RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 31 Agosti, 2022 amejumuika na viongozi wa...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa msimamo madhubuti dhidi ya mwenendo wa ufisadi ndani ya Serikali ya Zanzibar na kutaka hatua za kisheria zichukuliwe...
By Jabir IdrissaAugust 31, 2022KATIKA jitihada za kutafuta fursa mbalimbali za ajira kwenye sekta ya afya, ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022SERIKALI ya Tanzania imelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kusimamia usalama na ulinzi wa taifa jukumu ambalo Benki ya NMB imesema limechangia kwa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 31, 2022, limemwachia kwa dhamana laiyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022MSEMAJI wa sekta ya uwekezaji, mashirika ya umma na hifadhi ya jamii wa ACT wazalendo, Mwanaisha Mndeme, amesema kuanzia mwaka 2018 hadi 2022...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022MAWAKALA wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania wamekutana na kujadili fursa za ajira na Mawakala wenzao wa ajira binafsi wa Qatar, Jijini...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022UJUMBE wa Serikali ya Tanzania unaoongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Jamal...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022BENKI ya NMB imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine – ATM) ya kwanza katika Uwanja wa Ndege ya Kimataifa ya Kilimanjaro...
By Gabriel MushiAugust 31, 2022MFANYABIASHARA Patrick Christopher Kamwelwe mkazi wa New York nchini Marekani ameshusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022MJANE wa Marehemu Agustino Mrema amesema hadi sasa ameshapokea watoto watatu wa nje ya ndoa wa mume wake ambao walikuwa hawajapokewa na...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillius Wambura amesema takwimu zinaonesha makosa ya jinai pamoja na ajali za barabara zimeongezeka katika kipindi...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022TUME ya Haki za Kibinadamu nchini Pakistani (HRCP) imepinga hatua ya serikali nchini humo ya kuingiza tamko la imani ya Kiislam katika fomu...
By Gabriel MushiAugust 30, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022, imeamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kumpa mgombea urais wa Muungano...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujikita katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa lengo la...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuboresha kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliani...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kufanya kikao cha Halmashauri Kuu tarehe 4 Septemba mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine kitaidhinisha jina la...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022 imeanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022JAJI Mkuu wa Kenya, Martha Koome leo mchana ameahirisha kesi ya kupinga matokeo ya urais nchini humo baada ya kuibuka mabishano ya...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kuwajali na kuboresha maisha ya wazee nchini, Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imetoa msaada...
By Gabriel MushiAugust 30, 2022MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam – Azam FC leo tarehe 29 Agosti, 2022 wamethibitisha kumbadilishia majukumu kocha wao mkuu, Abdihamid...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022JAJI mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema mitandao ya kijamii haitoi taarifa sahihi kuhusu namna au utaratibu ambao wanautumia kupata majaji...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema upo umuhimu wa kutenganisha shughuli za msingi za magereza na zile shughuli za...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema ndani ya miezi 15 mahakama imepata ongezeko la majaji 52, tisa wakiwa wa Mahakama ya...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wataendelea kusota gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022BENKI ya NMB ni miongoni mwa taasisi zilishiriki uzinduzi wa Tamasha Kubwa la Kizimkazi, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
By Gabriel MushiAugust 29, 2022JENGO la makao makuu ya chama cha Jubilee lililopo katika mtaa wa Pangani, kaunti ya Nairobi nchini Kenya linatarajiwa kupigwa mnada Septemba...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili ambao utatekelezwa na Shirika la...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, George Simbachawene, ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kushughulikia mgogoro...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022BENKI ya NMB na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ambapo NMB itafadhili Matengenezo...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022MASHIRIKA mbalimbali ya maendeleo ya kimataifa yameungana kuendesha mafunzo maalumu juu ya matumizi bora ya vyombo vya habari kuhamasisha umma wa Watanzania kujikinga...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Soka ya Simba Qeens SC kwa kutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki wa CECAFA 2022 kwa Wanawake...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022WAZIRI Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amepimwa na kukutwa na maambukizi Covid-19 wakati akiwasili nchini Tunisia kushiriki mkutano wa nane wa Kimataifa...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022MKUU wa mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ameitaka Serikali kurejesha watu maalumu wa kufuatilia mienendo ya mauzo ya madini ya Tanzanite maarufu kama...
By Masalu ErastoAugust 27, 2022MJI mdogo wa Mirerani uliopo katika wilaya Simanjiro mkoani Manyara umeongeza bilione mpya wa madini ya Tanzanite baada ya mchimbaji mdogo Anselim...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022MKE wa marehemu Augustine Mrema, mwanasisasa mashuhuri nchini aliyefariki dunia 21 Agosti na kuzikwa juzi Alahmisi, Doreen Kimbi Mrema, ameanza kuonja joto ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kuachana na ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye uwezo wa kubeba...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022TAARIFA zilizotufikia hivi punde Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limemkamata aliyekuwa Meneja wa TRC mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022MAWAKILI wa upande wa waleta maombi wamepinga upande wa washtakiwa (Chadema), kuwahoji Halima Mdee na wenzake saba ambao waliitwa mahakamani leo kwaajili...
By Masalu ErastoAugust 26, 2022MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetangaza kuanza rasmi kutumia mfumo wa malipo ya Serikali kuanzia malipo...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022SHIRIKISHO la Kimataifa la kufuatilia utakatishaji fedha haramu na Ugaidi (FATF) linarajia kufika nchini Pakistani Mwezi ujao ili kuhakikisha kuwa nchi hiyo...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022KWA mara ya kwanza Halima Mdee na wenzake sita, ambao ni Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wamefika mahakamani kuitika...
By Masalu ErastoAugust 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti nane wa Bodi za Mazao na Taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Kilimo pamoja na Mkurugenzi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2022MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema umezikwa jana kijijini kwake Kiraracha- Marangu mkoani Kilimanjaro huku viongozi wa dini na wanasiasa...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022NYUMBA ya mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, marehemu James Mapalala imebomelewa kwa amri ya mahakama baada ya Mahakama Kuu Tanzania kutupilia mbali kesi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2022JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limefungua dirisha la maombi kwa vijana wa Kitanzania kujitolea kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kuanza mchakato...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam inatarajiwa kuanza kusikiliza rasmi shauri la kupinga kuvuliwa uanachama la Halima Mdee na wenzake 18...
By Faki SosiAugust 25, 2022