Friday , 24 May 2024

Month: September 2019

Habari Mchanganyiko

Lugola: Tutafika pahala, maiti zitachukuliwa hatua

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amekemea uzembe wa baadhi ya askari polisi dhidi ya wahalifu wa ujambazi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mbowe apata ulinzi wa Polisi

JESHI la Polisi wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro, limevamia mkutano wa ndani wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kwa kile kilichoelezwa kuwa...

Habari za Siasa

CUF yaibua kasoro uandikishaji daftari la wapiga kura

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelalamikia zoezi la uandikishaji wa Daftari la Wapiga kura, kikieleza kwamba lina kasoro. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Malalamiko hayo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM awachimba mkwara wahujumu uchumi walioukataa msamaha wake

RAIS John Magufuli amewapa angalizo watuhumiwa wa uhujumu uchumi, walioshindwa kutumia fursa ya msamaha alioutoa hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Watuhumiwa 467 uhujumu uchumi waomba toba, kulipa Bil. 107.1

WATUHUMIWA 467 wa uhujumu wameomba toba, na kukubali kurejesha serikalini fedha walizotafuna zaidi ya Sh. 107.1 bilioni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aibuka na mbinu ya kuing’oa CCM

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe aeleza mbinu zitakazotumiwa na chama hicho kukiondoa madarakani  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia uchaguzi wa serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Butiku: Tuko kwenye wakati mgumu

MZEE Joseph Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevitaka vyama vya siasa kufuata misingi ya Katiba, ili kuirudisha nchi kwenye mstari...

Habari za Siasa

AZAKI zang’ata na kupuliza utendaji wa JPM

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI) zimeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuboresha huduma za kijamii na...

Habari Mchanganyiko

Kichaa cha Mbwana tishio kwa watoto

UGONJWA wa kichaa cha mbwa umetajwa kuwa tishio kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa hiyo...

Elimu

Kongwa, Chalinze wakumbushwa cha kufanya mradi wa usomaji vitabu

IDARA  ya Elimu Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma na Wilaya ya Chalinze, Pwani wametakiwa kuhakikisha wanaendeleza mambo muhimu waliyonufaika na Mradi wa Usomaji...

Habari za Siasa

Kigogo CCM aivua nguo UVCCM

KAPTENI Mstaafu, Alhaji Mohammed Ligora aliyewahi kuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, amewashukia makada wa Umoja wa...

Habari za SiasaTangulizi

Madai ya Katiba Mpya, yaibuka upya

ASASI za Kiraia nchini, zimeikumbusha serikali kutimiza ahadi yake ya upatikanaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano, kabla ya mwaka 2021. Anaripoti Regina...

Elimu

Wazazi watakiwa kushirikiana na walimu kuwajenga watoto

WAZAZI pamoja na walezi wametakiwa kujenga utamaduni wa kushirikiana na walimu ili kuweza kuwajenga watoto katika malezi bora. Anaripoti Danson Kaijage, Moshi …...

Afya

Mifumo ya Afya yatakiwa kuandikwa kwa kiswahili kusaidia wananchi

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Zainabu Chaula amewagiza wataalamu wa sekta ya Afya wanaohusika...

Habari Mchanganyiko

Palestina yatoa msimamo UN

RAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas amesema, kama Israel itaendelea kukwapua ardhi yake katika mji wa West Bank, itajiondoa kwenye mikataba yote iliyoingia na...

Habari za Siasa

AZAKI kuzindua ilani ya uchaguzi

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI), kesho tarehe 28 Septemba 2019, zimepanga kuzindua ilani ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi: Waliotuma maombi kwa DPP watajwa

MAJINA ya watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi nchini, waliomwandikia Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga yameanza kutajwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Tayari Dk...

Habari za Siasa

Serikali yaahidi kutoa ushirikiano kwa LHRC

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa kituo cha msaada wa Kisheria na haki za...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa: Kama hutoshi, ondoka

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu amewataka viongozi wa umma wanaojiona hawatoshi katika nafasi walizopo, waachie ngazi. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Majaliwa ametoa kauli hiyo leo tarehe...

Kimataifa

Trump aanza kuonja machungu

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameanza kuonja machungu baada ya mchakato wa kung’olewa kushika kasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kupitia tamko...

Habari za Siasa

Makonda abanwa mbavu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amebanwa mbavu, na sasa ameamua kulipiza kisasa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). “Mnapiga  majungu yenu, sasa...

Habari za Siasa

Chadema wamweka kwenye kona IGP Sirro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa mtihani mzito Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Alhaj Mwinyi mwenyekiti mpya MUHAS

RAIS John Magufuli amemteua Alhaji Ali Hassan Mwinyi,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...

