JAMII imeshauriwa kuzingatia dhana ya usimamizi shirikishi wa misitu kibiashara yenye kulenga kuwapatia kipato kufuatia utunzaji wa misitu na uvunaji endelevu. Anaripoti Christina Haule,...
By Christina HauleJuly 27, 2018WAUMINI wa Kanisa la Mama Maria Mkuu wa Kanisa la Kigurunyembe Manispaa ya Morogoro mkoani hapo wameaswa kutobadili matumizi ya kanisa hilo na...
By Christina HauleJuly 26, 2018JUMLA ya shilingi mil 46 zimetengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani hapa kwa mwaka wa fedha 2018/19 kwa ajili ya Usimamizi...
By Christina HauleJuly 26, 2018KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Charles Francis kabeho amezingdua mradi wa kuchakata maji taka kwenye kiwanda cha nguo 21st Century...
By Christina HauleJuly 24, 2018WATAFITI wa mbegu waliopo kwenye vituo 16 vya Utafiti wa mazao mbalimbali hapa nchini wameshauriwa kuhakikisha mbegu wanazozalisha kwanza zinatumiwa na wakulima wanaozunguka...
By Christina HauleJuly 20, 2018TAASISI binafsi ya kusaidia Sekta ya kilimo Tanzania (PASS) imetenga kiasi cha Sh. 2 bilionikwa ajili ya kuwawezesha Wahitimu 100 kila mwaka kutoka Chuo Kikuu cha...
By Christina HauleJuly 20, 2018MATUMIZI ya mbegu bora za mazao mbalimbali hapa nchini yameongezeka kwa sasa kutoka asilimia 20 iliyokuwa miaka ya nyuma hadi kufikia asilimia 85...
By Christina HauleJuly 18, 2018TAASISI ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) kupitia kitengo cha Uhawilishaji teknolojia na mahusiano ina mpango wa kuzalisha mbegu za aina mbalimbali kwa...
By Christina HauleJuly 18, 2018WAZAZI na walezi wenye watoto walemavu wa akili na viungo nchini wameiomba Serikali kuwakatia Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu ya watoto...
By Christina HauleJuly 10, 2018JUMUIYA ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro imewasimamisha kazi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mkono wa Mara, Rajabu Vindili...
By Christina HauleJune 26, 2018BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro limeunda Kamati maalum ya kuchunguza upotevu wa kiasi cha Sh. 353 milioni ambazo hazikuingizwa...
By Christina HauleJune 10, 2018WAKULIMA Mkoani Morogoro wametakiwa kuchangamkia fursa ya kilimo cha pilipili kichaa kutokana na zao hilo kuwa na soko huku likiwa na sifa ya...
By Christina HauleJune 8, 2018WATOTO nchini wametakiwa kujenga ujasiri kwa kupaza sauti pindi wanapoona kuna viashiria vya unyanyasaji na vitendo vya ukatili dhidi yao kutoka kwa baadhi...
By Christina HauleJune 8, 2018JUMLA ya vikundi 46 vya wakulima wa mazao mbalimbali mkoani Morogoro wameanza kuondokana na adha ya kukosa masoko ya bidhaa zao kufuatia kukutanishwa...
By Christina HauleJune 4, 2018JUMLA ya Maofisa Kilimo kutoka katika Wilaya mbalimbali na mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamepatiwa mafunzo na kuwa wakaguzi walioidhinishwa ili kudhibiti matukio...
By Christina HauleMay 30, 2018TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Morogoro (TAKUKURU) imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wa Serikali kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya...
By Christina HauleMay 23, 2018WAFANYABIASHARA ndogondogo wanaopanga biashara zao chini katika maeneo mbalimbali Mkoa wa Morogoro wamepewa siku 14 kuhakikisha wanaweka bidhaa zao kwenye meza ili kuepuka...
By Christina HauleMay 21, 2018WAKULIMA wadogo mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kuyashauri makampuni ya mbolea kupunguza kipimo cha mifuko ya mbolea ambacho watamudu kununua ili...
By Christina HauleMay 16, 2018WAFANYAKAZI nchini wametakiwa kuendelea kuhamasika kujitokeza kwa wingi wakati wa maandamano kwenye siku ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ili...
By Christina HauleApril 29, 2018MKUU wa Idara ya mazao ya Utafiti wa kilimo Kanda ya Mashariki, Salvatory Kundi ameiomba Serikali kutafuta njia mbadala ya kuwawezesha wakulima wadogo...
By Christina HauleApril 22, 2018WATUMISHI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamewashauriwa kuchukua hatua ya kubadilika kuendana na mabadiliko yaliyopo katika usafiri wa ndege kwa sasa ili...
By Christina HauleApril 18, 2018WAFANYABISHARA wa mifugo wanaopeleka katika machinjio ya kisasa ya Kizota mkoani Dodoma wametishia kuacha biashara hiyo baada ya kuibuka kwa faini kubwa mbalimbali...
By Christina HauleApril 10, 2018WAFANYABIASHARA wametakiwa kufuata utaratibu na kutumia mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ili waweze kuuza bidhaa kihalali na kuepuka kuwapunja wateja...
By Christina HauleFebruary 14, 2018WAKULIMA wa bonde la mpunga la Mgongola lililopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuwapatia hatimiliki za mashamba yao ili waweze kuyaendeleza bila...
