MSIMU huu kule kwenye ligi kuu ya SERIE A mambo yanazidi kupamba moto ambapo Como 1907 imekuwa ni moja ya timu tishio sana kwani imeleta mabadiliko makubwa chini ya kocha mkuu Fabregas. Je unajua kuwa safari ya Como 1907 msimu huu chini ya kocha mkuu Cesc Fabregas imekuwa moja ya simulizi zinazovutia zaidi, hasa kwa jinsi timu hiyo imeweza kujijenga upya na kuanza kushindana kwa hali na nguvu ya ajabu n akuonesha ubora wao wa kupambania nafasi za juu. Timu hiyo imekuwa na matarajio mazuri sana msimu huu licha ya kutokuwa na wachezaji wenye majina makubwa, lakini kwa jinsi ambavyo wanaonesha ubora wanatarajia kushiriki michuano mikubwa Barani Ulaya ikiwemo Europa League au UEFA msimu ujao. Chini za kocha huyo, Como wameonyesha maendeleo makubwa kwani mpaka sasa wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi huku wakionesha ubora kwenye mechi zao ambazo wamekuwa wanacheza. Uwezo wao wa kudhibiti mchezo na kuhimili presha umewafanya kuwa wapinzani hatari, hata wanapokutana na vigogo wa ligi wakiwemo AC Milan, Juve, Napoli na wengine. Jisajili hapa na ubeti mechi zote za Como. Leo hii michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupa mkwanja cheza, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao ujishindie pesa nyingi hapa. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Baada ya kuanza ligi kwa kusuasua, Como wameonyesha uthabiti mkubwa katika mechi za hivi karibuni, wakikusanya pointi 58 hadi sasa kwenye ligi wakiwa nyuma pointi 17 dhidi ya kinara wa ligi Inter Milan. Je unadhani Farbegas a vijana wake wanaweza kumaliza nafasi ya ngapi?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Suka jamvi hapa. Ikumbukwe kuwa safari yao bado inaweza kuwa na changamoto kubwa kutokana na ushindani mkali wa SERIE A kwani tofauti ya pointi zao an wengine sio mkubwa sana hivyo kuongeza presha kwa mashabiki na timu kwa ujumla na kuilazimu timu kupambana kwa hali na mali kwenye kila mechi. Hivyo basi kwa ujumla, Como 1907 chini ya Cesc Fabregas wamebadilika kutoka kuwa timu ya kupambana kushuka daraja hadi kuwa timu ya kupambania nafasi za kushiriki michuano ya Ulaya. Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Mchongo wa mwaka ni Drops & Wins inayokupa pesa papo kwa papo Meridianbet na ustawi wa jamii kupitia msaada kwa wajane