Kimataifa
Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2022BINTI wa Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Uhispania ulioamuru mjane...
By Masalu ErastoAugust 20, 2022WAKATI vitendo vya biashara haramu ya kusafirisha binadamu nchini Pakistani vikizidi kushika kasi huku wahanga wakuu wakiwa wanawake, Tume ya Haki za Binadamu...
By Gabriel MushiAugust 20, 2022KAMPUNI ya nyuklia ya serikali ya Energoatom ya Ukrein imesema vikosi vya Urusi vilipanga kuzima mtambo wa kuendesha umeme kwenye mtambo wa nyuklia...
By Masalu ErastoAugust 19, 2022RAIS wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amewahakikishia viongozi wa dini nchini humo kuwa makabidhiano ya madaraka baina yake na atakayemrithi yatakuwa...
By Masalu ErastoAugust 18, 2022SENETA wa Marekani ambaye aliwataka Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kuwa na mazungumzo baada ya mzozo wa uchaguzi wa...
By Masalu ErastoAugust 18, 2022RAIS mteule w Kenya, Dk. William Ruto amewataka machifu na watumishi wa umma waliokuwa wanatumiwa na wanasiasa kuwafanyia kampeni, warejee kazini ili watekeleza...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022ALIYEKUWA Mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga leo Jumanne amekataa kuyatambua matokeo ya...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022MAKAMISHNA wanne wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi ya Kenya (IEBC), wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti, Juliana Cherera, wametaja sababu za kutokukubaliana...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022OFISA wa uchaguzi wa Embakasi Mashariki kutoka nchini Kenya, Daniel Mbolu Musyoka (53) aliyetoweka tarehe 11 Agosti, 2022 amepatikana akiwa amefariki. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto amewahakikishia wananchi kuwa ataongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia ya hali ya juu huku...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022MGOMBEA Urais wa Muungano wa Kenya Kwanza na Chama cha UDA, William Ruto ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu kwa kura 7,176,141...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022WAKATI matokeo ya kura za urais zilizothibishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) zikionesha mchuano mkali katika kinyang’anyiro...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022WAKENYA watajua rais wao mpya wakati wowote kuanzia leo wakati Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati akiwa amebakisha...
By Gabriel MushiAugust 15, 2022MGOMBEA urais nchini Kenya kupitia tiketi ya Chama cha Agano, Waihiga Mwaure amekuwa mgombea wa kwanza wa urais kukubali kushindwa. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiAugust 15, 2022MGOMBEA urais nchini Kenya kupitia muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga jana Agosti 14, 2022 ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu...
By Gabriel MushiAugust 15, 2022MWANDISHI wa habari mzaliwa wa Mumbai nchini India, Salman Rushdie, anapumulia mashine hospitalini baada ya jana tarehe 12 Agosti, 2022 kushambuliwa na visu....
By Gabriel MushiAugust 13, 2022KUCHELEWESHWA kutangazwa kwa matokeo ya urais kumezidi kuzua wasiwasi nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ikilaumu mawakala wa Naibu...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022WAANDISHI wa habari wamelazimika kutolewa katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura za urais cha Bomas kupisha majadilino ya maafisa wa Tume Huru...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022WAKATI matokeo ya uchaguzi wa urais yakiendelea kutolewa jana na Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi (IEBC), mwelekeo umehamia kwenye vita vya Bunge,...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022GHADHABU zilipanda katika kituo cha kitaifa cha kuhesabia kura cha Bomas of Kenya usiku wa Alhamisi wakati tume ya uchaguzi ilipoanza kuhakiki...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) hatimaye ilianza kutiririsha matokeo ya urais yaliyothibitishwa mwishoni mwa siku Alhamisi kwa ajili ya kutangaza...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022KIONGOZI wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2022HATIMAYE Mgombea Urais wa chama cha Roots Party of Kenya, Prof. George Wajackoyah,amefanikiwa kupiga kura baada ya kuchelewa kwa saa tatu kutokana...
