KAMATI ya kuzuia na kupambana na dawa zisizo ruhusiwa michezoni ya kanda ya tano Afrika (RADO) imemfungia kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Banka’...
By Kelvin MwaipunguOctober 31, 2018MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuna baadhi ya watu wanaofanya biashara ya kuuza mwili (machangudoa na mashoga) wamehamia...
By Regina MkondeOctober 31, 2018KIONGOZI wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zubery Kabwe, amekamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiOctober 31, 2018CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewatishia wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani, kuwa kama wanataka kujiunga na chama hicho, wafanye haraka, vinginevyo wanaweza...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2018MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa ameshatumiwa majina ya wanaume 100 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2018MBUNGE wa M’baiki Mashariki nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Alfred Yekatom amekamatwa ndani ya bunge baada ya kufyatua risasi hewani, wakati wabunge...
By Regina MkondeOctober 30, 2018MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amewataka watanzania kuwa makini kuhusu usalama wao kutokana na uwepo wa makundi ya wahuni na watekaji...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2018NAHODHA wa Real Madrid, Sergio Ramos anaonekana kutokukubaliana na ujio wa kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte ndani ya kikosi hicho baada...
By Kelvin MwaipunguOctober 30, 2018RAIS John Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (FCC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeOctober 30, 2018RAIS John Magufuli amemteua aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Dkt. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika...
By Regina MkondeOctober 30, 2018KILICHOSABABISHA kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isack Gamba, ni tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo lililotokana...
By Regina MkondeOctober 29, 2018MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amekemea vita baina ya wawekezaji hasa wanaozalisha bidhaa zinazofanana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kabla ya...
By Regina MkondeOctober 29, 2018WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ametahadharisha kuwa, wasiokuwa na utamaduni wa kulipa kodi yanaweza kuwakuta aliyoyakuta kwenye nchi nyingine, ya kunyimwa...
By Regina MkondeOctober 29, 2018WATU takribani 188 wanahofiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Lion Air iliyokuwa safarini kutoka mji mkuu wa...
By Regina MkondeOctober 29, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba yuko katika wakati mgumu baada ya video ya ngono iliyomhusisha yeye na mkewe...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2018DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano, anakaribia kutimiza miaka mitatu kamili madarakani. Aliapishwa tarehe 5 Novemba 2015. Anaandika Sead Kubenea...
By Saed KubeneaOctober 29, 2018Serikali Imevuruga Zao La Korosho, Imeshindwa Kulinda Ustawi na Usalama wa Raia A: Utangulizi Jana, Kamati ya Uongozi ya Chama cha ACT Wazalendo,...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2018ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu tukio la mapigano kati ya askari...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2018KATIKA kuhakikisha anaunga juhudi za serikali ya viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Mfinanga...
By Moses MsetiOctober 27, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar ss Salaam linamshikilia Mfanyabiashara Kageta Kageta (35) mkazi wa Tabata Kinyerezi, kwa kosa la kukutwa na...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2018SERIKALI imefuta minada ya korosho hadi itakapotoa utaratibu mpya ifikapo tarehe 30 Oktoba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo ya serikali...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2018MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema shamba la baba yake, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete lililoko kata ya Kibindu wilayani...
By Regina MkondeOctober 26, 2018MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha, Emanuel Zacharia amenusurika kifo baada ya kutumbukia katika shimo la...
By Regina MkondeOctober 26, 2018ALIYEKUWA Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefungiwa kwa muda usiojulikana kujishughulisha na filamu na uigizaji, na Bodi ya Filamu Tanzania. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018WANAFUNZI kadhaa katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha wanadaiwa kutumbukia katika shimo la choo cha shule hiyo mchana huu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018SERIKALI imekanusha madai ya Kampuni ya Madini ya Acacia, ya kwamba usalama wa watumishi wake uko hatarini kutokana na kuwindwa na vyombo vya...