By Christina HauleJanuary 4, 2018CHAMA cha wafanyanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) kimepoteza zaidi ya wanachama 9,000 kufuatia hatua ya kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki na walioajiliwa...
By Christina HauleDecember 15, 2017WAFANYAKAZI wastaafu zaidi ya 100 wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kuanzia mwaka 2012 hadi 2017 wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kitendo...
By Christina HauleDecember 12, 2017HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imeombwa kuweka wazi na kuanza mapema ujenzi wa soko kuu jipya la kisasa, anaandika Christina Haule. Soko hilo...
By Christina HauleOctober 30, 2017MWENYEKITI wa Kamati ya Mipango Miji katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo ameiomba iundwe kamati maalum kwa...
By Christina HauleOctober 30, 2017WAFANYABIASHARA wa soko la kuku mkoani Singida wameiomba Serikali kuangalia na kuboresha upatikanaji wa masoko ya uhakika hapa nchini, anaandika Christina Haule. Ombi...
By Christina HauleOctober 20, 2017CHAMA cha wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania (TAS) kimemuomba Rais Dk. John Magufuli kutoa tamko la kukemea vikali vitendo vya ukatili kwa watu...
By Christina HauleOctober 5, 2017WAFUGAJI katika wilaya ya Mvomero Mkoani hapa wametakiwa kufuata maelekezo wanayopewa na maofisa kilimo na mifugo juu ya ufugaji wa kisasa ili kupunguza...
By Christina HauleOctober 5, 2017WATU watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo la dawa ya kuleya aina ya bangi, anaandika Christina Haule....
By Christina HauleOctober 4, 2017JESHI la polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumkata mkono mlemavu wa ngozi /albino katika kijiji cha Nyarutanga kata...
By Christina HauleOctober 4, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) imewataka wafanyabiashara wakubwa na wa kati kuzingatia bei elekezi ya uuzaji wa mbolea na uhifadhi wake...
By Christina HauleOctober 3, 2017SERIKALI imeombwa kutoa elimu kwa viongozi wa ngazi za vijiji ili waweze kusimamia na kuzitumia sheria ndogo za ardhi zilizopo kwa ajili ya ...
By Christina HauleOctober 3, 2017WAKAZI wa kata mbalimbali wilayani Mvomero mkoani Morogoro wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Chama cha Waandishi wa Habari (MOROPC), ili kuboresha shughuli za kupambana...
By Christina HauleSeptember 28, 2017SERIKALI imetakiwa kufufua chuo cha elimu ya tetemeko la ardhi kilichowepo mkoani Dodoma ili kuwafanya Watanzania kutambua na kujikinga mapema na madhara ya...
By Christina HauleSeptember 21, 2017WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeombwa kuangalia uwezekano wa kuipa usajili shule ya sekondari ya Matuli iliyopo wilayani Morogoro vijijini ili...
By Christina HauleSeptember 18, 2017WANACHAMA watatu wa Chama cha ACT -Wazalendo akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Morogoro kusini Mashariki mwaka 2015 na Mwenyekiti wa jimbo...
By Christina HauleSeptember 18, 2017SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga maeneo kwa ajili ya ufugaji mkubwa kwa kutumia mashamba pori yaliyotaifishwa kutoka kwa wakulima walioshindwa kuyaendeleza ili...
By Christina HauleSeptember 12, 2017TAASISI ya kifedha ya inayohusika na kukopesha mashine mbalimbali ikiwemo matrekta (EFTA), imeahidi kuendelea kuboresha huduma hizo ili kuongeza nguvu za kukuza uchumi...
By Christina HauleAugust 31, 2017UKOSEFU wa Zahanati na ubovu wa miundombinu katika kata ya Mabula wilayani Kilosa mkoani Morogoro imesababisha wanawake watatu kupoteza maisha wakati wakiwahishwa kujifungua...
By Christina HauleAugust 31, 2017MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Hassan Mkopi amesema Wilaya ina mpango wa kujenga chumba kimoja cha Maabara katika kila shule ya...
By Christina HauleAugust 29, 2017SERIKALI kupitia wizara ya kilimo na mifugo imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwapatia mashamba wakulima wanaotoa elimu kwenye maonesho ya wakulima ya imo nane...
By Christina HauleAugust 5, 2017SERIKALI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevifungia vituo vinne vya kuuza mafuta, kwa kosa la kukiuka agizo la...
By Christina HauleAugust 3, 2017WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewahimiza viongozi kuanzia ngazi ya mkoa, wilaya hadi vijiji kuhakikisha wanasimamia uwepo wa bei nzuri...
By Christina HauleAugust 2, 2017MAKUNDI mawili ya vijana wapatao 40 kutoka wilaya ya Kilosa mkoani hapa wamepatiwa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 10 milioni...
By Christina HauleJuly 22, 2017SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatarajia kukusanya kiasi cha Sh.trilioni 1.3 kwa mwaka wa fedha 2018/2019, anaadika Christina Haule. Mkurugenzi...
By Christina HauleJuly 21, 2017WIZARA ya Maji na Umwagiliaji kupitia Bonde la Wami Ruvu inakusudia kutangaza eneo hilo kama hifadhi ya vyanzo vikuu vya maji nchini, anaandika...
By Christina HauleJuly 21, 2017CLIFFORD Tandari, Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro amewataka watafiti wa zao la miwa kuhakikisha wanapata mbegu zinazostahimili kilimo cha milimani ili kuachana na...
By Christina HauleJune 30, 2017