Tuesday , 21 May 2024
Home Habari Mchanganyiko NMB kushiriki Tamasha la Kizimkazi
Habari Mchanganyiko

NMB kushiriki Tamasha la Kizimkazi

Spread the love

BENKI ya NMB ni miongoni mwa taasisi zilishiriki uzinduzi wa Tamasha Kubwa la Kizimkazi, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Zanzibar, Naima Saida Shaame akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Zanzibar ambapo Benki ya NMB imedhamini Tamasha hilo.
Mkuu wa Mkoa Kusini, Rashid Hadid Rashid kizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Zanzibar ambapo Benki ya NMB imedhamini Tamasha hilo.
Mkuu wa Mkoa Kusini, Rashid Hadid Rashid (katikati) akizungumza na Meneja wa Benki ya NMB wa Biashara Zanzibar, Naima Said Shaame na Mkuu wa Wilaya ya Kusini, Rajan Yussuf Musabaha (kushoto) baada ya Mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Zanzibar ambapo Benki ya NMB ni wadhamini wakuu wa Tamasha hilo linalotarajia kuzindua rasmi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

Spread the loveNaibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Nchimbi aonya maofisa utumishi kuacha uonevu

Spread the loveKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Kasike ateta na mjumbe wa FRELIMO

Spread the loveBalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine...

Habari MchanganyikoKimataifa

Zuma akwaa kisiki, mahakama yamzuia kuwani urais

Spread the loveMahakama ya katiba nchini Afrika Kusini, katika uamuzi wake imesema...

error: Content is protected !!