Kimataifa
MKURUGENZI wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA )William Burns amesema kuwa, “makadirio ya hivi karibuni kutoka ujasusi wa marekani ni kwamba...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAGOMBEA wawili katika kinyang’anyiro cha uongozi wa chama cha Conservative leadership wamewasilisha mipango yao kwa wajumbe wa chama ambao watamchagua mrithi wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022CHANZO cha vijana 21 waliopoteza maisha mwezi Juni huko nchini Afrika Kusini katika klabu moja ya usiku, imebainika kuwa ni sumu aina...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAANDAMANAJI wamekusanyika katika kituo cha treni mjini Colombo nchini Sri Lanka kutaka kaimu Rais Ranil Wickremesinghe aondoke madarakani. Ranil aliteuliwa kuwa rais wa...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022ALIYEKUWA Waziri wa fedha wa Uingereza, Rishi Sunak ameimarisha nafasi yake ya kuweza kuchaguliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza, baada ya kuongoza...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko kicho cha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha African National Congress (ANC), Komred...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy jana tarehe 17 Julai, 2022 ametumia amri za kiutendaji kuwafuta kazi mkuu wa idara ya usalama ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022WAANDAMANAJI takribani 300, ambao ni wanachama wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini, wametinga makao makuu ya chama hicho jijini Johannesburg...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya, imeamua kuwa Mike Sonko, aliyekuwa Gavana wa Nairobi, aliondolewa afisini kwa mujibu wa sharia, katiba na kanuni...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameapishwa leo, kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Anachukua nafasi ya Gotabaya Rajapaksa, aliyejiuzulu...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2022RAIS wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shinikizo la maandamano...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022Polisi Uganda imewakamata waandamanaji 12 waliokuwa wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha katika eneo la Jinja, lililopo kusini-mashariki mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameteuliwa kuwa Rais wa muda baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Gotabaya Rajapaksa kukimbilia nchi...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022WAOMBOLEZAJI wamepanga mistari kwenye barabara za mji mkuu wa Japan – Tokyo kumuaga aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo aliyeuawa Shinzo Abe. Inaripoti...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022OMBWE la kisiasa nchini Sri-Lanka limeendelea kuivuruga nchi hiyo kwa siku ya pili mfululizo baada ya viongozi wa upinzani kushindwa kukubaliana nani atachukua...
By Gabriel MushiJuly 11, 2022MAHAKAMA moja nchini Uhispania, imeruhusu kufanyika kwa uchunguzi wa maiti ya aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, aliyeaga dunia akiwa mjini...
By Gabriel MushiJuly 11, 2022VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Sri Lanka vimekutana jana tarehe 10 Julai, 2022 kukubaliana kuhusu serikali mpya siku moja baada ya...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2022RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka mingine 20, na kuashiria kwamba atagombea muhula mwingine...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022RAIS Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo tarehe 9 Julai, 2022 ameripotiwa kuhamishwa na kupelekwa mahali salama baada ya makundi ya watu kuvunja...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe amekubali kujiuzulu baada ya viongozi wa vyama vya siasa nchini humo kumtaka yeye na rais aliye...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kwamba alikuwa tayari kuachia madaraka baada ya mahakama kuu kufutilia mbali ushindi wake katika uchaguzi mkuu...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022RAIS wa zamani wa Angola, Jose dos Santos, amefariki dunia leo Ijumaa, tarehe 8 Julai 2022, katika hospitali moja jijini Barcelona, nchini Uhispania,...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2022UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022“Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022MAOFISA wa magereza nchini Nigeria wamesema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu juzi usiku tarehe 5 Julai, 2022 na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameendelea kusisitiza kuwa hatojiuzulu licha ya kuendelea kushinikizwa kufanya hivyo kutokana na kashfa mbalimbali zinazoiandama serikal...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimekubaliana kuanza mchakato wa kumaliza tofauati zao, baada ya mkutano wa marais wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WATU takribani 10,000 wameripotiwa kufariki dunia nchini Ukraine, tangu ilipovamiwa kijeshi na Urusi mwishoni wa Februari, 2022, ambapo Umoja wa Mataifa (UN)...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umedhibitiwa ndani ya miezi mitatu kutokana na “mwitikio wa haraka”...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022ALIYEKUWA mgombea urais nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake Samuel Lubega Mukaaku wamepewa dhamana ya pesa taslimu ya Sh2.5 milioni...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MGOMBEA urais katika Uchaguzi mkuu wa Kenya na wakili msomi Profesa George Wajackoyah ameendelea kujinadi kwa ahadi zenye utata kwa Wakenya baada...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022TUME huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC), sasa ipo katika njia panda, kufuatia wagombeaji wawili wakuu wa urais katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...
By Regina MkondeJune 28, 2022MWANAMFALME wa Wales na Duchess wa Cornwall, wamewasili nchini Rwanda katika mji mkuu wa Kigali siku ya Jumanne usiku , kabla ya...
By Masalu ErastoJune 22, 2022RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua makamu wake Saulos Chilima mamlama yote aliyokabidhiwa, baada ya kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyohusisha kandarasi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MAMLAKA ya Mapato nchini Kenya (KRA), imesema kuwa itaanza kutumia kamera zitakazovaliwa na wafanyakazi wake ili kushughulikia tatizo la wizi wa ushuru...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MGAHAWA kutoka Hong Kong uliofanya kazi takribani miaka 50 , umezama siku chache baada ya kuvutwa kutoka bandarini. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoJune 21, 2022WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Elisabeth Borne amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron ambaye naye amepinga uamuzi huo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022HOSPITALI kuu ya umma kutoka nchini Kenya, imeripoti kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaoulizia nakujitolea kuuza figo zao....
By Masalu ErastoJune 21, 2022VIONGOZI wa nchi za Afrika Mashariki wametoa wito wa kusitisha mapigano pamoja na uhasama kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa...
By Masalu ErastoJune 21, 2022VIKOSI vya Jeshi la Kanda ya Afrika Mashariki, vinatarajiwa kutumwa mara moja katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa ajili...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022TAASISI ya Utafiti wa Virusi nchini Uganda (UVRI), imetangaza kuwaweka katika uangalizi maalumu watu sita, wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa wa Monkeypox. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022KAMPENI za Uchaguzi Mkuu nchini Kenya zimeendelea kutimu vumbi huku Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Roots, Profesa George Wajackoyah...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall ambaye pia ni Rais wa Senegal amemtaka Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuchukua hatua kutoka...
By Gabriel MushiJune 4, 2022MAREKANI itaitumia Ukraine mifumo ya juu zaidi ya roketi kuisaidia kujilinda, Rais Biden ametangaza. Kwa mujibu wa BBC silaha hizo, zilizoombwa kwa muda...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022VIONGOZI wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku uingizaji wa hadi theluthi mbili ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa...
By Mwandishi WetuMay 31, 2022WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema serikali yake itapeleka muswada bungeni kuweka zuio la nchi nzima kwa watu kumiliki bastola pamoja...
By Mwandishi WetuMay 31, 2022