Sunday , 5 February 2023

Kimataifa

Kimataifa

Kimataifa

Papa Francis kukutana na wahanga wa vita Sudan Kusini

  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na wahanga wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika...

Kimataifa

Polisi ahukumiwa kifo kwa kumuua wakili

  MAHAKAMA kuu nchini Kenya imemhukumu kifo Ofisa wa Polisi, Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine wawili yaliyotokea...

Kimataifa

Hospitali za China zilifurika wagonjwa, wazee kipindi cha wa likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar

HOSPITALI  nchini China zimejaa wagonjwa na wazee katika kipindi cha likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar. hali hii imetokea ikiwa mamlaka ya China...

Kimataifa

Papa Francis ayataka mataifa ya nje kuacha kupora mali DRC

  KIONGOZI wa kanisa Katoliki Papa Francis, ameyataka mataifa ya nje kuacha kupora mali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na bara la...

Kimataifa

Mashabiki wakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya wafuasi wa Arsenal na Manchester City kupigana Uganda

  MASHABIKI wawili wa soka nchini Uganda wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mwanamume mmoja kuuawa katika mji mkuu, Kampala kufuatia mzozo...

Kimataifa

China inatathmini upya sera za wafanyakazi

  WAKATI idadi ya watu wa nchi China inapungua, Beijing inatathmini upya sera za wafanyakazi kwa kuwa nguvu kazi kubwa imepungua. Imeripotiwa na...

Kimataifa

Vita vya Ukraine: Boris Johnson adai kutishiwa kupigwa kombora na Putin

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alimtishia kwa shambulizi la kombora katika simu isiyo ya kawaida...

Kimataifa

DCI ajitosa uchunguzi matokeo uchaguzi mkuu Kenya

OFISI ya Mkurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchni Kenya imetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina kuhusu madai ya muungano wa Azimio...

HabariKimataifa

Aliyesomeshwa na mchumba aamuriwa kurudisha Sh 9.4 Mil. baada ya kukataa kuolewa

  MWANAMKE mmoja nchini Uganda ambaye aliuumiza moyo wa mchumba wake ameamrishwa na mahakama kulipia hasara za kifedha kwa uchungu wa kisaikolojia. Yameripoti...

Kimataifa

Uganda yaanza kuchimba mafuta

  UCHIMBAJI wa kwanza wa mafuta kibiashara nchini Uganda umeanza wiki hii, ikiwa ni sehemu ya mradi wa dola za Marekani bilioni 10...

Kimataifa

Afrika kusini waandamana kushinikiza serikali kumaliza tatizo la umeme

  MAMIA ya wafuasi wa Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini – Democratic Alliance wameandamana jana tarehe 25 Januari 2023 kupinga kukatika kwa...

Kimataifa

Marekani kutuma vifaru 31 nchini Ukraine

  SERIKALI ya Marekani imetangaza kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrahams nchini Ukraine, vinavyoelezewa na maafisa wake kuwa bora zaidi duniani, vikiwa...

Kimataifa

Kashfa ya ufisadi yaitafuna Ukraine katikati ya vita

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema anafanya mabadiliko ya maafisa wake wa ngazi ya juu na chini serikalini, kutokana na madai ya...

Kimataifa

Idadi watu China yapungua kwa mara ya kwanza tangu 1961

  IDADI ya watu nchini China imepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60, huku kiwango cha uzazi nchini humo kikifikia...

Kimataifa

Mwanasiasa wa upinzani Eswatini auawa kwa kupigwa risasi

  WATU wenye silaha nchini Eswatini wamedaiwa kumuua mwanasiasa mashuhuri wa upinzani na mwanasheria wa haki za binadamu, Thulani Maseko nyumbani kwake juzi...

Kimataifa

Aliyekuwa msaidizi wa Rais DRC apelekwa gerezani

Fortunat Biselele, aliyekuwa msaidizi wa Rais Felix Tshisekedi wa Kongo DRC, amepelekwa katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa, baada ya malumbano ya...

Kimataifa

Wagombea urais watukanana hadharani

  WAGOMBEA urais nchini Nigeria wamemaliza kampeni zao huku kila mmoja akitoa wito wa kukamatwa kwa mwenzio na wakishtumiana kwa kashfa za zamani...

