SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limemwaga neema kwa watu wenye ulemavu nchini kupitia fursa ya uwakala na uuzaji wa mkaa mbadala wa...
By Danson KaijageSeptember 29, 2023MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema Mwenge wa Uhuru ambao umetoa mkoani humo kutokea Tabora, unatarajiwa kuzindua miradi yenye thamani ya...
By Danson KaijageSeptember 22, 2023MSEMAJI wa Jeshi la polisi Tanzania David Misime SACP amewataka waandishi wandishi wa habari kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kukuza maslahi...
By Danson KaijageSeptember 19, 2023MKUU wa Mkoa wa Singida Peter Selukamba ametoa siku saba kwa halmashauri ya Iramba, Mkarama, Singida Dc na Manispaa kuhakikisha miradi ya elimu...
By Danson KaijageSeptember 18, 2023WADAU wanaoshughulika na malezi na makuzi ya watoto wametakiwa kushirikiana ili kufanikisha malengo ya Programu Jumuishi ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya awali...
By Danson KaijageSeptember 16, 2023ASKOFU Mkuu wa kanisa la Glory to God Ministry for All Nations lenye makao makuu Mailimbili Jijini Dodoma, Dk. Benson Rutta amewataka watanzania...
By Danson KaijageSeptember 9, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Majengo (TBA) kuhakikisha unakusanya deni la Sh 81.5 bilioni wanazodai kwa wapangaji wao sambamba na...
By Danson KaijageSeptember 8, 2023VIJANA wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameshauriwa kuchangamkia fursa katika sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji ili waweze kujiajiri na kuajiri wezao...
By Danson KaijageSeptember 8, 2023MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) jijini Dodoma, Wisdom Gowele ametoa wito kwa vijana kutumia nguvu zao ujanani kuwekeza...
By Danson KaijageSeptember 1, 2023LICHA ya Serikali kuhamasisha kilimo kwa ajili ya kuwainua wakulima kipato cha chini, wakulima wa zao la vanila katika kata ya Kanyangereko Wilaya...
By Danson KaijageAugust 26, 2023MTENDAJI wa Kijiji cha Huzi Kata ya Huzi Wilayani Chamwino mkoani Dodoma, Sospeter Ngalongwa amewataadharisha baadhi ya watu wanaoingia kijijini hapo kununua ardhi...
By Danson KaijageAugust 15, 2023WAFANYABIASHARA wanaotarajia kukopa ili kuendesha biashara wameshauriwa kuchukua mikopo kwenye taasisi za kifedha ambazo zimesajiliwa na Benki Kuu (BoT). Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageAugust 8, 2023HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi imewaomba wawekezaji kuwekeza kwenye sekta za kilimo, mifugo na uvuvi wilayani humo ili kuongeza uzalishaji na kuleta...
By Danson KaijageAugust 4, 2023MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema maonesho ya wakulima ya nane nane yanatakiwa kulenga zaidi kutoa elimu kwa wakulima ili kilimo...
By Danson KaijageJuly 31, 2023WATANZANIA wameshauriwa kuwa na utamaduni wa kutumia gesi kwa matumizi ya kawaida ili kuepukana na matumizi ya mkaa ambao ni chanzo cha uharibifu...
By Danson KaijageJuly 29, 2023BUNDI ametua rasmi kwenye huduma ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship jimbo la Dodoma baada ya uongozi wa jimbo kudaiwa kuvamia kanisa...
By Danson KaijageJuly 28, 2023SHIRIKA la Light for the World Tanzania wametoa pikipiki 20 za kuwawezesha walimu wa elimu maalumu na vifaa mbalimbali vya kufundishia kwa watoto...
By Danson KaijageJuly 26, 2023VIONGOZI wa dini zote nchini wametakiwa kuacha mafundisho yanayolenga kupandikiza chuki kati ya dini na dini na badala yake wahimize upendo, amani na...
By Danson KaijageJuly 25, 2023ASKOFU wa Kanisa la Baptist Kanda ya Kati, Anthony Mlyashimba ametoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake kukubali kuufumua mkataba...
By Danson KaijageJuly 23, 2023WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Miliki za Ardhi (LTIP) inakusudia kupanga, kupima na kusajili...
By Danson KaijageJuly 16, 2023IMEELEZWA kuwa kitendo cha wastaafu kuwekeza fedha zao za fao katika miradi ambayo hawana uzoefu nayo imetajwa kuwa ni moja ya chanzo cha...
By Danson KaijageJuly 13, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeitahadharisha jamii kuacha tabia ya kujenga makazi yao karibu na hifadhi za wanyamapori zikiwemo shughuli za...
By Danson KaijageJuly 10, 2023WADAU wanaofadhiri fedha kwa ajili ya kuwezesha mpango wa kunusuru kaya maskini katika kipindi cha pili kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
By Danson KaijageJuly 9, 2023JUMA Nyakanyenge, mkazi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wake...
By Danson KaijageJuly 7, 2023IMEELEZWA kuwa asilimia 30 ya watoto wenye umri kuanzia siku 0 hadi miaka nane wanakabiliwa na udumavu wa akili huku mikoa yenye uzalishaji...
