Tuesday , 30 April 2024

Month: February 2018

Habari za SiasaTangulizi

Wafuasi wa Chadema waliopigwa risasi waachiwa

MAHAKAMA imewaachia huru wafuasi saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuwapa dhamana wanachama watatu wenye majeraha ya risasi baada ya kufyatuliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa fedha atoa onyo, Watanzania wakiongezeka

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa onyo kwa mashirika mbalimbali kutotoa taarifa za makadirio ya takwimu za Watanzania na kuzichapisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aibua mazito risasi ya Akwilina

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema kuwa jeshi la Polisi limewajeruhi waandamanaji wa tano wa risasi za moto...

Michezo

Usain Bolt asaini Mamelods ya Afrika Kusini

BAADA ya Mwanariadha Usain Bolt wa Jamaika kutamba katika mbio fupi duniani na kuweka rekodi kadhaa ameamua kugeukia mchezo wa soka baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aivaa serikali kuhusu Sugu

MUDA mchache baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mbeya, kumhukumu kwenda jela, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Emmanuel Masonga, Katibu...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro wa CUF aiparura serikali ya JPM

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitahadharisha serikali kuwa mashambulizi ya demokrasia yanaweza kuleta athari kwa jamii. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo...

Habari Mchanganyiko

Tanzania kujitangaza kibiashara soko la EAC

BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Pindi Chana imeiomba sekta binafsi kujitokeza ili kushiriki maadimisho ya biashara hapa nchini yatakayofanyika Aprili 26 mwaka huu...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu, Masonga wahukumiwa miezi mitano jela

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (SUGU) na Emmanuel Masonga, Katibu wa Kanda ya Nyasa Chadema, wamehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wa kuifuta Chadema, CUF waiva

SIRI imefichuka, kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashirikiana na baadhi ya viongozi serikalini, kumtumia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Sales Katabazi...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Z’bar: Lipumba anatuchokoza, tutamshinda

CHAMA cha Wananchi-CUF kinawataka wanachama, viongozi na wapenzi wa CUF waliopo Pemba kuwa watulivu kuendelea na shughuli zao za maisha za kawaida na...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu amvaa Jaji Mutungi, ampa neno zito

MWANASHERIA wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi aache vitisho vya...

Kimataifa

Binti achomwa moto hadi kufa

NI binti wa miaka 18 ambaye alikimbia kwa zaidi ya mita 100 ili kujiokoa na shambulizi, hatimaye alianguka chini kwa uchovu, wauaji wakamfikia...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi gazeti la Uhuru anusurika kifo kwa ajali

MWANDISHI wa gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea usiku huu maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Diwani Chadema auwawa kwa kukatwa mapanga

DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Namwawala, Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godfrey Luena ameuawa usiku huu nyumbani kwake...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

La Prof. Kabudi, Zanzibar na mtego wa Komba

KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandika Othman Masoud Othman … (endelea). Anapotafuta anachokitaka, hachelei...

Habari za SiasaTangulizi

Akwilina aagwa, wanafunzi watoa neno zito kwa serikali

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo, Prof. Joyce Ndalichako amesutwa na wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) baada ya kutaka kuwatetea wauaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amjia juu Mwigulu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Lameck Nchemba, kujiuzulu mara moja wadhifa wake. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

DC aagiza mbunge mwingine wa Chadema akamatwe

MBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Tunduma, mkoani Mbeya, Frank Mwakajoka, amewekwa ndani muda huu kwa amri ya mkuu wa wilaya. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Viongozi wa Chadema watinga Polisi kwa mahojiano

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamewasili kituo cha Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa mahojiano kama walivyotakiwa na...

Habari za Siasa

Polisi wavamia makao makuu Chadema

MAOFISA waandamizi wa jeshi la polisi jijini Dar es Salaam, wamevamia makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jioni hii ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kifo cha Akwilina, Polisi ‘hawachomoki’

RISASI iliyokatisha maisha ya mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji cha taifa (NIT), jijini Dar es Salaam, Akwilina Akwilini, huenda ilifyatuliwa na askari wa...