Kimataifa

Wanawake, watoto 60 waliotekwa waachiwa huru

  ZAIDI ya wanawake na watoto 60 waliotekwa nyara wiki iliopita na watu wanaoshukiwa kuwa ni wanajihadi, huko kaskazini mwa Burkina Faso wameachiliwa...

Kimataifa

Usain Bolt alaghaiwa zaidi ya TSh 27 Bil.

BINGWA wa Olimpiki Usain Bolt analenga kurejesha zaidi ya $12.7m sawa na zaidi ya Tsh 27 Bilioni ambazo wakili wake anasema amepoteza baada...

Kimataifa

El Chapo aomba kurejeshwa Mexico

  RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman, anayetumikia kifungo...

Kimataifa

Rais Congo: M23 bado wapo, wamedanganya

  RAIS wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amesema waasi wa M23 bado hawajaondoka kikamilifu katika maeneo wanayoshikilia mashariki mwa...

Kimataifa

Bosi wa mafia akamatwa baada kujificha kwa miaka 30

  BOSI wa kikundi cha mafia maarufu kama Cosa Nostra anayesakwa zaidi nchini Italia, Matteo Messina Denaro amekamatwa huko Sicily baada ya kutoroka...

Kimataifa

 Maelfu wafariki dunia kwa UVIKO-19 China

  WATU karibu 60,000 wamefariki dunia nchini China kwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kati ya tarehe 8 Desemba 2022 hadi tarehe...

Kimataifa

25 wafariki dunia katika shambulizi Ukraine

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema idadi ya vifo kutokana na shambulio la kombora la Urusi kwenye jengo la ghorofa tisa katika...

Kimataifa

Iran yamnyonga waziri aliyedaiwa kutoa siri Uingereza

  Serikali ya Irani, imemnyonga aliyekuwa Naibu Waziri wa Ulinzi wa Irani,Alireza Akbari, kwa kosa la kutoa siri za nchi hiyo na kufanya...

Kimataifa

M23 wakubali kuachia ngome yao, wakutana na Uhuru Kenyatta

  VIONGOZI wa kundi la waasi la M23 wamekutana na msuluhishi wa kanda rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta, mjini Mombasa, ambapo...

Kimataifa

Putin amtumbua Jenerali aliyeongoza vita Ukraine

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amemuondoa Kamanda mkuu wa nchi hiyo, Sergei Surovikin aliyekuwa anaongoza vita nchini Ukraine ikiwa ni miezi mitatu tu...

Kimataifa

Mahakama Uganda yafuta sheria ya tata ya mawasiliano

  MAHAKAMA ya Katiba nchini Uganda jana tarehe 10 Januari, 2023 imefuta sehemu ya sheria ya mawasiliano ambayo imekuwa ikitumika kuwashtaki wakosoaji wa...

Kimataifa

Kagame ataja wanaotaka kuipindua Serikali yake

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba kundi la waasi la Democratic Forces for Liberation of Rwanda – FDLR, linaloshutumiwa na serikali...

Kimataifa

Rais aidhinisha sheria inayotoa adhabu miezi sita jela kwa wauguzi wanaogoma

  SERIKALI ya Zimbabwe jana tarehe 10 Januari, 2023 imepitisha muswada wa sheria inayopiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na wafanyakazi wa afya nchini humo...

Kimataifa

Kufunguliwa mipaka ya China na Hong Kong yazua hofu

  HOFU imetanda kwa raia wa Hong Kong juu ya uwezekano wa kuingia kwa aina virusi vya Covid-mutant kutoka China baada ya mpaka...

Kimataifa

Mchezaji wa zamani wa Taifa Zambia, Kaizer Chiefs afariki kwa kushambuliwa na mbwa wake

  NYOTA wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala amefariki dunia baada ya kuumwa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg Afrika Kusini. Yameripoti...

Kimataifa

Kagame agomea nchi yake kupokea tena wakimbizi wa DR Congo

  RAIS wa Rwanda Paul Kagame anasema nchi yake haitatoa tena hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mashirika...

Kimataifa

Nyaraka za siri zakutwa katika ofisi ya zamani ya Rais Biden

  IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani...

