Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura
Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

Spread the love

 

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi za kazi za muda kwa watendaji wa vituo vya uboreshai daftari la kudumu la wapiga kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Tangazo la nafasi hizo limetolewa hivi karibuni na tume hiyo.

“Kwa madhumuni ya uboreshai daftari la kudumu la wapiga kura na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 7(4) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya 2024, mkurugenzi wa uchaguzi anakaribisha maombi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za waandishi na waendeshaji vifaa vya bayometriki,” imesema taarifa hiyo.

Taarifa hiyo imetaja sifa za wanaohitajika, ikiwemo awe mwenye umri wa miaka kuanzia 18 au zaidi, mwenye elimu ya kidato cha nne na ujuzi wa kompyuta na simu janja (Smartphone).

7 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

Spread the loveWAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza...

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

Spread the loveWAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

error: Content is protected !!