Sunday , 19 May 2024

Month: November 2022

Habari Mchanganyiko

Ilemela kusogezewa karibu huduma jumuishi za kisheria

  WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, ameweka jiwe la msingi kwenye jengo jumuishi la taasisi za kisheria linalojengwa eneo la...

Elimu

Kikwete ataka utafiti uchache wa wanaume kujiunga UDSM

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...

Elimu

Kikwete ahoji wanaume wamekwenda wapi

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete, ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...

Kimataifa

Rais wa zamani wa China afariki dunia

  ALIYEKUWA Rais wa China, Jiang Zemin, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na matatizo ya saratani ya damu na...

Habari za Siasa

NCCR Mageuzi Kahama waitaka Serikali itangaze uchaguzi mdogo wa mtaa

  CHAMA cha NCCR Mageuzi Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kimeitaka serikali kuitisha uchaguzi wa marudio katika mtaa wa Igomelo...

MichezoTangulizi

Ihefu yavunja rekodi ya Yanga, yaipiga 2-1

  WAKULIMA wa mpunga kutoka wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ihefu FC wameivunja rekodi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC. ya kutofungwa...

ElimuHabari

Anne Makinda kutunuku wahitimu 291 HKMU

SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali...

Habari Mchanganyiko

TAMWA yapigia chapuo mabadiliko sheria ya habari

  CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema mabadiliko ya sheria ya vyombo vya habari yataakisi maendeleo ya tasnia hiyo pamoja...

Habari Mchanganyiko

Mbolea ya kinyesi cha binadamu kuuzwa kwa wakulima

  SERIKALI ya kaunti ya Vihiga nchini Kenya imezindua mradi ambao utasaidia kutengeneza mbolea ya bei nafuu inayotokana na kinyesi cha binadamu ili...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yataja mwarobaini ukali gharama za maisha

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iongeze shughuli za kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la gharama za maisha, umasikini na ukosefu...

Habari za Siasa

Zitto: Mimi sio msaliti

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amekanusha tuhuma za kwamba yeye ni msaliti wa kisiasa, akisema angekuwa msaliti asingechaguliwa kuwa mbunge...

Kimataifa

Masharti ya kudhibiti Covid-19 yapingwa kwa maandamano Urumqi

  KATIBU wa Chama cha Kikomunisti cha Xinjiang, Ma Xingrui alifanya ziara katika mji mkuu Urumqi kaskazini-magharibi mwa China ambako maandamano ya kupinga...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe: Hatujafunga ndoa na CCM

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kuwa chama hicho ni tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na vyama vingine...

Habari Mchanganyiko

NMB yazipiga jeki shule za Kilosa, Mvomero

  BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya elimu katika shule tano za halmashauri ya wilaya ya Kilosa na Mvomero vikiwa na...

Habari za Siasa

Chadema yasema kikokotoo cha mafao hakina uhalisia wa umri wa kufanya kazi

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekosoa kikokotoo kipya cha mafao na kueleza kuwa kimekosa uhalisia wa umri wa mtu kuanza kazi...

Habari za Siasa

Samia awagomea UWT kusimama na mtu

  RAIS Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM ameutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuacha kusimama na mtu badala yake...

Habari za Siasa

CUF yamtaka Rais Samia “atembee kwenye maneno yake kwa vitendo”

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi yake ya kujenga maridhiano na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi, kwa...

Michezo

NBC yakabidhi zawadi kwa kocha, mchezaji bora mwezi Oktoba

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi...

Habari Mchanganyiko

TEF:Serikali imetupa matumaini

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, unakwenda...

Habari za Siasa

Kinana: Wasio tutakia mema wanatutoa kwenye ajenda muhimu

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema wasiokitakia mema chama hicho wanawatoa kwenye ajenda muhimu na kujikuta wakijadili mambo...

Habari za SiasaTangulizi

Watunza kumbukumbu za umma sasa kula kiapo

  WATUNZA kumbukumbu na nyaraka za Serikali sasa watalazimika kula kiapo cha maadili ya kazi yao kutokana na kile kilichoelezwa ni unyeti wa...

Habari za Siasa

Rais Samia: Jenista ni jembe, kiraka

  RAIS wa Tanzania, Samia Sulkuhu Hssan amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenister Mhagama kwa kuweza...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu awavaa CCM

  MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini...

Habari za Siasa

Chadema yataka Serikali za majimbo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitaendelea kupigania upatikanaji wa Serikali ya Majimbo, ili kushusha mamlaka kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatinga Ulaya kudai katiba mpya, tume huru 

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinafanya ziara barani Ulaya kwa ajili ya kutafuta uungwaji mkono na Jumuiya za Kimataifa katika msuala...