Kimataifa

Kisa video iliyomuumbua Rais akijisaidia haja ndogo hadharani, waandishi habari 6 mbaroni

WAANDISHI habari kadhaa wamekamatwa nchini Sudan Kusini baada ya kusambaa video inayomuonesha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir yumkini akishindwa kujizuia haja ndogo...

HabariKimataifa

M23 wakabidhi kambi ya kijeshi ya Rumangabo, mashariki mwa Kongo

KUNDI la waasi la wanamgambo la M23, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameirudisha kambi ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo. Anaripoti...

Kimataifa

Dawa mpya bora ya Ukimwi yaidhinishwa, matumaini yarejea

  MAMLAKA inayoshughulika na uidhinishaji Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imeidhinisha dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa watu wazima kwa...

Kimataifa

29 wauawa operesheni ya kumkamata mtoto wa El Chapo

  TAKRIBANI watu 29 nchini Mexico wameuawa wakati wa operesheni ya umwagaji damu ya kumkamata mtoto wa kinara wa biashara haramu ya dawa...

Kimataifa

Marekani yapata Spika baada ya kura kurudiwa mara 15 kwa siku 4

  KEVIN McCarthy amechaguliwa kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani huku kukiwa na majibizano makali ambayo karibu yashuhudiwe wawakilishi wa chama...

Kimataifa

Aua mke, watoto watano na yeye mwenyewe baada ya kudaiwa talaka

  MWANAUME mwenye umri wa miaka 42 amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua katika jimbo la Utah nchini Marekani...

Kimataifa

Uchaguzi Spika Bunge Marekani bado ngoma ngumu

Mrepublican Kevin McCarthy wa California ameshindwa katika duru ya nne, ya tano na ya sita ya uchaguzi wa kuwa spika wa Baraza la...

Kimataifa

Burkina Faso wamtimua Balozi Ufaransa

WIZARA ya mambo ya nje nchini Ufaransa, imethibitisha kupokea barua kutoka serikali ya Burkina Faso, inayomtaka balozi wake nchini humo Luc Hallade kuondoka....

Kimataifa

Mama, bintiye wahukumiwa kwa kuuza viongo vya miili ya marehemu

MMILIKI wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili...

Kimataifa

2022 Mwaka ulioitikisa China

MWAKA 2022 ulikuwa mwaka wenye changamoto kwa Serikali ya China hasa wakati inakabiliana na kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19. Imeandikwa na chombo cha habari...

Kimataifa

Prince Harry atamani kurudiana na baba, kaka yake

  MWANAMFALME Harry anasema “Ningependa kurudiana na baba yangu, ningependa kuwa na kaka yangu,” kwenye utangulizi wa mahojiano kabla ya kutolewa kwa kumbukumbu...

Kimataifa

Wakatoliki waanza kuuaga mwili wa Papa mstaafu Benedict

  WAUMINI wa kanisa Katoliki leo tarehe 2 Januari, 2023 wameanza kutoa heshima zao mjini Vatican kwa papa mstaafu Benedict XVI, ambaye mwili...

Kimataifa

Dubai yafuta ushuru wa pombe kuvutia watalii

DUBAI imefuta ushuru wa asilimia 30 kwenye bidhaa za pombe ili kuvutia zaidi watalii watembelee jiji hilo. Pia imepanga kuacha kutoza leseni za...

Kimataifa

Uundaji wa nyuklia China kuna athari gani kwa India

RIPOTI ya Usalama kuhusu maendeleo ya Jeshi la Watu wa Jamhuri wa China iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani ninaonyesha kuwa jeshi...

Kimataifa

Papa Francis asema mtangulizi wake Papa Benidict XVI ni mgonjwa sana

  PAPA Francis amesema mtangulizi wake Papa Benedict XVI ni mgonjwa sana na amewataka mahujaji wa Vatican kumuombea. Yameripoti Mashirika ya Habari ya...

KimataifaMichezo

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

  BILA shaka mwaka wa 2022 utakuwa unaeleka ukingoni huku ukiacha giza nene katika familia ya mkongwe na muasisi wa muziki aina ya...

error: Content is protected !!