Habari za SiasaTangulizi

Afisa wa serikali apora sanduku la kura Kinondoni

AFISA mmoja mwandamizi wa serikali amepora sanduku la kupigia kura na kutoweka nalo, kwenye eneo la Magomeni, mtaa wa Idrisa, jimbo la Kinondoni,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wafuta video ‘nyeti’ za vurugu Kinondoni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilifuta picha mnato (video), zilizochukuliwa na waandishi wa habari zikionesha askari wakiwaadhibu vikali waandamanaji...

Habari za Siasa

Mbowe, Salum Mwalim waapa ‘kufia’ Kinondoni

FREEMAN Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Salum Mwalim ambaye ni mgombea ubunge wa Chadema katika Jimbo la Kinondoni wameapa kukabiliana na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wakabiliana na Polisi Kinondoni

VURUMAI kubwa imeibuka jijini Dar es Salaam, jioni hii, kufuatia jeshi la polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto na maji ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wabunge Chadema ‘waliamsha dude’ ofisi za Tume

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiongozana na Mgombea Ubunge Jimbo la Kinodnoni, Salumu Mwalimu pamoja na wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ‘apagawa’ uchaguzi Kinondoni, Siha

KIWEWE kimetawala ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya wapinzani wao wakuu kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Februari 17 kuapa kulinda kura kwa gharama...

Habari za SiasaTangulizi

DPP amwachia huru Sadifa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa Hamis baada ya Jamhuri kuwasilisha ombi la kuifuta kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Watu ‘wasiojulikana’ wazidi kuinyanyasa Chadema

NAIBU Meya wa Manispaa ya Iringa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gangalonga (Chadema), mkoani Iringa Dady Igogo, amenusururika kuwa baada ya kuvamiwa...

Habari Mchanganyiko

Ukikamatwa na mzani feki faini 50 mil

WAFANYABIASHARA wametakiwa kufuata utaratibu na kutumia mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ili waweze kuuza bidhaa kihalali na kuepuka kuwapunja wateja...

Habari za Siasa

Ripoti ya Polisi Kinondoni yaikaanga Chadema

RIPOTI ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni limeiweka kwenye mazingira magumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuonesha chama hicho kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

Tamko la Maaskofu ni mwiba mkali

TAMKO LA BARAZA LA MAASKOTU KATOLIKI TANZANIA UTANGULIZI Wapendwa Familia ya Mungu, Na Watu Wote wenye Mapenzi Mema, “Neema na iwe kwenu, na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumuenzi Tambwe Hiza kwa ushindi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumuenzi mwanachama wake Richard Tambwe Hiza kwa kushinda na kutangazwa washindi katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kibatala amnasua Sugu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi-Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumzika Tambwe Hiza kwa heshima kubwa

DAKTARI Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), amesema chama hicho kitamzika kwa heshima kubwa, Richard Tamwilay Hiza, mwanachama...

Habari Mchanganyiko

Mtoto yatima abakwa na kukatishwa ndoto zake

MMOJA kati ya waathirika wa vitendo vya ubakaji ni motto wa umri wa miaka 13 (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kubakwa na kijana anayeitwa Baraka...

Habari za SiasaTangulizi

Tambwe Hizza afariki dunia

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umepata pigo kutokana na kifo cha mwanasiasa machachari, Richard Tambwe Hizza. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ukawa ni...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaeleza sababu za kutekwa diwani wake

CHAMA cha Chadema kimehusisha tukio kutekwa kwa mgombea wa udiwani wa kata ya Buhangazi wilayani Muleba Mkoani Kagera, Nelson Makoti kuwa ni njama...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Ushirikina: Chanzo cha ubakaji na ulawiti Iringa

IMANI sugu za ushirikiana mkoani Iringa ni mojawapo ya chanzo cha imani potofu zinazochochea vitendo viovu vya ubakaji, ulawiti na udhalilishaji wa watoto...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Tutashinda na tutatangazwa washindi

MBUNGE wa Chadema jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amesema, ni lazima chama chake kiibuke kidedea kwenye kinyang’anyiro cha ubunge jimboni Kinondoni. Anaripoti Faki...

Makala & UchambuziTangulizi

Kingunge ametoweka akiwa ‘kijana’

ALIYEKUWA “mchungaji mkuu” wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), msemaji wa chama hicho na muumini wa itikadi yake iliyokufa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru (87),...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kuiba kura zafichuka  

VIONGOZI watatu wandamizi ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanasuka mkakati mzito wa wizi wa kura, kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge...

error: Content is protected !!