By Danson KaijageJuly 7, 2023KATIKA mwaka wa fedha wa 2021/23 jumla ya fedha kiasi cha Sh 102 milioni zimewanufaisha wakazi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnina...
By Danson KaijageJuly 6, 2023MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji ya Dhamana (CMSA) imesema mpaka sasa thamani ya uwekezaji kwa masoko na mitaji imefikia Sh 35 trilioni. Anaripoti...
By Danson KaijageJune 20, 2023UMOJA wa Machifu wa Chigogo katika Mkoa wa Dodoma umesema kuwa umejipanga kufanya kazi kwa ukaribu na mashirika ya dini pamoja na serikali...
By Danson KaijageJune 19, 2023SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7 kwa kiwango cha...
By Danson KaijageJune 17, 2023ASKOFU mkuu wa Kanisa la Karmali Assembles of God Tanzania,( KAGT) na Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano mkoa wa Dodoma ,Dk. Evance Chande...
By Danson KaijageJune 11, 2023WAZIRI wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto, Wazee na Makundi Maalum Dk.Dorothy Gwajima leo tarehe Mosi Juni 2023 amewaagiza maafisa...
By Danson KaijageJune 1, 2023IMETAJWA kuwa migogoro ndani ya ndoa au kwenye familia zilizo nyingi imechangia kwa kiasi kikubwa cha kuwepo kwa kazi kubwa ya watoto wa...
By Danson KaijageJune 1, 2023SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua mpango mpya wa kuwezesha wanawake kiuchumi ujulikanao kwa jina la...
By Danson KaijageMay 31, 2023AFISA Mazingira wa Jiji la Dodoma Dickson Kimaro amewaagiza watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya jiji la Dodoma kuwakamata watu ambao...
By Danson KaijageMay 6, 2023KWA kipindi cha miezi 16 mpaka sasa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo Jijini Dodoma wamedai kupata hasara ya zaidi ya Sh...
By Danson KaijageApril 29, 2023MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa mpaka kufikia Aprili mwaka huu, takwimu...
By Danson KaijageApril 29, 2023WAFANYABIASHARA nchini wameshauliwa kulinda bidhaa zao na kuziongezea ubora wa thamani kwa kutumia mfumo wa Barcodes huku watumiaji wa nyaraka muhimu ambazo...
By Danson KaijageApril 28, 2023SERIKALI imesema kuwa takwimu zilizokusanywa mwaka 2022 zinaonesha jumla ya watu milioni 2.9 hupoteza maisha duniani wakiwa katika mazingira ya kazini huku...
By Danson KaijageApril 28, 2023MKURUGENZI Mkuu wa COSTECH, Dk. Amos Nungu amewataka watanzania kuziamini na kuzitumia bunifu zinabuniwa na vijana wa kitanzania ikiwemo kuzinunua na kurejesha...
By Danson KaijageApril 28, 2023JESHI la Polisi mkoani Dodoma limewathibiti na kuwaua majambazi wanne wa kiume ambao majina yao bado hayajatambulika wenye umri kati ya miaka kati...
By Danson KaijageApril 27, 2023MFUKO wa Maendeleo ya Masoko ya Kilimo (AMDT) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) umeanza kutekeleza mradi endelevu...
By Danson KaijageApril 26, 2023SHEIKH wa mkoa wa Dodoma Alhaji Mustapha Rajabu Shaabani amesema suala la kukemea au kupinga vitendo haramu vya ushoga na ndoa za...
By Danson KaijageApril 23, 2023MWANASIASA nguli nchini ambaye pia Waziri Mkuu mstaafu,John Samwel Mallecela ameitaka serikali kuweka sheria ngumu au kifungo cha muda mrefu kwa mtu yeyote...
By Danson KaijageApril 9, 2023IMEELEZWA kuwa vitendo vya uvunjifu wa maadili kwa wauguzi na wakunga pamoja na ‘vishoka’ ambao wamekuwa wakijiingiza katika taaluma hiyo bado ni kikwazo...
By Danson KaijageMarch 18, 2023UONGOZI wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Kata ya Chamwino mkoani Dodoma umefanya matembezi ya amani ya kuunga mkono kauli ya Muft Mkuu...
By Danson KaijageMarch 18, 2023WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ili kuinua pato la Taifa ikiwa ni pamoja na kujivunia rasilimali muhimu za nchi...
By Danson KaijageMarch 16, 2023MAMLAKA ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) imefanikiwa kufunga dira za maji 6700 za malipo ya kabla...
By Danson KaijageFebruary 27, 2023WATANZANIA wameshauriwa kutopenda kujitumbukiza kwenye masuala ya mikopo kama hawajajipanga kwa kujua wanachotakiwa kukifanya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Rai hiyo imetolewa...
By Danson KaijageFebruary 16, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangya Bangu amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo kumeonesha kuwepo kwa...
By Danson KaijageFebruary 16, 2023PAMOJA na Wakala wa Majengo Tanzania TBA kuweza kufanya kazi kwa mafanikio makubwa lakini bado inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi....
By Danson KaijageFebruary 15, 2023