Sunday , 19 May 2024

Month: November 2018

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo Chadema wagonga mwamba mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imekubaliana na maombi ya Jamhuri ya kughairisha usikilizaji wa rufaa ya mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya dhamana ya Mbowe, Matiko kiza kinene

MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa maamuzi muda mfupi ujao, iwapo maombi ya Freeman Mbowe na Ester Matiko ya kupewa...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Bandari wafikishwa mahakamani Kisutu

WAFANYAKAZI tisa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi tatu...

Michezo

Habib Kyombo afuzu majaribio Mamelodi Sundowns

MSHAMBULIAJI wa Singida United na timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 23, Habib Kyombo amefuzu majaribio ya kucheza soka...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko waruka kihunzi

JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ametupilia mbali, mapingamizi ya serikali yaliyolenga kumzuia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,...

ElimuTangulizi

Ngono, ngono, ngono UDSM

LEO yaweza kuwa siku ngumu kwa utawala na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iwapo Dk. Vicensia Shule...

Michezo

Wachezaji Yanga wacheza mechi na njaa, washinda

WACHEZAJI Yanga wamelazimika kuingia uwanjani kupambana na JKT Tanzania bila kula chakula cha mchana kutokana na mabadiliko ya muda wa mchezo huo. Anaripoti...

Afya

Taasisi ya Moi kuwasiliana na wagonjwa kwa simu

TAASISI ya Mifupa (MOI) imetakiwa kuanzia leo kuwasiliana na wateja wao kwa njia ya simu pale panapotokea mabadiliko ya watoa huduma kutokuwepo mahali...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, Matiko yalala tena, Mawakili wavutana

JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, amepanga kutoa umauzi wa pingamizi la awali kwenye kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

Michezo

Mburkina Faso atua kumrithi Kapombe Simba

MCHEZAJI Zana Coulibaly raia wa Burkina Faso anatarajia kutua leo nchini kwa ajili ya kukamilisha taratibu za usajili na Simba akitokea timu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, Matiko kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imepanga kusikiliza shauri la madai ya kufutiwa dhamana lililofunguliwa mahakamani hapo na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli: Lowassa ni ‘Super Man,’ wengine wataishia magerezani

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ametajwa kuwa ni miongoni mwa wanasiasa...

Elimu

Ndalichako azichongea taasisi za Elimu ya Juu kwa JPM

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kufyekelea mbali ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma katika taasisi za elimu...

Habari za Siasa

Mradi wa Lipumba kumng’oa Maalim Seif wakumbana na vigingi

MKAKATI wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), “aliyechongwa” na msajili wa vyama vya siasa, Prof. Ibrahimu Lipumba, kutaka kuwaondoa wafuasi wa Katibu...

Habari Mchanganyiko

Visa za kielektroni zaingiza bil. 7 kwa mwaka

SERIKALI imeingiza zaidi ya Sh. 7 Bilioni kutokana na malipo ya hati mpya za kusafiria na vibali vya ukaazi kwa njia ya kielektroniki...

Habari za Siasa

Balozi Mahiga awatwisha mzigo maofisa wake

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga amewahimiza maafisa wa wizara yake waliopo nje ya nchi kutafuta...

Habari za Siasa

Kesi ya Zitto Kabwe yaiva

UPANDE wa Mashtaka katika mashauri matatu ya uchochezi yanayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, umekamilisha upelelezi...

Habari za SiasaTangulizi

Fao la kustaafu laitafuna serikali

CHOZI la aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Buyungu, Mwalimu Samson Kasuku Bilago, juu ya kiinua mgongo cha wafanyakazi wa umma, waliojiunga...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za Mbowe, Matiko kutupwa magerezani hizi hapa  

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Wilbard Mashauri, ametoa sababu kubwa tano alizofikia kufanya maamuzi ya kufuta dhamana...

Habari Mchanganyiko

Daktari feki mbaroni Dodoma

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa Gairo mkoani Morogoro, Hassan Abdallah kwa tuhuma za kufanya kazi ya kitabibu pasipo kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Lukuvi atumbua watatu Arusha

WAZIR wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewasimamisha kazi watumishi watatu wa sekta ya ardhi katika Halmashauri ya Jiji la...

MichezoTangulizi

Tigo Fiesta yahairishwa

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Tigo Fiesta 2018 imesitisha tukio la kilele cha msimu wa tamasha hilo lililopaswa kufanyika leo tarehe 24...

Habari za Siasa

Kuporwa mafao ya Wafanyakazi, dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

WAKUBWA zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji …...

