Saturday , 15 June 2024
Home christina
178 Articles20 Comments
Habari Mchanganyiko

Madhehebu ya dini yashirikiane na Serikali kuondoa matendo maovu

WITO umetolewa kwa madhehebu ya dini kushirikiana na Serikali katika kuweka mpango mkakati wa kiroho na kuiokoa jamii ikiwemo watoto kuondokana na tabia...

Habari Mchanganyiko

Wananchi washauriwa kuongeza uelewa wa kujikinga na majanga

WITO umetolewa kwa wananchi kuongeza uelewa na utayari kabla na baada ya majanga huku wakijua namna ya kujikinga nayo ikiwemo mafuriko kwa kupunguza...

Habari Mchanganyiko

Wenye ulemavu waiomba MISA-TAN iwajengee uwezo wa uhuru wa kujieleza

  TAASISI ya vyombo vya Habari kusini mwa Afrika (MISA-TAN) kwa kushirikiana na wadau wa Habari wameshauriwa kuijengea uwezo jamii katika suala la...

Elimu

SUA kuhakikisha tafiti zinazofanywa zisiachwe kwenye makabati

  MRATIBU wa utafiti na machapisho katika kurugenzi ya uzamiri, utafiti wa urushaji wa teknolojia na ushauri wa kitaalam kutoka Chuo kikuu cha...

Habari Mchanganyiko

Fisi aliyeua na kujeruhi watu mkoani Lindi auawa na askari wa TAWA

  MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumuua fisi aliyeua watu wawili na kujeruhi watano katika Wilaya ya Lindi Vijijini Mkoani...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa mazingira watakiwa kuunga mkono utunzaji wa mazingira

  WADAU wa mazingira mkoani hapa wametakiwa kuunga mkono utunzaji wa mazingira hasa suala la upandaji miti sababu utunzaji wa mazingira ni sawa...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wa Tigo wapata mafunzo ya usalama kazini

  WAFANYAKAZI zaidi ya 400 wa kampuni ya simu za mkononi TIGO wamepewa mafunzo ya usalama na Afya mahali pa kazi mwanzoni mwa...

Habari Mchanganyiko

Jamii yasisitizwa kutunza vyanzo vya maji

  JAMII imesisitizwa kuona umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji utakaosaidia kutorudisha nyuma jitihada za upandaji miti na uhifadhi wa mazingira zinazofanywa...

Habari Mchanganyiko

Juhudi za kumkomboa mtoto wa kike ziendane na kumfikisha wa kiume kujitambua

  MENEJA wa Shirika la kuhudumia viwanda vidogo Tanzania (SIDO) Mkoa wa Morogoro, Joan Nangawe anasema juhudi za kumkomboa mwanamke na kumtoa katika...

Habari za Siasa

Miaka 46 ya CCM hakuna Mtanzania atayekufa njaa – Bashe

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa na Serikali haitafunga mipaka ya nchi kwa kuzuia mfumuko wa bei ya...

Habari za Siasa

Chongolo aagiza Wami Ruvu kuongeza kasi usimamizi rasilimali za maji

  KATIBU mkuu wa chama cha mapinduzi Daniel Chongolo ameiagiza bodi ya maji bonde la wami Ruvu kuongeza kasi katika usimamizi wa rasilimali...

Afya

Waziri wa Tamisemi apewa siku 14 afike Morogoro kutatua changamoto za Afya

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 14 Waziri wa TAMISEMI kufika mkoani Morogoro kutatua changamoto za...

Habari za Siasa

CCM apiga marufuku wazazi kuwatumia watoto wa kike kwenye mambo ya kimila

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amepiga marufuku tabia za wazazi na walezi nchini kuwatumia watoto wakike katika shughuli...

Habari za Siasa

Ofisi za mabalozi wa mashina zitumike kuwale vijana kimaadili – Chongolo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameagiza ofisi zote za mabalozi wa mashina nchini zitumike kuwalea na kuwajenga watoto katika...

Habari za Siasa

CCM yawatulia wananchi kuhusu umeme wa REA, vijiji 286 kuwekwa umeme

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimesema wakazi wa mijini na vijijini nchini wanapaswa kuwa na subira katika mambo ya maendeleo kwa sababu Serikali...

Habari za Siasa

Chongolo aagiza watendaji wanaoonyesha mianya ya rushwa wakamatwe

  KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo ameiagiza kamati ya ulinzi na usalama Wilayani Malinyi mkoani Morogoro kuwasweka ndani...

