Monday , 11 December 2023

Biashara

Biashara

Biashara

NMB kuwezesha wafanyabiashara kuchangamkia fursa soko la AfCFTA

BENKI ya NMB imetangaza dhamira yake ya kutoa masuluhisho thabiti ya kifedha kwa Wafanyabiashara Wakubwa, Kati na wa Wadogo (MSMEs) ili kuwawezesha kuchangamkia...

Biashara

Serengeti wazidi kumwaga mkwanja kwa washindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Lailat Shomari (kulia) mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo katika droo ya saba akipokea mfano wa hundi ya Sh. 500,000/= kutoka kwa HOza...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam leo na kutoa msaada wa miamvuli kwa wajasiriamali wadogowadogo wanaopatikana katika eneo hilo....

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini mkoani Shinyanga, Edward Joseph (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh. 500,000 kutoka kwa...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Kampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara nyingine imeingia katika historia mpya kupandisha wageni wengi katika mlima...

Biashara

CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term Review) unaofanyika...

Biashara

Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5

  UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino...

BiasharaHabari Mchanganyiko

‘BetPawa Dream Maker’ kutimiza ndoto miradi 20 ya kijamii

Jumla ya miradi 20 inayohusu masuala ya afya, usafi wa mazingira, maji, ujasiriamali na ubunifu imechaguliwa katika awamu ya pili ya kampeni ya...

BiasharaTangulizi

Bei ya Dizeli, Petroli yashuka

BEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta ghafi kwenye soko la dunia, pamoja na  gharama za...

Biashara

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa wito...

Biashara

NMB yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023

BENKI ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye mshindi wa jumla...

Biashara

Sloti ya Wild Riches ya Meridianbet kutoa ushindi mkubwa

  ILE Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni...

BiasharaMichezo

Mwana FA anogesha Tamasha la Exim Bima Festival

NAIBU Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, mwishoni mwa wiki alipamba  msimu wa kwanza wa Tamasha la Bima Festival...

Biashara

Haya ni Maajabu ya sloti ya Jade Valley ya kasino ya mtandaoni Meridianbet

  JADE Valley ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya malipo unaopatikana...

Biashara

Washindi wa Serengeti Maokoto ndani ya Kizibo Dar, Dodoma walamba mzigo

Mustapha Ally, Mkazi wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh 500,000 kwa niaba ya Godlisen...

Biashara

Shinda mtonyo mrefu ukicheza Shaolin Crew kasino ya  Meridianbet

  TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira...

Biashara

Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya

  NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo...

Biashara

Ujenzi waiva barabara ya Bigwa – Kisaki

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Bigwa – Mvuha – Kisaki (km 133.28),...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida, Meridianbet kasino mtandaoni ni jibu tosha, cheza michezo mingi ya Sloti na kasino...

Biashara

NMB, Oryx Tanzania wazindua mpango wa kukopesha gesi ya kupikia

BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la ‘Moto...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB mlipa kodi mkubwa na bora zaidi Tanzania 2023

Benki ya NMB imeibuka mshindi wa jumla kitaifa katila kundi la mlipa kodi mkubwazZaidi Tanzania lakini pia katika kundi la mlipa kodi bora...

Biashara

Bashungwa awataka wakandarasa kuacha kufanya kazi kwa mazoea

WAKANDARASI wazawa nchini wametakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wafanya kazi zenye viwango bora na tija katika miradi wanayoipata ili waendelee...

BiasharaHabari za Siasa

Dk. Biteko aipongeza NMB kwa ubunifu, uwekezaji katika teknolojia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza benki ya NMB kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji huduma pamoja na kuwekeza...

Biashara

Wateja 100 wajizolea Sh10 milioni droo ya 3 ‘NMB MastaBata Halipoi’

DROO ya tatu ya Msimu wa Tano wa Promosheni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu inayoendeshwa na Benki ya NMB, ijulikanayo kama ‘NMB...

Biashara

Mradi kuimarisha mtandao wa mifumo ya Mbegu wazinduliwa

WAKULIMA wa Afrika wameshauriwa kutumia mbegu asili katika kilimo kwa kuwa nichangia salama kwa afya, uhuru wa chakula, kukuza uchumi na uhakika wa...

Biashara

NMB, CTM TZ wazindua mikopo ya kumalizia ujenzi

BENKI ya NMB wamesaini makubaliano na Kampuni ya CTM Tanzania yaliyopewa jina la ‘Lipa Baadaye,’ yatakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata mikopo ya...