By Masalu ErastoAugust 9, 2022RAIS Uhuru Kenyatta wa nchini Kenya ameisifu taasisi inayosimamia uchaguzi ya IEBC kwa kuweka taratibu nzuri za uchaguzi huku akiwasihi wananchi kujitokeza...
By Masalu ErastoAugust 9, 2022RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba makazi yake maarufu ya Florida, ‘Mar-a-Lago’, yamekaguliwa na polisi wa shirikisho la upelezi...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2022WAKATI Dunia ikihubiri haki na usawa wa kijinsia huko nchini Pakistani wanawake wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia , kubakwa na kutekwa nyara....
By Faki SosiAugust 9, 2022MGOMBEA urais wa muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga mapema leo saa 4:00 asubuhi amewasili katika Shule ya msingi ya Old...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2022IKIWA zimesalia siku tatu kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya kufanyika, kampeni za urais nchini humo zinafikia tamati leo Jumamosi huku wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022KUELEKEA Uchaguzi wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022 imezuka mishangao kwa wananchi mara baada ya baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemtaka msemaji wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo (MONUSCO), Mathias Gilman...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden, amesema kiongozi wa Al-qaeda, Aymam Al-zawahiri, ameuawa katika shambulio lililofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Anaripoti Erick Mbawala...
By Masalu ErastoAugust 2, 2022UNYANYASAJI wa kingono sasa unaonekana kumuathiri mtu yeyote bila ubaguzi wakiwemo wagombea urais. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea) Tukio hilo la aina...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2022VINARA wa kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga wa Azimio na Dk. Wiliam Ruto wa Kenya Kwanza kimezidi kushika kasi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2022VIONGOZI kutoka nchi za Ufaransa, Marekani na Urusi wanazuru bara la Afrika, katika kile kinachoelezwa ni kuyashawishi mataifa ya Afrika kuunga misimamo yao...
By Gabriel MushiJuly 28, 2022WATU tisa wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, katika mlipo wa bomu la kujitoa muhanga, uliotokea kwenye Mji wa Marka, nchini Somalia....
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaore ameiomba radhi familia ya kiongozi shujaa wa mapinduzi wa taifa hilo, Thomas Sankara kutokana...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesisitiza kwamba nchi hiyo haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022SERIKALI ya kijeshi nchini Myanmar, imewaua wanaharakati wanne wa demokrasia nchini humo, ambao ilikuwa ikiwatuhumu kusaidia katika kutekeleza kile walichokiita, “matendo ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2022MTU anayetuhumiwa kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa hali yake ya kiakili ili kutathmini afya yake...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022MKURUGENZI wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA )William Burns amesema kuwa, “makadirio ya hivi karibuni kutoka ujasusi wa marekani ni kwamba...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAGOMBEA wawili katika kinyang’anyiro cha uongozi wa chama cha Conservative leadership wamewasilisha mipango yao kwa wajumbe wa chama ambao watamchagua mrithi wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022CHANZO cha vijana 21 waliopoteza maisha mwezi Juni huko nchini Afrika Kusini katika klabu moja ya usiku, imebainika kuwa ni sumu aina...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAANDAMANAJI wamekusanyika katika kituo cha treni mjini Colombo nchini Sri Lanka kutaka kaimu Rais Ranil Wickremesinghe aondoke madarakani. Ranil aliteuliwa kuwa rais wa...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022ALIYEKUWA Waziri wa fedha wa Uingereza, Rishi Sunak ameimarisha nafasi yake ya kuweza kuchaguliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza, baada ya kuongoza...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko kicho cha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha African National Congress (ANC), Komred...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy jana tarehe 17 Julai, 2022 ametumia amri za kiutendaji kuwafuta kazi mkuu wa idara ya usalama ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022WAANDAMANAJI takribani 300, ambao ni wanachama wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini, wametinga makao makuu ya chama hicho jijini Johannesburg...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022