
Rais John Magufuli
Spread the love
RAIS John Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (FCC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).
Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo tarehe 30 Oktoba 2018.
Sehemu ya taairifa hiyo inaeleza kuwa, uteuzi wa Prof. Moshi unaanza leo. Prof. Moshi alikuwa Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
More Stories
Uchaguzi wa wanawake Chadema waingiliwa
Dk. Mwinyi amteua Dk. Mkuya, Nassor Mazrui
Waziri Majaliwa aitaka TPA kuongeza umakini