NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini wa awamu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2023ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande, ameondolewa katika Shirika la Mawasiliano la Tanzania (TTCL) ndani ya muda...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, amalize changamoto ya...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Jacob Kingu, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawaasiliano Tanzania (TTCL), Maharagande Chande, kuwa Postamasta wa Shirika la Posta...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, amebabainisha masuala sita yaliyofanyiwa kazi kupitia mpango...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetakiwa kuwanoa wafuasi wake ili wahakikishe chama hicho kinapata ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali, akiwemo aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye amepelekwa kuwa...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewahamisha waliokuwa vigogo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika kipindi ambacho kuna changamoto ya ratiba ya...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2023SERIKALI imerudisha viwango vya malipo ya uingizaji mizigo kupitia Bandari Kuu ya Malindi, mjini hapa, baada ya “kishindo kikubwa” cha malalamiko ya...
By Jabir IdrissaSeptember 21, 2023CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuvigaragaza vyama vya upinzani baada ya kutetea jimbo la Mbarali katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana Jumanne. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023OFISI ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospster Muhongo, imeishukuru Serikali na wadau wa maendeleo kwa kufanikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge katika Jimbo la Mbarali, ili kuipima Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023KIFO cha Prof Hadley Mpoki Mwafenga- Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la kwanza wa kitengo cha ubia kati ya Sekta umma na...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa ombi la wananchi lililotaka afute hati ya umiliki ardhi inayodaiwa kuporwa kinyume cha sheria na mwekezaji Kampuni ya...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023SERIKALI ina mpango wa kujenga bandari ya uvuvi wilayani Bagamoyo, ili kuimarisha shughuli za uchumi wa buluu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023Wapiga kura 216,282 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 19 Septemba 2023 kwenye uchaguzi mdogo wa...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji kwa nini Bunge limeshindwa kuisimamia Serikali katika kutatua changamoto ya kuadimika kwa Dola ya Marekani...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake lazima imuenzi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa kutekeleza miradi ya maendeleo katika jimbo lake...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekosoa msimamo wa Baraza la Vyama vya Siasa wa kuipa muda Serikali katika mchakato wa marekebisho ya...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2023KILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais Samia Suluhu Hassan na kitabu anachotumia ni tofauti na kilichotumiwa na mtangulizi wake...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2023ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza amemtaka Rais Samia kuweka mfumo mzuri wa kidemokrasia...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023WAKATI joto la Uchaguzi mkuu likizidi kupanda, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kutokana na mikakati ya ushindi iliyowekwa, wana uhakika wa kushinda majimbo yote...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuna chama kikipewa madaraka baadhi ya viongozi wake wataunda chama kingine ili wawapinge wenzao walioko madarakani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amevitaka vyama vya siasa kutohodhi mchakato wa marekebisho ya katiba, akisema suala hilo si mali yao bali ni mali...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibahimu Lipumba amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kukamilisha mchakato wa katiba...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freema Mbowe amelaa ukamataji, unyanyasaji, usumbufu aliodai unafanywa na Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, ikiwa ni siku moja tangu...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2023ZAIDI ya watu 500 kutoka taasisi za kisiasa, dini, asasi za kiraia na wengine watakutana kwa siku tatu jijini Dar es Salaam kupokea...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Majengo (TBA) kuhakikisha unakusanya deni la Sh 81.5 bilioni wanazodai kwa wapangaji wao sambamba na...
By Danson KaijageSeptember 8, 2023VIJANA wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameshauriwa kuchangamkia fursa katika sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji ili waweze kujiajiri na kuajiri wezao...
By Danson KaijageSeptember 8, 2023SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2023/ 2024 imetenga kiasi cha Sh 22.5 bilioni kwa ajili ya kulipa posho za madiwani na wenyeviti...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2023/24 hadi kufikia Septemba, 2023 imelipa jumla ya Sh bilioni moja wastaafu 1,744 wa iliyokuwa Jumuiya ya...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua ya kubana matumizi ya ndani hasa katika maeneo ya matumizi ya kawaida ili...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amedai bila ya wahanga wa vitendo vya watu wasiojulikana kupatiwa haki zao, falsafa...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023WAKATI muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya 23, ikisubiri kupitishwa bungeni jijini Dodoma, baadhi ya wabunge wamedai bila Serikali kuweka mikakati...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali, kwa ajili ya kumsaidia mkulima kupata masoko ya mazao yake...
By Regina MkondeSeptember 7, 2023WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Naibu wake, Dotto Biteko, kutafuta muarobaini wa changamoto ya uhaba wa mafuta ndani ya siku saba. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema mradi wa kuchimba visima 67,500 na wa kumpatia kila mkulima hekari 2.5 za umwagiliaji bure na tenki...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka wakuu wa mikoa kutekeleza maagizo yaliyotolewa na kamati ya mawaziri nane, kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa jukumu kubwa baada ya kumteua kushika wadhifa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023KATIBU Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023SERIKALI ya Tanzania na Bunge, imepewa muda wa siku 30 kuuvunja mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati yake na Imarati ya Dubai, kuhusu...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga katika kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo namna ya kuboresha mkataba wa ushirkiano wa kiserikali (IGA), kati ya Serikali ya Tanzania na Imarati ya Dubai,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023VIJANA wametakiwa kushirikiana katika kuleta uhuru wa kiuchumi, ili kuondoa changamoto ya ugumu wa maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wito...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo tarehe 2 Septemba 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemvua hadhi ya Ubalozi Dk. Wilbroad Slaa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2023. Dk. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023