Habari Mchanganyiko

Dk. Tax awaasa vijana kuiga falsafa za uongozi wa Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewaasa vijana kutumia vyema Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kujifunza,...

Habari za Siasa

Spika Tulia: UVCCM msikae kimya

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameutaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), usikae kimya katika kuwaeleza wananchi maendeleo...

Habari za Siasa

BAVICHA kuongoza vijana wa vyama vya demokrasia Afrika

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), litaongoza Umoja wa Vijana wa Afrika kutoka vyama vya kidemokrasia (YDUA), katika kipindi cha mwaka...

Habari Mchanganyiko

Heche awaamsha wananchi ukali gharama za maisha, deni la Taifa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amewataka wananchi wajikite katika kuibadilisha nchi akidai mabadiliko na maendeleo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awatunuku kamisheni maafisa JWTZ 724

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 724 waliohitimu mafunzo mbalimbali ndani na...

Habari Mchanganyiko

Waziri acharuka mzabuni ‘aliyelizwa’ Liwale, DC amuita mzabuni ofisini

SAKATA la watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale kutaka kumdhulumu mzabuni aliyepewa kazi ya kutoa vifaa vya ujenzi kukarabati hospitali ya wilaya...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yataka mchakato marekebisho sheria za habari ushushwe kwa wananchi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri wananchi wapewe fursa ya kushiriki katika mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari, ili watoe mapendekezo yao...

Kimataifa

Huawei rewards African cloud developers’ sky-high ambitions

Kenyan financial product Spark Money, built by wealth management startup Dvara, walked away with the first prize at the Huawei Developers Competition (HDC)...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi wa Raia Mwema ashinda tuzo COSTECH

MWANDISHI Mwandamizi wa Gazeti la Raia Mwema, Selemani Msuya amekomba tuzo za mwandishi bora wa mwaka 2022 zilizotolewa na Tume ya Taifa ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yasaini mkataba kuongeza mapato gesi na mafuta

SERIKALI kupitia Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma-Mtwara utakaoiwezesha kupata zaidi mapato. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi huru na haki ni msingi wa demokrasia: Dk. Jingu

  KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu, amefunga warsha ya siku nne kwa makamishna na maafisa...

Elimu

Mapitio sera, mitaala ya elimu msingi yakamilika

  MAPITIO ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya...

Habari Mchanganyiko

Ananilea Nkya: Tunasubiri muswada sheria ya habari utinge bungeni

  ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Daktari Ananilea Nkya, amesema wadau wengi wanasubiri Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu ataja mikakati kukabili uhaba wa majengo ya mahakama

  JAJI Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imepanga kujenga majengo ya mahakama katika...

Habari Mchanganyiko

How GGML elevates women in the mining industry and continues to support them

THE struggle for gender equality is ongoing, although in recent years there has been a closer parity in the opportunities that are afforded...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM atangaza mapambano Uchaguzi Mkuu 2025

  MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhil Maganya, amesema ataiongoza jumuiya hiyo katika mapambano ya kusaka...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Mbarawa atoa ripoti ajali ya ndege hadharani, “mhudumu ndiye aliyefungua mlango”

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air, ikisema ilitumbukia ziwani...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mradi wa SGR utakamilika kama ulivyopangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kwamba Serikali itaendelea kuhakikisha mradi...

Habari Mchanganyiko

Watu 11,000 kutajirika Jangwani – Dar

JUMLA ya watu 11,000 waliopo katika kaya 3,800 wakiwamo wapangaji wanatarajiwa kulipwa fidia kuanzia mwaka 2023 kupisha uboreshaji wa Bonde la Msimbazi jijini...

Habari za Siasa

Zitto atilia shaka utekelezaji ripoti kikosi kazi, ataka Serikali itoe ratiba

  KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameitaka Serikali itoe ratiba ya utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi cha Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Rais Samia: TLS ilikuwa chama cha wanaharakati

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miaka ya nyuma chama cha Sheria Tanganyika (TLS) kilikuwa si chama cha wanasheria bali wanaharakati...

Habari za Siasa

Rais Samia asema mafanikio ya kiuchumi bila haki si endelevu

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mafanikio ya kiuchumi yanayotokana na mbinu zinakiuka misingi ya haki na utawala bora hayawezi kuwa endelevu....

Habari za Siasa

Prof. Lipumba amng’oa kigogo CUF

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera wa chama...

Habari Mchanganyiko

THRDC yazindua mpango mkakati uimarishaji haki, bilioni 46.1 kutumika

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRDC), umezindua mpango mkakati wake wa miaka mitano (2023-2027), unaotarajia kugharimu kiasi cha Sh. 46.1...

error: Content is protected !!