Biashara
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ameitaja huduma ya bima ya kilimo inayotolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama mmoja ya suluhisho muhimu...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa sekta ya kilimo,...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya Stanbic Tanzania (SBT), kwa kushirikiana na kampuni ya AgriCom Africa (AA), inatarajia kuanzia kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB chini ya mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenyakua tuzo ya Kampuni bora ya mwaka Afrika kwenye sekta ya madini 2023 katika tuzo za Africa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima huku akionyesha kuguswa zaidi...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KAMPUNI ya Usafirishaji majini, PMM Shipping Limited imezindua huduma ya kusafirisha makontena kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kwenda maeneo mengine ikiwemo...
By Regina MkondeAugust 4, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kutumia vema Maonesho ya Kilimo ya NaneNane yanayoendelea jijini...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023KATIKA kuuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023BENKI ya NMB imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni Benki Bora Tanzania 2023, benki bora ya wateja maalum kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023CHAPA ya simu mahiri inayoongoza kwa ubora Infinix Mobile LTD imegonga vichwa vya habari wiki hii baada ya Infinix NOTE 30 kushinda...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MHASIBU wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya alizeti – Malaika Sunflower Oil, Ester Lumambo amewashauri wakulima wa mazao ya alizeti nchini...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson’s Choice imetambulisha rasmi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Plc imepata tuzo ya kuwa kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....
By Seleman MsuyaJuly 26, 2023BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....
By Seleman MsuyaJuly 24, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknalojia kwa ajili ya kutoa ufadhili wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023MKUU wa mkoa wa Dodoma (RC), Rosemary Senyamule ameitaja benki ya NMB kama mwarobaini uliowafuta machozi wananchi katika mkoa wake kwenye idara za...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023TUME ya Madini imetoa siku saba kwa wamiliki wote wa leseni za madini zikiwemo leseni za utafutaji wa madini, leseni za uchimbaji mdogo,...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023MKUU wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Faki Lulandala amejitosa katika sakata la mjadala kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake kubwa ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika mfumo wake mzima...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023UMOJA wa Vijana wa unaojitanabaisha kwa jina la ‘Team Wazalendo’ umesema kuwa utachukua jukumu la kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa uwekezaji katika...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kukamilika kwa taratibu ambazo zimewezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupata mkopo wa Dola za Marekani...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023WANANCHI wa Wilaya ya Songwe wametambulishwa uwepo wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Rare Earth Elements yanayotumika katika teknolojia ya kisasa....
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, kimeiomba serikali kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023KAMPUNI ya Teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia viwango vya usalama...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetumia kiasi cha Sh 1.7 bilioni kujenga mradi huo wa maegesho ya malori ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023BENKI ya NMB kupitia matawi yake yote nchini inatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023JUMLA ya washindi 22 wa Kampeni ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB ‘Bonge la Mpango’ wamekabidhiwa zawadi zao jijini Dar...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023KATIKA kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023Serikali kupitia Wizara ya Nishati imebainisha kuwa mpaka kufikia mwezi Juni 2024, Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023KATIKA mwaka wa fedha wa 2021/23 jumla ya fedha kiasi cha Sh 102 milioni zimewanufaisha wakazi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnina...
By Danson KaijageJuly 6, 2023TAASISI na kampuni wateja za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mkoani Arusha, wameipongeza benki hiyo kwa kuwapelekea huduma ya malipo kidigitali inayojulikana...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPENI ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB iliyopewa jina la ‘Bonge la Mpango’ Msimu wa Tatu imefikia kilele tarehe 5...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPUNI 5666 za ndani na nje ya nchi zimeshiriki kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam DITF)...
By Seleman MsuyaJuly 4, 2023MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango kuzindua Tawi la...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023WAFANYABIASHARA katika Bandari Kavu ya Jimbiza, iliyoko Kilwa Masoko, mkoani Lindi, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiitaka iingilie kati ili wasiondolewe...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023