Sunday , 5 February 2023
Home Gazeti Habari Mchanganyiko NMB yatoa elimu ya huduma kwa wananchi Wiki ya Huduma ya Kifedha Mwanza
Habari Mchanganyiko

NMB yatoa elimu ya huduma kwa wananchi Wiki ya Huduma ya Kifedha Mwanza

Spread the love
Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo (kushoto), alipotembelea banda lao na kumuelezwa kuhusu jitihada zao walizofanya kutoa Hati Fungani ya ‘Jasiri Bond’ ambapo jumla ya Sh. bilioni 74.3 zilipatana kwa ajili ya kuwawezesha akina mama wanaofanya shughuli za kiuchumi kwenye sekta ndogo na za kati hapa chini.

 

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo, katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA), Tuse Joune (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo jijini Mwanza wakati wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa majina 12 ya familia moja waliofariki kwenye ajali Tanga

Spread the love  MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awalilia 17 waliofariki ajalini wakisafirisha maiti

Spread the love  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wachimbaji wajenga zahanati kuokoa afya za wakazi 2000

Spread the love  ZAIDI wakazi 2,000 wa kijiji cha Nyamishiga Kata ya...

Habari Mchanganyiko

Baada ya Congo DR, Somalia mbioni kujiunga na EAC

Spread the love  TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa...

error: Content is protected !!