MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Shekimweri Jabiri amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanapeleka watoto wao shule hususani walioshindwa kuendelea na masomo. Anaripoti...
By Danson KaijageSeptember 8, 2022WIZARA ya Afya imeeleza chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF), ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wananchi...
By Danson KaijageSeptember 1, 2022SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa gawio kwa Serikali kiasi cha Sh 2.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/21 huku wakitarajia...
By Danson KaijageAugust 12, 2022MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philip Mpango ameagiza wizara ya Madini, STAMICO na NEMC kuongeza kasi ya ukaguzi...
By Danson KaijageAugust 12, 2022ASILIMIA kubwa ya migogoro ya ardhi kwa upande wa uthamini unasabishwa na wahusika kushindwa kutambulisha mali zao kwa usahihi. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageAugust 4, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amewataka wanahabari nchini kujenga tabia ya upendo na kujaliana wakati...
By Danson KaijageJuly 30, 2022SERIKALI imeombwa kuhakikisha inapeleka wataalamu wa mifugo kwa wafugaji ili kuweza kufanya ufugaji wenye tija. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...
By Danson KaijageJuly 30, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kutenga...
By Danson KaijageJuly 30, 2022SERIKALI imeombwa kuhakikisha inapeleka wataalamu wa mifugo kwa wafugaji ili kuweza kufanya ufugaji wenye tija. Anaripoti Danson Kaijage,Dodoma(Endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...
By Danson KaijageJuly 29, 2022MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...
By Danson KaijageJuly 28, 2022SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) limepeleka mapendekezo yake Serikalini ya kutoridhika na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma iliyoanza...
By Danson KaijageJuly 28, 2022WAKAZI wa Jiji la Dodoma wapatao 40,000 wanatarajiwa kunufaika kwa kuunganishiwa maji kutokana na fedha za mkopo wa masharti nafuu za UVIKO...
By Danson KaijageJuly 27, 2022IFIKAPO mwisho wa mwezi Julai mwaka huu mabasi yote yaendayo mikoani na nchi jirani yatalazimika kuingia katika mfumo wa tiketi za kielekroniki vingenevyo...
By Danson KaijageJuly 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kuendeleza maono ya shujaa Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwamba makao makuu ya...
By Danson KaijageJuly 25, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika sherehe za kumbukumbu ya mashujaa itakayofanyika kitaifa...
By Danson KaijageJuly 22, 2022MKUU wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Pendo Mkali amewataka wananchi wa...
By Danson KaijageJuly 16, 2022MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa, meupiga madogo uongozi uliopita kwa kile alichoeleza kuwa ni kupitia kipindi kigumu...
By Danson KaijageJuly 15, 2022JESHI la Polisi jijini Dodoma limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wakazi wa Muhuji mtaa wa relini waliokuwa wamelikamata gari lililotumika kuwabeba...
By Danson KaijageJuly 14, 2022WAZAZI na walezi wametakiwa kuwalea watoto wao katika misingi ya dini ili kuepukana na kizazi chenye ukatili na unyanyasaji hapo baadaye. Anaripoti...
By Danson KaijageJuly 13, 2022SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Mustafa Rajabu amekemea vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji ambavyo vinafanywa na baadhi ya watu na...
By Danson KaijageJuly 8, 2022NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...
By Danson KaijageJune 30, 2022WATAALAMU wa Afya Nchini Tanzania, wameshauriliwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya taaluma yao kwa kutunza miundominu ya majengo...
By Danson KaijageJune 30, 2022WANAFUNZI wa shule ya msingi Peaceland English Medium iliyopo Ukerewe Jijini Mwanza wamesema kuwa kitendo cha serikali kupitisha elimu bure kuanzia shule...
By Danson KaijageJune 30, 2022KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...
By Danson KaijageJune 22, 2022WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amewataka Mameneja wa Wilaya na Mikoa wa Mamlaka za Usambazaji Maji Vijijini (RUWASA) kufanya kazi...
