa chakula tani 12,000 zinazogharimu Sh20 bilioni kwaajili ya wakimbizi 204,000 walioko...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Chadema wapinga hoja tano za kina Mdee

  MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...

Habari za Siasa

Rais Samia amng’ang’ania Jenerali Mabeyo

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado ataendelea kumpa majukumu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kwakuwa bado ana nguvu....

Habari za SiasaTangulizi

Mpina amlipua Waziri Bashe nje ya Bunge

  MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alilidanganya bunge kwa kutoa takwimu mbili tofaui...

Tangulizi

Kina Mdee wawasilisha mahakakani sababu tano kuishtaki Chadema

  WABUNGE viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamewasilisha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, sababu tano za...

Habari za Siasa

Majaliwa aagiza utoaji anwani za makazi kuwa endelevu

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara zote, Sekretarieti za mikoa na Serikali za mitaa kuhakikisha zoezi la utoaji anwani za makazi linakuwa...

ElimuHabari za Siasa

Watakao kwamisha mradi wa kuboresha Elimu Sekondari kukiona

  NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...

ElimuHabari za Siasa

Fomu kujiunga shule za umma zieleze hakuna michango: Majaliwa

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...

Habari Mchanganyiko

Uhuru wa uhariri wa habari unaingiliwa – Wakili Marenga

  HATUA ya mhariri wa chombo cha habari kuelekezwa na serikali taarifa za kuchapisha, kama ilivyolekezwa na kifungu cha cha 7 (2) (b)...

HabariMichezoTangulizi

Majaliwa aipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...

Afya

Wataalam wa afya watakiwa kutumia weledi

  WATAALAMU wa Afya Nchini Tanzania, wameshauriliwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya taaluma yao kwa kutunza miundominu ya majengo...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuanza kuwajibu kina Mdee mahakamani

  MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...

Elimu

Wanafunzi Shule ya Peaceland wapongeza elimu bure hadi kidato cha sita

  WANAFUNZI wa shule ya msingi Peaceland English Medium iliyopo Ukerewe Jijini Mwanza wamesema kuwa kitendo cha serikali kupitisha elimu bure kuanzia shule...

Kimataifa

Uchaguzi Kenya: Raila na Ruto watofautiana kuhusu usajili wa wapiga kura

  TUME huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC), sasa ipo katika njia panda, kufuatia wagombeaji wawili wakuu wa urais katika uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amteua Mkuu mpya wa majeshi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(CDF). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

HabariMichezo

Biashara Mbeya Kwanza zaaga Ligi Kuu

  Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara rasmi imeshuka daraja na kuungana na Mbaya Kwanza iliyokua ishashuka daraja tayari baada...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mdee kusikilizwa siku 14 mfululizo

  HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...

Habari

Viongozi Zanzibar wafurahia ujio wa chuo cha CBE

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kinatarajia kujenga majengo ya Chuo hicho katika eneo la Fumba Zanzibar ambapo ujenzi wake utagharimu Sh....

HabariMichezoTangulizi

Yanga yamaliza Ligi bila kufungwa

  KLABU ya Yanga, rasmi imeingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu iliyomaliza Ligi kuu Tanzania Bara, bila kupoteza mchezo wowote katika...

Habari Mchanganyiko

156 wafukuzwa mafunzo ya Polisi kwa utovu wa nidhamu

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro, amesema wanafunzi 156 wa Chuo cha Jeshi la Polisi, wamefukuzwa katika mafunzo ya awali...

Michezo

Mpole aibuka mfungaji Bora Ligi Kuu

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Geita Gold, George Mpole ameibuka kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, akiwa na mabao 17, huku...

Habari Mchanganyiko

Gladness Lugenge wa Sinza avuna Milioni 10 za Biko

MKAZI wa Sinza, jijini Dar es Salaam, Gladness Gaithan Lugenge, ameingia kwenye orodha ya mamilionea baada ya kushinda fedha taslimu Sh Milioni 10,...

Habari Mchanganyiko

NMB yafungua tawi maalum maonesho ya Sabasaba

KATIKA kukidhi mahitaji na suluhuhishi za kifedha kwa watembeleaji na kampuni shiriki za Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa maarufu ‘Sabasaba’ yanayoratibiwa...

Habari Mchanganyiko

Mkutano wa Mahakama ya Haki wafungwa

  MKUTANO wa kwanza wa kihistoria uliojumuisha mahakama ya haki barani Afrika na mbili za kikanda umemalizika leo kwa matumaini ya kupatikana msingi...

