Biashara
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kaya milioni 2.2 nchini Tanzania zinajihusisha na sekta hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023TUNAKULETEA mchezo mwingine wa kasino mtandaoni wa Meridianbet unaofanyika chini ya maji. Wakati huu, wahusika wakuu ni kaa, na miongoni mwao, Bob...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023HUWAJAHI kushuhudia mambo ya ndani kwenye hekalu la Budha? Kama hujawahi, mchezo mpya wa kasino mtandaoni Shaolin Power utakupa nafasi ya kufanya...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023LEO tunakupa maelezo mafupi ya mchezo wa kasino mtandaoni wenye kufurahisha sana, ambao utakupatia bonasi za kasino na ushindi mwelele. Chukua nafasi...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023WAKATI Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Malawi (MDF), Jenerali Jacob Mkunda na Jenerali Vicent Nundwe...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023KAMPUNI 500 kutoka China, Tanzania, Angola, Kenya na Ethiopia zinatarajiwa kukutana tarehe 25 Septemba 2023 jijini Dar es Salaam, kutathmini eneo la viwanda...
By Seleman MsuyaSeptember 4, 2023HII ni hadithi ya kasino mtandaoni yenye kuvutia ambayo itakukutanisha na mwanamfalme/Princess. Lakini, huyu sio princess wa kawaida, ni princess wa kutoka...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023ILI kupata maokoto mengi tunakushauri kuanza safari fupi kwenda kwenye msitu wa kichawi kwenye sloti hii utakutana na mabinti wa msituni. Ingia...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023ZAIDI ya waendesha bodaboda 250 mkoani Dar es Salaam wamenufaika na mafunzo ya usalama barabarani yalioandaliwa na kutolewa na Kampuni ya BetPawa kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023JE, umewahi kutembelea mji mkuu wa tamaduni za kasino, Las Vegas? Ikiwa hujawahi, sasa hii ndio fursa kamili kwako! Karibu mahali...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023MCHEZO wa kasino mtandaoni wenye nguvu wa Hot Spin Deluxe kutoka kwa watoa huduma wa iSoftBet unakuleta ulimwengu wa kipekee wa bonasi...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023HAKUNA kujiuliza tena wala kuumiza kichwa tena utapata wapi mkwanja na kumaliza wikiendi yake kibabe ni hivi Meridianbet ndio sehemu pekee unaweza...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023HAPA tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh90 milioni kwa Timu ya Bunge huku wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) jijini Dodoma, Wisdom Gowele ametoa wito kwa vijana kutumia nguvu zao ujanani kuwekeza...
By Danson KaijageSeptember 1, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ametoa rai kwa wananchi, kampuni za sekta binafsi na umma, taasisi...
By Seleman MsuyaAugust 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan jana Jumatano amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar, uzinduzi unaoendelea kupanua...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Kampuni ya Camel Oil kwa kufadhili ujenzi wa mradi wa kituo cha michezo cha kufurahisha watoto kuanzia miaka...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023Serikali imesema ipo mbioni kukamilisha taratibu za kuutangaza zabuni ya kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi cha General tyre kilichopo mkoani Arusha ifikapo Oktoba,...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi – Zanzibar inayojengwa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa halmashauri hiyo kuhamisha gulio linalofanyika Jumatano hadi Jumapili eneo lililotengwa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MIEZI mitano tangu alipotunukiwa Tuzo ya Malkia wa Nguvu (wa Sekta Binafsi Tanzania), Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapindizi Zanzibar za kumaliza tatizo la udumavu kwa watoto kampuni ya Asas Dairies imezindua programu ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023LICHA ya Serikali kuhamasisha kilimo kwa ajili ya kuwainua wakulima kipato cha chini, wakulima wa zao la vanila katika kata ya Kanyangereko Wilaya...
By Danson KaijageAugust 26, 2023BALOZI wa China nchini, Chen Mingjian, amesema ukuaji wa biashara kati yake Tanzania kuanzia mwaka 2022 hadi Juni, 2023, umefikia Dola za Marekani...
By Seleman MsuyaAugust 26, 2023KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mkubwa wa taasisi hiyo ya...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti na Watendaji wa Mashirika ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023KATIKA jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima....
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege unaowapa fursa...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2023KATIKA kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola ya d.light Tanzania Limited imezindua kampeni...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2023Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023SAKATA la kampuni ya Tanga Cement kuuzwa limezidi kuchukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe wa Tume ya Ushindani wa Haki FCC,...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ameitaja huduma ya bima ya kilimo inayotolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama mmoja ya suluhisho muhimu...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa sekta ya kilimo,...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya Stanbic Tanzania (SBT), kwa kushirikiana na kampuni ya AgriCom Africa (AA), inatarajia kuanzia kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB chini ya mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenyakua tuzo ya Kampuni bora ya mwaka Afrika kwenye sekta ya madini 2023 katika tuzo za Africa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima huku akionyesha kuguswa zaidi...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023