Habari za Siasa

TRA iweke mfumo wa msamaha wa kodi kutekeleza miradi

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweka mfumo utakaotumika na kufanya msamaha wa Kodi kutokuwa kikwazo na...

Habari za Siasa

Chongolo alia na vigingi misamaha ya kodi miradi ya kimkakati

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema vigingi vilivyowekwa kwenye misamaha ya kodi ndio kikwazo kikubwa kinachosababisha kuchelewa kukamilika...

Habari za Siasa

Tanroads yatakiwa kuharakisha ujenzi wa barabara Kidatu-Kilombero

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameisisitiza Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kumsimamia kikamilifu mkandarasi anaye jenga kwa kiwango cha...

Habari za Siasa

Chongolo: Chama hakitaacha kuhoji, kufuatilia miradi

  KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Chama hicho hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa Ukaribu Miradi mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

CCM wampa maagizo mazito Waziri Makamba

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha umeme wa REA unawaka mwezi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Bashe apewa siku saba kuhakikisha skimu za umwagiliaji zinafanya kazi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 7 Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kufika katika Kijiji Cha Mvumi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo asikitishwa na mradi wa Mil 900 kutoanza kutoa manufaa

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amesema ipo haja ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kutembelea na kutatua mgogoro...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafufua mradi wa maji uliotelekezwa miaka 60 iliyopita

ZAIDI ya wananchi elfu tano wa Kijiji cha Msimba wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada...

Habari Mchanganyiko

Jamii ya wenye ulemavu kupewa mafunzo kidogitali

TAASISI inayojishughulisha na masuala ya kutoa elimu kwa jamii Zaina Foundation inajipanga kutoa mafunzo ya matumizi sahihi ya vifaa vya kidigitali kwa watu...

Habari Mchanganyiko

Jamii yatakiwa kuamini mazao ya kijenetiki kwani hayaleti mzigo wowote

JAMII imetakiwa kuamini na kutumia vyakula vinavyotokana na mazao ya kijenetiki (GMO) sababu hayaathiri chochote kwenye mwili wa binadamu ikiwemo kuwapa ugonjwa wa...

Habari Mchanganyiko

Viongozi watakiwa kutoingiza siasa katika utunzaji wa misitu

  VIONGOZI nchini wametakiwa kuacha kufanya siasa kwenye ardhi bali waitumie katika kuboresha shughuli za usimamizi endelevu wa misitu ikiwemo kuweka mipaka ya...

Habari Mchanganyiko

Wenye magonjwa sugu washauriwa kuachana na uzushi wapate chanjo

  MRATIBU wa huduma za chanjo mkoa wa Morogoro Dk. Masumbuko Igembya amewahimiza watu wote wakiwemo wenye magonjwa sugu kuachana na maneno ya...

Habari Mchanganyiko

Halmashauri zisimamie miradi shirikishi ya misitu

  HALMASHAURI za Wilaya zenye vijiji vinavyotekeleza miradi ya usimamizi shirikishi wa misitu na biashara endelevu ya mazao ya misitu nchini zimetakiwa kufanya...

Habari Mchanganyiko

Kukabiliana na ukame, Bodi ya Maji yasitisha vibali 12 vya watumia maji

BODI ya maji Bonde la Wami Ruvu katika kulinda vyanzo vya maji imelazimika kusitisha vibali 12 vya watumiaji maji mkoani Morogoro ili kupunguza...

Habari Mchanganyiko

MeTL yarekebisha Bajaj kuboresha mapato

  KAMPUNI ya Mohammed Enterprises Ltd (MeTL) imeamua kurejesha fadhila kwa wateja wake kwa kutoa huduma za kurekebisha (services) bajaji zaidi ya 1,500...

Habari Mchanganyiko

RC Shigela awaonya maofisa ugani wasiokuwa na mashamba darasa

  MKUU wa mkoa wa Morogoro, Martin Shigela amewata maofisa ugani kutumia taaluma yao kivitendo kwa kuweka mashamba darasa na kuwapa elimu wakulima...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijazi: Viongozi tengenezeni mazingira ya wananchi kuibua vivutio vya Utalii

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Allan Kijazi ameutaka uongozi wa mkoa wa Lindi, wilaya Kilwa na vijiji vyake,...

Elimu

Uhaba wa madarasa: Wanafunzi wasoma kwa zamu

WANAFUNZI wa shule ya Msingi Mkambarani iliyopo kata ya Mkambarani Halmashauri ya Wilaya na mkoa  wa Morogoro, wanalazimika kusoma kwa kupokezana madarasa kutokana na...