By Danson KaijageJune 22, 2022BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kipentecost Tanzania (CPCT) limesema litawahamasisha waumini wake na kuwapatia elimu juu ya umuhimu wa kujitokeza wakati...
By Danson KaijageJune 11, 2022NAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibango amewaomba Watanzania kuitumia mitandao mbalimbali ya mawasiliano kwa lengo la kujiletea maendeleo na kusaidia...
By Danson KaijageJune 11, 2022MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania imetoa mafunzo na vyeti kwa vijana zaidi ya 10,000 nchi nzima...
By Danson KaijageJune 10, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ameiagiza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kufanya tathmini ya kina kuhusu matumizi ya shisha, ugoro...
By Danson KaijageMay 31, 2022Spika wa Bunge la Tanzania Dk.Tulia Akson, ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu uamuzi wake wa kutowafukuza bungeni wabunge 19 wa Chadema baada ya...
By Danson KaijageMay 16, 2022MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...
By Danson KaijageMay 8, 2022MWANGALIZI wa Makanisani ya Baptist Kanda ya Kati, Antony Mlyashimba ametoa wito kwa serikali kupunguza matumizi ya anasa ili kukabiliana na hali...
By Danson KaijageMay 8, 2022CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageMay 7, 2022MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (Chadema) amesema iwapo serikali haitachukua hatua za kumuonya mkuu wa wilaya ya Nkasi dhidi ya matumizi...
By Danson KaijageApril 24, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum,CCM, Irene Alex Ndyamkama ambaye...
By Danson KaijageApril 24, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaahidi vijana 26 wa shina la namba tano la kata Kilimani mkoani Dodoma...
By Danson KaijageApril 23, 2022SERIKALI ya Tanzania imeziagiza halmashauri zote nchini humo ambazo zimepokea kiasi cha sh.50 milioni kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa vituo...
By Danson KaijageApril 20, 2022SHEKHE wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka wafanyabiashara kutougeuza mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuwa wa kujitajirisha kwa kupandisha bei za bidhaa...
By Danson KaijageMarch 22, 2022MKOA wa Manyara umeshika nafasi ya mwisho kwa uchanjaji wa UVIKO-19 ikiwa na asilimia tatu tu ya watu waliopata chanjo hadi sasa....
By Danson KaijageMarch 16, 2022SERIKALI imesema jumla ya watu 803 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa korona huku 33,789 wakiambukizwa tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza nchini....
By Danson KaijageMarch 16, 2022SERIKALI ya Tanzania imetoa taadhari kwa kwa wananchi dhidi ya ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeonekana kutokea katika nchi ya jirani...
By Danson KaijageMarch 9, 2022NAIBU Katibu Mkuu Wizara wa Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema bado kuna watu ambao sio waaminifu katika Bodi ya wataalamu wa...
By Danson KaijageMarch 9, 2022WAKULIMA 22,000 waliopo kwenye Mradi wa Kilimo Himilivu cha Mtama (CSA), kutoka wilaya sita za mkoa wa Dodoma, wamefanikiwa kuingiza Sh. bilioni...
By Danson KaijageMarch 2, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika...
By Danson KaijageMarch 1, 2022KATIKA uboreshaji na urahisishaji wa huduma katika jiji la Dodoma jumla ya mitaa 222 iliyopo ndani ya kata 41 za halmashauri ya...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022HOSPITALI ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma nchini Tanzania, imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia tarehe 22 Machi 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022TAASISI ya Benjamini Mkapa Foundation imeendelea kuyanoa makundi manne ndani ya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma kwa lengo la kuwapatia elimu kuhusu...
By Danson KaijageFebruary 9, 2022WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema, katika kila watu 100,000 watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageFebruary 4, 2022WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imezindua mpango wa miaka 10 wa kumuezi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Anaripoti...
By Danson KaijageFebruary 3, 2022