Habari Mchanganyiko

Kauli ya JPM ilivyobadili upepo Coco Beach

KAULI ya Rais John Magufuli kwamba mradi wa kuendeleza ufukwe wa Coco Beach, jijini Dar es Salaam hauna tija, imewafariji wafanyabiashara wa eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Hakimu amtolea nje Dk. Mashinji, Matiko

OMBI la kusafiri nje ya nchi la Dk. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu Chadema na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini, limekataliwa. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Kauli ya JPM, LHRC yatoa tahadhari

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha dhana ya makubaliano ya kukiri kosa, inatumika kwa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro yamemfika pomoni

VITA vya madaraka ndani ya Jeshi la Polisi, vimemfika pomoni mkuu wa jeshi hilo, IGP Simon Sirro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli yake...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti NBS

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi: Vigogo wafurika kwa DPP

IDADI ya barua za kuomba msamaha kutoka kwa watuhumiwa wa uhujumi uchumi, zinaingia kwa kasi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Watendaji Kata wapewa rungu katika maeneo yao

MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro, Adam Mgowi amewataka watendaji wa kata kufanya kazi ya kusimamia mambo yanayotolewa na Serikali ikiwemo rasilimali fedha,...

Habari za Siasa

Chadema kwenda na majeruhi wa risasi kortini

UPANDE utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, umepanga kwenda mahakamani na mashahidi waliojeruhiwa kwa risasi. Anaripoti Faki Sosi...

Habari Mchanganyiko

Tetesi za Ebola: WHO yatuma mjumbe Tanzania

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetuma mjumbe wake Dk. Tigest Ketsela Mengestu nchini Tanzania, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na serikali kuhusu tetesi za...

Habari Mchanganyiko

Tumieni fursa zinazojitokeza-Mavunde

ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Rais anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, amewataka vijana kutumia vyema fursa wanazozipata ili kujiingizia kipato badala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba: Kuna sintofahamu nchini

JAJI Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania amesema, kuna dalili za uwepo wa matukio yanayodhoofisha umoja, uzalendo na mshikamano wa Taifa....

Habari za Siasa

Zitto: Naiona ndoto hii

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameendesha maombi ‘maalum,’ kuliombea taifa kupitia ukurasa wake wa twitter. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Katika maombi...

Habari za Siasa

JPM ‘aitekenya’ Chadema

USHAURI wa Rais John Magufuli, uliyomtaka Biswalo Maganga, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DPP), kuangalia namna ya kuzungumza na watuhumiwa wa uhujumu uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘afukua makaburi’ Chadema

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amezungumzia tukio la kutimuliwa kwake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwamba lilimpa...

Habari Mchanganyiko

Hatma ya Aveva na mwenzake Ijumaa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kutolea uamuzi juu hatma ya dhamana ya aliyekuwa Rais wa klabu ya Simba, Evance Aveva na Makamu...

Habari Mchanganyiko

Kuachwa wahujumu uchumi: DPP amjibu JPM

OMBI alilolitoa Rais John Magufuli la kuwaacha huru wahujumu uchumi iwapo watakuwa tayari kurudisha fedha, limeambatana na masharti. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Biswalo Mganga,...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

IMECHUKUA siku saba tu kutekelezwa kauli ya Rais John Magufuli, ya kushughulikia tatizo la maji kwenye jimbo la Singida Mashariki lililokuwa likiongozwa na...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi saba waangukiwa jengo, wafariki

WANAFUNZI saba wa Shule ya Msingi Precious Talent, katika eneo la Ngado, Nairobi nchini Kenya wameripotiwa kufariki baada ya kuangukiwa na jengo la...

Habari Mchanganyiko

Benki 5 zalimwa faini Bil 1.8

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezipiga faini benki tano kwa ukiukwaji wa kanuni za Sheria ya Utakatishaji Fedha Haramu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa...

Habari Mchanganyiko

Ajali ya Ndege Serengeti: Wawili wafariki

WATU wawili wamefariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 23 Septemba 2019, kwenye uwanja wa ndege mdogo wa Seronera...

Habari Mchanganyiko

Hiki ndio kilio cha mmiliki wa Coco Beach

ALPHONCE Buhatwa, mmiliki wa Hoteli ya Coco Beach iliyopo kwenye fukwe ya Oysterbay, jijini Dar es Salaam iliyoungua moto tarehe 22 Septemba 2019,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli agusa maisha ya Rugemarila, Seth

RAIS John Magufuli ameshauri wafungwa walioko mahabusu kwa tuhuma za uhujumu uchumi, kama wako tayari kuomba radhi na kuzirudisha fedha walizotafuna, watolewe. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Moto wateketeza jengo Coco Beach

JENGO moja katika fukwe ya Coco Beach, limeteketea kwa moto mchana wa leo tarehe 22 Septemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jenipher...

Habari za SiasaTangulizi

Siku nane za Mbowe, wenzake kujinasau kizimban

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajiwa kuanza kujitetea kwa siku nane mfululizo. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Ni katika...

Habari za Siasa

IGP Sirro aonya Polisi kujihusisha na siasa

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka askari polisi kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, na kukwepa kujihusisha na...

Habari Mchanganyiko

Mlipuko wa bomu wauwa mmoja na kujeruhi wawili Kibaha

MBARAKA Koromera (37) amepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika mlipuko wa kifaa kinachodhaniwa kuwa bomu, uliotokea maeneo ya Msangani wilayani Kibaha mkoa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa majibu sintofahamu zao la korosho

SERIKALI yatoa majibu kuhusu sintofahamu ya zao la korosho, iliyojitokeza kufuatia hatua yake ya kuingilia kati uuzaji wa korosho ghafi za msimu wa...

error: Content is protected !!