Michezo

Manji kuongoza Mkutano Mkuu Yanga kesho

YUSUF Manji, anayejitambua kama Mwenyekiti wa Yanga, anatarajia kuongoa Mkutano Mkuu wa dharura wa klabu hiyo unaotarajia kufanyika kesho, ambao mpaka sasa haujafahamika...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko wafutiwa dhamana

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewafutia dhamana, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yawaachia Bwege na wenzake, Polisi yawang’ang’ania

MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi imewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokamatwa juzi kwenye kampeni za udiwani Kata ya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi wa PBPA

DAKTARI Lutengano Mwakahesya ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA). Anaripoti...

Makala & UchambuziTangulizi

Mungu msamehe Mtolea

NIMELAZIMIKA kujitosa kwenye mjadala unaohusu kujiuzulu wadhifa wa ubunge kwa Abdallah Mtolea, aliyekuwa mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jimbo la Temeke,...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa wa mauaji ya Dk. Mvungi waachiwa, wakamatwa

WATUHUMIWA wa maauji ya Dk. Sengodo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wameachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Bwege, Vigogo wa CUF wahamishiwa Lindi

JESHI la Polisi limewasafirisha viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliowakamata juzi jioni baada ya kampeni za udiwani kwenye kata Kivinje...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yashinda tuzo ya utalii Urusi

NCHI ya Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa mwaka 2018 nchini Urusi, katika kipengele cha eneo bora zaidi la utalii duniani (The Best...

Habari za SiasaTangulizi

Usafiri wakwamisha kesi ya Rugemalira, Seth

TATIZO la usafiri limekwamisha kesi ya Harbinder Seth na mfanyabiashara James  Rugemalira iliyokuwa ikitajwa leo Alhamisi Novemba 22, 2018 lakini imeshindikana kutoka na...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa, Rais Magufuli wateta Ikulu

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dk. Willibroad Slaa, amerejea jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Lukuvi sasa kutembea mkoa kwa mkoa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameamua kutembea mkoa kwa mkoa ili kukabili migogoro ya ardhi nchini. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Kesi ya Mdee hakimu awakia serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashataka kuharakisha ushahidi kwenye kesi inayomkabili Halima Mdee Mbunge wa Kawe ya ya kutumia lugha...

Habari Mchanganyiko

Sumatra kutoa leseni ya muda mfupi

MAMLAKA YA Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imefungua dirisha la maombi ya leseni za muda mfupi kwa wamiliki wa...

Elimu

Bosi ya Mikopo yafungua dirisha la rufaa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo tarehe 21 Novemba 2018 imeanza kupokea rufaa za mikopo kwa mwaka wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Bwege atiwa mbaroni na polisi

VIONGOZI watatu wandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekamatwa na jeshi pa polisi, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, kwa tuhuma “zisizojulikana.” Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Upelelezi wakwamisha kesi ya Wema

KESI ya kuchapisha na kusambaza video ya ngono inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi...

Michezo

Yanga sasa rasmi bila Manji

WANACHAMA na mashabiki wa Yanga sasa wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kuishi maisha bila Yusuf Manji baada ya jina la mwenyekiti huyo kutokuwapo miongoni mwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo ofisi ya RC Mwanza mikononi mwa Takukuru

KIGOGO katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kosa la kuomba...

Habari za Siasa

Sherehe za Uhuru zapigwa ‘stop’

RAIS John Magufuli amepiga ‘stop’ kufanyika Sherehe za Uhuru mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa amesema hayo leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba...

Habari za Siasa

“Tusiiogope sheria ya vyama vya siasa tuikabili”

NI siku ya tatu tangu Serikali kuifikisha Bungeni Muswada wa sheria ya vyama vya siasa nchini ambapo umoja wa vyama vya siasa visivyokuwa...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaigeukia Serikali kesi ya kina Kitilya

MAHAKAMA ya hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa Jamhuri kuharakakisha upelelezi wa kesi inayomkabili Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

Michezo

Salah, Mane tishio tuzo BBC

BAADA ya kutoka kwa orodha ya wachezaji watakao wania tuzo za BBC ya Mchezaji wa bora wa kandanda barani Afrika mwaka 2018, nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara: Wathubutu waone

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni...

Habari za Siasa

Wavuvi 16 wa Tanzania kuburuzwa mahakamani Kenya

WAVUVI takribani 16 kutoka Tanzania wamekamatwa nchini Kenya Jumapili tarehe 18 Novemba 2018, kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na...

Habari Mchanganyiko

Msako wamiliki wa visima vya maji waja

SERIKALI kuanza msako wa wamiliki wa visima visivyolipiwa ada ya matumizi ya maji kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria kwa kuwafikisha mahakamani....

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

error: Content is protected !!