By Regina MkondeOctober 26, 2018KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera katika hali ya kushangaza ameonekana kutofurahishwa na kiwango cha mshambuliaji wake, Heritier Makambo katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inahitaji kiasi cha Sh. 350 milioni kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo ujao wa kutafuta tiketi...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amepiga marufuku kulima kilimo cha mazao ya mahindi, mtama na uwele katika kata 20...
By Masalu ErastoOctober 25, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeombwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuamuru mtuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2018KUYUMBA kwa uzalishaji na uuzaji wa zao la korosho nchini katika msimu wa korosho wa 2018/2019, kunatajwa kuweza kuporomosha thamani ya Shilingi ya...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2018SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC) linamsaka Mkuu wake wa Kitengo cha Usalama, George Mwamgabe anayedaiwa kutoweka kusiko julikana wiki moja iliyopita. Anaripoti Regina...
By Masalu ErastoOctober 25, 2018MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba, Mtemi Ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018UPEPO unaoendelea kuvuma kwenye Ukanda wa Pwani umesababisha kifo cha mtu mmoja aliyedondokewa na mnazi kisiwani Mafia. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mtu...
By Faki SosiOctober 24, 2018SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) limepiga marufuku matumizi ya tairi za vyombo vya moto zilizotumika na kuisha muda wake. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Regina MkondeOctober 24, 2018MAMLAKA ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imetangaza ruti mpya za kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 24, 2018TAARIFA KWA UMMA Imetolewa 24/October/2018 Kuhusu ufafanuzi wa Mtatiro kufuatia Mazungumzo yake na Wanahabari yaliofanyika Kisiwa cha Unguja . CUF-Chama cha Wananchi kinayachukulia...
By Faki SosiOctober 24, 2018SHIRIKA la Reli nchini (TRC) linatarajia kuhamisha makaburi kwenye mikoa ya Pwani na Morogoro ili kupisha ujenzi wa reli ya kisasa ‘Standar Gauge....
By Regina MkondeOctober 24, 2018SERIKALI ya Rais John Magufuli imewafuta machozi wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2018SERIKALI ya Saudi Arabia inatokomea kwenye tope baada ya siri za mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, Jamal Khashoggi...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2018UFAULU wa mtihani wa darasa la saba nchini umeongezeka maradufu kwa miaka minne mfululizo kuanzia mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 56.99 hadi...
By Regina MkondeOctober 23, 2018ASA Mwaipopo (55), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni za Madini za Bulyanhulu, North Mara na Pangea zilizokuwa chini ya Acacia, amepandishwa kizimbani katika Mahakama...
By Regina MkondeOctober 23, 2018RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete leo tarehe 23 Oktoba 2018 Ikulu...
By Regina MkondeOctober 23, 2018WAZIRI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jaffo, amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela John Wanga,...
By Moses MsetiOctober 23, 2018JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu tisa wanaoshukiwa kuhusika na tukio la kuwauwa kinyama watoto wawili wa familia moja na kuwatupa kichakani...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2018WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...
By Regina MkondeOctober 23, 2018USAFIRI wa majini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar umesitishwa siku ya leo hadi hapo utakapotangazwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 23, 2018KUTOKANA na juhudi zinazofanywa na wanaharakati kwa kupinga unyanyasaji na utatili kwa watoto wa kike na akina mama na kutoa elimu juu ya...
By Danson KaijageOctober 23, 2018IMEELEZWA kuwa Asasi za kiraia nchini zipo katika hatari ya kutumika kama sehemu ya kupitishia fedha chafu na watu wasiokuwa na nia njema....
By Danson KaijageOctober 23, 2018MAHAKAMA Kuu kanda ya Mwanza, imetupilia mbali mapingamizi mawili yaliyowekwa na wakili wa upande wa mlalamikiwa namba mbili, mfanyabiashara wa mabasi ya Batco,...
By Moses MsetiOctober 22, 2018