Habari za Siasa

Dk. Tulia awataka Watanzania kuachana na imani potovu kuhusu sensa

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka watanzania kuachana na kauli za baadhi ya watu ambao...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Kina Mdee: Chadema yaondoa mapingamizi, shauri kuanza kusikilizwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...

Habari Mchanganyiko

Jaji Imani awapa ujumbe waandishi wa habari

  RAIS wa Mahakama ya Haki za Kibinaadamu na Watu ya Afrika, Jaji Imani Daudi Aboud amehimiza vyombo vya habari vya Tanzania kuchukua...

Habari za Siasa

Mikopo ya Halmashauri kutolewa kwa mtu mmoja mmoja

  SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini ya kuangalia uwezekano wa kutoa mikopo ya Halmashauri kwa mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Serikali yaja na mifumo mipya kupima utendaji kazi wa watumishi

  SERIKALI imesema mara baada ya kukamilisha mifumo mipya ya kupima utendaji kazi wa watumishi wa umma, itapeleka bungeni Muswada wa Sheria uweze...

ElimuMakala & Uchambuzi

Je, Wamiliki wa kumbi za starehe wanawalenga wanafunzi wa vyuo?

  KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza”  na  ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu awapa angalizo watumishi wanaoihama Mahakama

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewapa angalizo watumishi wa mahakama wanaohama kwa sababu ya maslahi, akisema siku maslahi ya mahakama...

Michezo

Wasanii Tanzania kufunguliwa milango zaidi soko la Hollywood

  WASANII mbalimbali wa Tanzania hasa wa muziki na filamu wameahidiwa kufunguliwa milango zaidi katika soko na kiwanda kikubwa zaidi duniani cha burudani...

HabariMichezo

Kocha Mpya Simba na rekodi ya mataji barani Afrika

  KLABU ya Simba siku ya jana ilimtambulisha Zoran Maki Manojlovi, raia wa Serbia kuwa kocha wao mkuu ambaye anakuja kurithi mikoba ya...

HabariTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi, yumo bosi TSN

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya...

HabariTangulizi

22 washikiliwa kwa tuhuma za uhalifu wa mitandaoni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...

Habari

Wabunge wachachamaa mgawo ajira watumishi wa afya

  BAADHI ya wabunge wameibana Serikali kuhusu mgawo wa ajira mpya za watumishi wa umma wa kada ya afya, katika maeneo yenye upungufu....

Habari

Mpina ashauri mabadiliko utaratibu wa kupitisha bajeti, Spika ampa darasa

MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania amelishauri Bunge kubadilisha utaratibu wa kupitisha Bajeti ya Serikali kwa kukamilisha kwanza Sheria ya Fedha kisha...

HabariTangulizi

Rais Samia anavyoifunga Tanzania, uwekezaji na mauzo yapaa

  SERIKALI ya Tanzania imesema ziara za mkuu wa nchi hiyo Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zimeongeza uwekezaji wa ndani kwa...

HabariKimataifa

Urusi yajipanga kuongeza ushawishi, uhusiano wake barani Afrika

  BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...

HabariKitaifa

Majaliwa awapa maagizo mameya, wenyeviti wa h’shauri

WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri wasimamie ipasavyo matumizi ya fedha zilizokusanywa na zile zinazotoka Serikali Kuu...

Habari Mchanganyiko

NMB yataja sababu tatu zinazowakwamisha wenye ulemavu

SABABU kuu tatu zimetajwa kuwakosesha ajira watu wenye ulemavu nchini licha ya kuwa wanakuwa na sifa zinazotastahili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Sababu hizo zilitolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaweka zuio kina Mdee kutoswa bungeni

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocholate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka...

Habari Mchanganyiko

Mikopo ya bilioni 33 ya NMB yasaidia kuboresha makazi Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema makazi bora ni muhimu katika maendeleo ya taifa huku Benki ya NMB ikiahidi kuchangia kikamilifu kufanikisha azma hiyo kupitia...

Habari za Siasa

Rais Samia atoboa siri Mama Mkapa alivyomuingiza kwenye siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ndiye aliyemjengea uwezo na kumshika...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Mkapa awezesha wanawake kupata Sh trilioni 11

  MWENYEKITI wa Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mke wa Hayati Rais Benjamin Mkapa amesema...

Habari Mchanganyiko

Jukwaa la vijana “GO na NMB” lazinduliwa Zanzibar, SMZ yapongeza

BENKI ya NMB nchini Tanzania imelizindua rasmi jukwaa la kuwawezesha vijana la “GO na NMB” Visiwani Zanzibar na kusema iko tayari kusaidia kuwajenga...

error: Content is protected !!