MFUKO wa Self unaoendeshwa na Serikali, unakusudia kupanua wigo wa utoaji ukilenga kutimiza idadi ya matawi 20 nchi nzima, hatua inayotokana na...
By Jabir IdrissaMarch 13, 2024RAIS Dk. Hussein Mwinyi ameapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni huku akiasa kwa anayeamua kujiuzulu “aseme ukweli.” Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar…(endelea). “Kujiuzulu si...
By Jabir IdrissaFebruary 1, 2024MKANDARASI wa CCECC kutoka China amesema wanafurahia kufanya kazi na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kuridhishwa na namna walivyopokewa na wananchi...
By Jabir IdrissaJanuary 9, 2024CHAMA cha ACT Wazalendo kimelinda kiti cha uwakilishi jimboni Mtambwe lakini kimelalamikia mbinu chafu za makada wa Chama Cha Mapinduzi zilizolenga kulazimisha...
By Jabir IdrissaOctober 29, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema uchaguzi mdogo wa uwakilishi jimboni Mtambwe, unaooigwa kesho, ni alama...
By Jabir IdrissaOctober 27, 2023SERIKALI imerudisha viwango vya malipo ya uingizaji mizigo kupitia Bandari Kuu ya Malindi, mjini hapa, baada ya “kishindo kikubwa” cha malalamiko ya...
By Jabir IdrissaSeptember 21, 2023DAKTARI Sikujua Omar Hamdan anaamini Zanzibar inahitaji “sheria za pamoja” za kushughulikia tatizo linalokua la udhalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya...
By Jabir IdrissaMarch 10, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimebuni utaratibu mpya wa kujisogeza kwa umma mapema hata kuliko kawaida ya uendeshaji siasa nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Jabir IdrissaFebruary 26, 2023KIWANGO cha uandishi unaochagiza uwajibikaji nchini Tanzania kinapanda taratibu mno huku magazeti yakijitutumua kwenye eneo la kuwapa haki ya kusema wale wanaotuhumiwa....
By Jabir IdrissaDecember 20, 2022MALALAMIKO yaliyojaa mitaani yakihusu mfumo wa kukabiliana na kukua kwa kiwango cha uhalifu Zanzibar hayajamsukuma Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jukumu muhimu la kuipatia nchi uchumi mzuri, halitafanikiwa iwapo hakuna amani na utulivu katika...
By Jabir IdrissaNovember 3, 2022SERIKALI imekumbushwa wajibu wa kikatiba wa kurahisisha na kuharakisha maendeleo ya wananchi kwa kuwajengea miundombinu imara bila ya kuchelewa. Anaripoti Jabir Idrissa, Tandahimba …...
By Jabir IdrissaSeptember 30, 2022WAKATI mataifa kadhaa yanatumia raslimalifedha kubadilisha maji ya chumvi ili kupata maji ya matumizi ya nyumbani, Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali...
By Jabir IdrissaSeptember 14, 2022RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya masuala ya habari ya Zanzibar inaandaliwa....
By Jabir IdrissaSeptember 5, 2022HAKUNA mtuhumiwa hata mmoja wa rushwa au ubadhirifu wa fedha za serikali atakayeachiwa ikithibitika ushahidi upo, anasema Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein...
By Jabir IdrissaSeptember 5, 2022MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani amejiuzulu. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea)....
By Jabir IdrissaSeptember 2, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa msimamo madhubuti dhidi ya mwenendo wa ufisadi ndani ya Serikali ya Zanzibar na kutaka hatua za kisheria zichukuliwe...
By Jabir IdrissaAugust 31, 2022MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...
By Jabir IdrissaAugust 4, 2022KIONGOZI Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa muda mrefu wa Mtambile, Masoud Abdalla Salim amefariki dunia leo. Anaripoti...
By Jabir IdrissaJuly 25, 2022KAIMU Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu amesema mjadala kuhusu kasoro za kiutendaji katika utekelezaji miradi ya maendeleo hautasimama...
By Jabir IdrissaJuly 8, 2022RAIS wa Mahakama ya Haki za Kibinaadamu na Watu ya Afrika, Jaji Imani Daudi Aboud amehimiza vyombo vya habari vya Tanzania kuchukua...
By Jabir IdrissaJune 29, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi anaamini watu wanaohoji na kupinga miradi inayoanza kutekelezwa hapa Zanzibar ni wapinzani wake. Anaripoti Jabir...
By Jabir IdrissaMarch 1, 2022HAMAD Masoud Hamad, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo amesema, iwapo uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho utakuwa huru...
By Jabir IdrissaJanuary 13, 2022MZEE Ameir Ameir bin Soud, Mzanzibari kindakindaki, mjuzi mkubwa wa historia ya Zanzibar inayohusisha nyanja ya siasa, utamaduni, kilimo na ustawi wa jamii...
By Jabir IdrissaDecember 4, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewasihi Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na...