Biashara

Majaliwa aipongeza Exim kusogeza huduma kwa wananchi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema jitihada zinazofanywa na Benki ya Exim Tanzania katika kusogeza huduma zake karibu na wananchi katika maeneo mbalimbali hapa...

Biashara

NMB yazindua rasmi tawi Dumila- Morogoro

WANANCHI wa Mji wa Dumila wilaya ya Kilosa wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 35 hadi 70 kufuata huduma...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yagawa mizinga 500 ya nyuki kwa wafugaji 300

Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya...

Biashara

NBC yashirikiana na taasisi 6 kuongeza ukusanyaji wa mapato Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ) yanayotoa fursa kwa...

Biashara

Mtambo wa umeme Ubungo kupelekwa Mtwara

Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo  III ili...

BiasharaHabari za Siasa

Dk. Biteko aiagiza TPDC kuandaa mpango wa muda mrefu wa upatikanaji gesi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...

Biashara

Kilometa 220 za barabara zatengwa kwa wakandarasi wa ndani

ILI kutimiza malengo ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwajengea uwezo na kuwainua wakandarasi wa ndani, katika mwaka wa fedha 2023/204, jumla ya miradi...

Biashara

Meridianbet kasino sloti mpya ya ushindi ni hii

  81 Crystal Fruits ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka Meridianbet inayojumuisha nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na una mistari ya malipo...

Biashara

TPA yajivunia Zimbabwe kuwa soko jipya mizigo ya magari bandari Dar

KAMPENI ya kuitangaza bandari ya Dar es Salaam kimataifa imetajwa kuanza kuzaa matunda baada ya wafanyabiashara na wakazi wa Zimbabwe kuichagua bandari hiyo...

Biashara

Kampuni ya Saruji ‘Holcim Group’ yajiondoa soko la Tanzania

Kampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65 ya Kampuni ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yamwaga mikopo ya Sh1.8 trilioni kwa zaidi ya wanawake 168,000

BENKI ya NMB imetoa zaidi ya Sh1.8 trilioni kwa wanawake 168,600 wa biashara ndogo na za kati (SMEs) katika kipindi cha miezi 10...

Biashara

NMB yakabidhi mabati ya mil.28 kwa shule 5 Kisarawe

KATIKA kuendeleza utamaduni wa Uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imekabidhi msaada wa mabati 600 yenye thamani ya Sh28.2 milioni...

Biashara

Meridianbet yapiga hodi mitaa ya Mbezi na Kimara

  SIKU mpya kabisa na adhwim ya Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imepiga hodi katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors...

Biashara

NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi Tambaza Sec.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi wa...

Biashara

NMB yabainisha sababu za kuipa kipaumbele miradi rafiki kimazingira

Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi wa mazingira katika uendeshaji wake na kufadhili miradi mbalimabli kutokana na umuhimu...

Biashara

Meridianbet kushusha michezo mipya ya kasino utakayoshinda kirahisi

  MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe....

BiasharaTangulizi

Serikali yafyeka tozo kero za biashara 232

SERIKALI kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) imefuta na kupunguza jumla ya tozo, ada na faini zisizopungua 232 kati ya 380...

Biashara

Dar Ceramica yazindua upya tawi la Arusha kwa kishindo

  Wakazi wa Arusha na miji ya jirani wana sababu za kutabasamu zaidi kufuatia uzinduzi mpya wa Dar Ceramica Centre Tawi la Arusha,...

Biashara

Wajasiriamali waitwa maonyesho Burundi

MWENYEKITI wa Shirikisho la Wajasiriamali wa Jumuiya ya  Afrika Mashariki, Josephat Rweyemamu ametoa wito kwa wanachama shirikisho hilo kushiriki kwa wingi kwenye maonyesho...

Biashara

Huu siyo utani, ukiwa na jero tu inatosha kukupatia Bajaji mpyaa, Bashiri na Meridianbet

  HUENDA siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena...

Biashara

GGML yaibuka kampuni inayoaminika zaidi katika tuzo za mlaji

GEITA Gold Mining Limited (GGML) imeibuka kuwa kampuni inayoaminika zaidi kwenye sekta ya madini katika tuzo za mlaji (Consumer’s Choice Awards  Africa) zilizotolewa...

Biashara

NMB yawanoa wahariri kuhusu bima ya afya, mazishi

BENKI ya NMB imewanoa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kuhusu matumizi ya huduma mpya za bima ya afya pamoja na bima...

Biashara

Majaliwa aipongeza STAMICO kuendelea kunadi matumizi nishati mbadala

Waziri  Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa  amelipongeza Shirika la Madini la Taifa STAMICO  kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati  Mbadala ...

error: Content is protected !!