MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imefuta ratiba za safari kwa mabasi 38 ya Kampuni ya New Force Enterprises kutokana na kile kilichoelezwa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023WAZIRI wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku sehemu kubwa ya fedha iliyotengwa ikielekezwa kwenye ulipaji...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI nchini Tanzania imetenga eka 10 kwa kila kijana atakayechaguliwa kujiunga na mafunzo ya kilimo na baadae kushiriki katika kilimo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2023WANANCHI wa vijiji vinavyozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA), wamelalamikia serikali kwa kudai kuwanyang’anya ardhi bila kuzingatia sheria. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kuongeza juhudi katika dhamira yake ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kumuinua mwanamke kiuchumi, ili kuondoa...
By Regina MkondeDecember 9, 2022SERIKALI imetoa mkono wa pole kwa familia 19 za wafiwa wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana tarehe 6 Novemba,...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuwekwa kwa tenki kubwa la maji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kuhakikisha huduma ya maji...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ametoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Jumapili huko Bukoba, Kagera. Watu 19...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RIPOTI ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kuhusu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri wasimamie ipasavyo matumizi ya fedha zilizokusanywa na zile zinazotoka Serikali Kuu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania kwa mwaka 2020/2021 imebaini maduka ya dawa ya hospitali...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022NI unyama ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mtoto Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane kudaiwa kutendewa ukatili wa kingono,...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022Dk. Ndumbaro awavisha vyeo viongozi TANAPA, NCAA Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Damas Ndumbaro leo tarehe 18 Februari, 2022 ameongoza zoezi la...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeishauri Serikali ya Tanzania iwatumie mawakili wazawa, ili kuwaongezea ujuzi na kupunguza gharama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2022Halmshauri Kuu ya Chama imepokea na kuthibitisha mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama juu wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti...
By Gabriel MushiJanuary 28, 2022Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 22 Januari 2022 ameongoza waombolezaji katika mazishi ya kaka wa Makamu wa Rais na Askofu Mstaafu wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepokea taarifa za miamala na usajili wa simu, kutoka...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakandarasi na taasisi nyingine za sekta binafsi kuzingatia weledi, maadili na uaminifu katika majukumu...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021Rais Samia Suluhu Hassan amefichua namna alivyokamatwa na askari wa usalama barabarani mara tatu kwa makosa madogo ambayo yangetatulika bila kupoteza muda na...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka polisi kutowakamata wananchi kwa vitisho, wala kuwatia hofu kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume na misingi na kiapo...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021Uongozi wa Klabu ya Yanga umeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu kutokana na tuhuma alizoishusha Yanga...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, Hamis Mgeja wakiwemo makada wengine, wazee wastaafu wa chama hicho na serikali, wamewataka...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021WATU wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki ‘bodaboda’, kwenye barabara ya mwendokasi, maeneo ya Lumumba jijini Dar...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021MKUU wa Jeshi la Sudan, Awad Ibn Auf aliyeongoza mapambano ya kumng’oa madarakani Rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashiri amejiuzulu katika wadhifa wa...
By Kelvin MwaipunguApril 13, 2019