By Jabir IdrissaMarch 27, 2020HAIKUWA rahisi hivyo kwa wafuasi wa mwanasiasa gwiji nchini na mtetezi mkuu wa Zanzibar yenye mamlaka kamili, Maalim Seif Shariff Hamad, kuamini kuwa...
By Jabir IdrissaMarch 16, 2020KUJA kwa kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe na mwingine kutoka Afrika Kusini kushuhudiwa akihutubia kwa njia ya video kwenye jukwaa la kielektroniki, kulichangia...
By Jabir IdrissaMarch 16, 2020CHAMA cha ACT – Wazalendo kitaendelea kupigania umoja na mshikamano ndani na nje ya chama kwa lengo la kuunga mkono mikakati ya kuirudisha...
By Jabir IdrissaMarch 12, 2020ZANZIBAR ni ngumu. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuondoka patupu visiwani humo. Anaripoti Jabir Idrissa,...
By Jabir IdrissaFebruary 26, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad amepokea kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi huku akitoa neno kwamba “wala hakuna sababu ya msingi ya kutolewa kitambulisho kipya.” Anaripoti...
By Jabir IdrissaFebruary 11, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), visiwani Zanzibar kinahaha namna ya kumzima Maalim Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Jabir Idrissa,...
By Jabir IdrissaFebruary 5, 2020BABU Juma Duni Haji, mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti akitarajia kuwa mmoja wa viongozi wa...
By Jabir IdrissaFebruary 4, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea)....
By Jabir IdrissaJanuary 30, 2020JUMA Duni Haji, mwanasiasa mkongo wa upinzani visiwani Zanzibar amesema, dhamira ya ‘kuwanusuru’ Wazanzibari haijatimia na hawatachoka. Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea). Ametoa kauli...
By Jabir IdrissaJanuary 26, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, anaendelea kukaza ‘msuli’ dhamira yake ya kuichomoa Zanzibar katika mikono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea). Mwansiasa...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2019TANGU Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole afanye ziara ya kikazi Zanzibar mwaka jana, akili za wanachama...
By Jabir IdrissaAugust 26, 2019MAKAMU wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, amemtuhumu Dk. Ali Mohamed Shein, rais wa sasa wa Zanzibar, kuwa anavivuruga visiwa...
By Jabir IdrissaJuly 31, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama namba moja wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jeshi la Polisi wamepanga kumkamata...
By Jabir IdrissaMay 8, 2019UNAPOTAFAKARI kauli zinazotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri kuhusu sakata lake na Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
By Jabir IdrissaApril 15, 2019KISHINDO cha Maalim Seif Shariff Hamad kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo tayari kimeyumbisha chama chake cha awali, Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Jabir Idrissa …...
By Jabir IdrissaMarch 22, 2019HARAKATI za kutambulisha na kuimarisha Chama cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar zinashika kasi ambapo sasa kinadai kitashinda nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa...
By Jabir IdrissaMarch 20, 2019NI wachache kati ya wananchi wanaokuwa kwenye ukumbi wa mahakama huendelea kutarajia kusikia hukumu ya kesi wanayoifuatilia baada ya kumuona asiyekuwa jaji msikilizaji...
By Jabir IdrissaFebruary 25, 2019KESHO tarehe 22 Februari 2019, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, anaweza kuhitimisha...
By Jabir IdrissaFebruary 21, 2019RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amekana kuwepo mpango wa kuupeleka Muungano wa Tanzania kuwa wa...
By Jabir IdrissaFebruary 17, 2019WAZANZIBARI wanaoamini katika utawala mwema unaojali haki, ushirikishwaji na utu, wameshiriki kwa mara nyengine tukio la kukumbuka mauaji ya wananchi wenzao yaliyotokea miaka...
By Jabir IdrissaFebruary 3, 2019HIVI ninavyojadili haja ya kuiona Zanzibar inarudia asili yake ya kuwa nchi yenye wastaarabu na iliyopiga hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi, kunatokea...
By Jabir IdrissaOctober 15, 2018ZANZIBAR katika maisha yake, imepigwa mapigo ya aina kwa aina. Imepigwa kwenye pande zote za kimaendeleo; pembe zote – Kaskazini, Kusini, Mashariki na...
By Jabir IdrissaSeptember 13, 2018NDANI ya Baraza la Wawakilishi lililoanza mkutano wake wa kujadili na ikibidi kuidhinisha bajeti ya serikali ya mwaka mpya wa fedha unaoanza mwezi...
By Jabir IdrissaSeptember 1, 2018SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imefuta kongamano la kimataifa la kujadili mustakbali wa maridhiano Zanzibar lililokuwa lifanyike kesho. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea)....
By Jabir IdrissaAugust 7, 2018NINAZIONA jitihada za nguvu na waziwazi za uongozi wa serikalini kuwasukumia wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar lawama na shutuma kuhusu kulala kwa...
By Jabir IdrissaAugust 1, 2018