Habari Mchanganyiko

Wakuliwa watakiwa kupewa elimu sahihi ya matumizi ya mbolea

NAIBU Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo, maafisa ugani na watafiti kuendelea kujipanga kimkakati kutoa elimu ya matumizi sahihi...

Habari Mchanganyiko

Fisi aliyeua mtoto auawa

KIKOSI dhidi ujangili kutoka Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) kimefanikiwa kumdhibiti fisi aliyemuua mtoto Kwangu Makanda (11) na kujeruhi watu wawili katika...

Habari za Siasa

Watumishi wa Bunge watakiwa kuwa na uelewa mpana

WATUMISHI wa Ofisi ya Bunge na Waziri Mkuu wameshauriwa kuwa na uelewa mpana kuhusu nafasi yao katika mchakato na mipango mbalimbali ili sera...

Habari za Siasa

‘Lissu ndiye amiri jeshi mkuu ajaye’

SALUM Mwalimu, mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ndiye amir jeshi mkuu ajaye. Anaripoti Christina Haule,...

Habari Mchanganyiko

Nyamapori kuanza kuuzwa buchani, TAWA wapunguza bei

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepunguza bei za wanyama wa mbegu kwa asilimia 90 ili wananchi waweze kumudu gharama za ufugaji wanyamapori katika...

Habari Mchanganyiko

TASUWORI kuunganisha vijana 300

SHIRIKA la linalojishughulisha na Kulinda na Kutetea Haki za Wanawake Tanzania (TASUWORI), limeeleza kuwa tayari kuunganisha vijana 300 kutoka kwenye vikundi tisa vinavyofanya...

Habari Mchanganyiko

Wachungaji Marekani, Rwanda waombea corona wakiwa Tanzania

WACHUNGAJI kutoka nchi za Marekani na Rwanda wameahidi kuombea nchi zao na nyingine kuondokana na janga la Ugonjwa wa Corona kupitia Tanzania kwa...

Habari Mchanganyiko

Kampeni uwajibikaji inavyowafikia wenye ulemavu

SHIRIKA linaloshughulikia vijana na ulemavu la Raleigh Tanzania mkoani Morogoro, limewafikia watu 90 wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitatu. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea)...

Habari Mchanganyiko

TASAF kutambua kaya maskini kielektroniki

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umejipanga kutumia mfumo wa kielektroniki katika kuhakiki na kuzipata kaya maskini kwenye kipindi cha pili ya...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi Mkuu 2020: Wanahabari watakiwa kuzingatia maadili, kuepuka kuchochea machafuko

WANAHABARI nchini wametakiwa kuandika habari zikiwemo za uchaguzi kwa kuzingatia maadili, sheria na kanuni ili kuepuka vichocheo vya machafuko nchini na duniani kwa...

Habari Mchanganyiko

TOSCI yadhibiti mbegu feki

TAASISI ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) imefanikiwa kudhibiti uwepo wa mbegu feki baada ya kuimarisha matumizi ya lebo maalum ikiwemo kuweka...

Habari Mchanganyiko

Ufugaji wa Sungura na kukua kwa mnyonyoro wa thamani wa mkulima

UFUGAJI wa mnyama Sungura umekuwa na faida nyingi bila watu kujua duniani na hivyo kubaki wakifuga wanyama wengine. Anaripoti Christina Haule, Morogoro …...

Habari Mchanganyiko

TFRA: Mawakala, wasambazaji wafikirieni wakulima wadogo

MAWAKALA wa usambazaji mbolea kwa wakulima nchini wametakiwa kuweka mbolea zenye ujazo wa aina mbalimbali madukani ili wakulima wenye uwezo wowote wa kifedha...

Habari za Siasa

Wanawake watakiwa kupuuza misemo ya kukatisha tamaa

MISEMO ya kuvunja moyo wanawake kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye siasa imetakiwa kupuuzwa na wanawake wenyewe huku ikiwa ni njia ya mapendo...

Habari Mchanganyiko

Vijiji vinne kuondoka gizani kabla ya mwakani

WANANCHI wa vijiji vinne vya kata ya Ulaya, wilaya ya Kilosa, Morogoro wanatarajia kuondoka gizani kufuatia mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya...

Habari Mchanganyiko

Handeni kupanda shamba la kuni

SHUGHULI za utafutaji nishati ya kupikia nyumbani (kuni) kwenye misitu zinapaswa kubadilika na kutafuta kwenye shamba binafsi jambo litakalosaidia kuendeleza uhifadhi wa misitu...

error: Content is protected !!