RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameongoza maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza visiwani humo,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha kiasi cha Sh. 4.75 bilioni,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili wapewe kipaumbele...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini Dodoma, kwa...
By Masalu ErastoApril 6, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano amerudi jijini Dar es Salaam kutokea nchini Ubelgiji ambako alidai kwenda...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ambaye alikuwa akikabiliana na mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023BUNGE la Tanzania, limeombwa kutenga muda wa kutosha kwa ajili ya kuwashughulikia baadhi ya watumishi wa umma waliotuhuma kwa makosa ya ubadhirifu...
By Masalu ErastoApril 4, 2023MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ametaka mambo sita yazingatiwe katika uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeApril 3, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...
By Mwandishi WetuApril 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 1, 2023ALIYEWAHI kuwa mkuu wa mikoa ya Dodoma, Mara, Mtwara na Arusha kwa nyakati tofauti, Isdory Shirima amefariki dunia leo tarehe 31 Machi 2023....
By Mwandishi WetuMarch 31, 2023MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema miongoni mwa msururu wa hatua mpya za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Tanzania, Benki ya...
By Masalu ErastoMarch 30, 2023KATIKA kuimaridha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Marekani, Makamu wa Rais wa Taifa hilo kubwa duniani, Kamala Harris, amesema...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023UKAGUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu fedha makubaliano ya washatakiwa na Ofisi ya Taifa ya Mwendesha Mashitaka...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere ametoa hati mbaya kwa Wakala wa Umeme na Ufundi Tanzania (TEMESA)...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini upotevu wa kodi ya zuio ya Sh 749 uliotokana...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023MKUU wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wazazi kupeleka chakula shuleni, ili watoto wasiwe watoro, hali ambayo itaongeza ufaulu....
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023ZAIDI ya Sh. bilioni 223.9 zimepelekwa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu mwezi Machi 2021 – Machi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati ya pamoja kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mashamba makubwa ya pamoja...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023ALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ameteuliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Sylvester Masinde amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu atavaa viatu vyake vya uongozi...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, ameitaka Serikali kurekebisha vifungu vinavyozuia vijana...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023SERIKALI ya Marekani imesema ziara ya Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Kamala Harris kwa nchi za Afrika ikiwamo Tanzania, ni kujadili vipaumbele...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewafunda Wakuu wa Wilaya kwa kuwapa maelekezo saba yakuzingatia ili kuwasaidia kutimiza majukumu yao...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewataka Wakuu wa Wilaya kote nchini kudhibiti uvujaji wa siri za serikali kwa kuepuka...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023JUMLA ya wanachama 384 wanachama wa Chama cha Wananchi CUF akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, wametangaza...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Azavel Lwaitama, amesema atakuwa wa kwanza kuwatetea wabunge viti maalum...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama, amedai wanachama 19 waliofukuzwa na chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa Serikali kuwahoji wajumbe wa Baraza la Wadhamini la Chama...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023UTEUZI wa wabunge wa viti maalum 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Halima Mdee, umeibua mvutano wakati Mjumbe wa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023WAJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel, wanaanza kuhojiwa na mawakili...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni Serikali yake itatangaza kamati itakayokuwa na jukumu la kusimamia ufufuaji mchakato wa marekebisho ya katiba,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa kukubali ombi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuingilia kati sakatala la wabunge viti maalum 19,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema watu wasiotaka mabadiliko na mageuzi anayoyafanya kupitia maridhiano, wako ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan asikatishwe tamaa na baadhi ya watu wanaopinga...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Mkoa wa Kilimanjaro, wamemchongea kwa Rais Samia Suluhu Hassan mtumishi wa Shule...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023KUTAWALA kwa vurugu na rushwa kumetajwa kuwa chanzo cha kutofanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha TLP ambao ulikuwa na ajenda ya...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la wabunge viti maalum 19, kuwahoji baadhi ya wajumbe wa Bodi ya...
By Regina MkondeMarch 6, 2023MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, wafunge maswali ya dodoso kwa baadhi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema changamoto zinazoikabili Bandari ya Malindi, Zanzibar, haitokani na kuwa na gati moja, kama ilivyoelezwa na Rais wa visiwa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na watendaji wa Serikali, kuacha kufanya maamuzi kwa kisingizio cha maagizo kutoka juu, bali kwa kufuata...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuwapokea 305 kupitia mkutano wake wa hadhara uliofanyika Viwanja...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023NDOA baina ya Jesca David Kishoa, mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri na David Kafulila, Kamishena katika wizara ya fedha,...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, visiwani Zanzibar, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Habib Ali Mohamed, amefariki dunia, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023WAKULIMA wa alizeti mkoani Singida, wamemwomba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuishauri serikali iongeze kodi ya mafuta ya...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutoridhika na kitendo cha baadhi ya Mawaziri kuajiri maafisa habari binafsi kwaajili ya kuripoti habari zao na...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023