RAIS wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68, chama chake kimesema. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). “Amekuwa akipokea matibabu maalum nchini Afrika Kusini” kwa ugonjwa ambao haujatajwa, chama cha Patriotic Front kilisema kikithibitisha habari hiyo. Lungu aliongoza Zambia kwa miaka sita kuanzia 2015, na kushindwa katika uchaguzi na Rais wa sasa Hakainde Hichilema kwa kura nyingi. Baada ya kushindwa katika uchaguzi huo alijiondoa kwenye siasa lakini baadaye akarejea na kuonekana kuwa na nia ya kugombea tena urais Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Tanzania yang’ara wakaguzi wa majitaka migodini kimataifa Mmoja anusurika kwenye ajali ya Air India