KWA mara nyingine Mahakama imehoji sababu ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali kutoa kauli nyepesi za kushawishi kutoendelea kwa kesi ya tuhuma za uchochezi...
By Danson KaijageApril 30, 2018JUMLA ya Mabalozi 63 wameshakabidhiwa maeneo ya kujenga ofisi zao Katika Jiji la Dodoma lakini Ubalozi wa Zambia tayari umeshaanza mchakato huo kwa...
By Danson KaijageApril 30, 2018WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema kuanzia Julai mwaka huu, serikali itasitisha uagizaji wa mita za luku ya umeme kutoka nje ya...
By Mwandishi WetuApril 30, 2018MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, ameongezwa katika kesi ya tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia fedha inayowakabili Rais...
By Jabir IdrissaApril 30, 2018SERIKALI imeombwa kuweka utaratibu wa upatikanaji wa fedha za kununua visanduku vya tiba kwa wanyama na kuweza kumkabidhi kila wanafunzi ili wanafunzi wanaomaliza...
By Masalu ErastoApril 29, 2018WAFANYAKAZI nchini wametakiwa kuendelea kuhamasika kujitokeza kwa wingi wakati wa maandamano kwenye siku ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ili...
By Christina HauleApril 29, 2018MWENYEKITI wa Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amepata tuzo kama mtetezi kijana chipukizi wa haki za binadamu (wanafunzi) Tanzania, tuzo aliyopewa...
By Mwandishi WetuApril 28, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Iringa kimemvua uanachama Dady Igogo aliyekuwa diwani wa Kata ya Gangilonga na Naibu Meya wa...
By Mwandishi WetuApril 28, 2018JAJI Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma amezindua zoezi la upandaji miti katika kiwanja ambacho itajengwa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania mkoani...
By Danson KaijageApril 27, 2018RAIS John Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinawachukulia hatua kali watu wote waliohusika katika kufanya ubadhilifu wa zaidi ya Sh....
By Danson KaijageApril 27, 2018MDOGO wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche aitwaye Chacha Heche Suguta, adaiwa kuuwawa akiwa chini ya Jeshi la Polisi baada ya kukutwa...
By Mwandishi WetuApril 27, 2018JESHI la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kile kinachodaiwa “uchochezi” dhidi ya Rais kuhusiana na ndoto aliyowahi...
By Mwandishi WetuApril 27, 2018RAIS John Magufuli jana katika sherehe za Muungano, ametumia sherehe hizo kutangaza Dodoma kuwa jiji badala ya kuwa Manispaa na kumtangaza aliyekuwa Mkurugenzi...
By Danson KaijageApril 27, 2018JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF ameandika ujumbe mzito wenye kufikirisha wengi juu ya msiba wa Agnes Gerrald “Masogange.’ Mtatiro...
By Mwandishi WetuApril 23, 2018MKUU wa Idara ya mazao ya Utafiti wa kilimo Kanda ya Mashariki, Salvatory Kundi ameiomba Serikali kutafuta njia mbadala ya kuwawezesha wakulima wadogo...
By Christina HauleApril 22, 2018MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utawala wa Rais John Magufuli.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 22, 2018SERIKALI imewataka wawekezadi na wadau mbalimbali kuachana na tabia ya kulalamika serikali na badala yake watoe ushauri kwa serikali ni jinsi gani ya...
By Danson KaijageApril 20, 2018CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kuwa uchambuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kimepotosha...
By Faki SosiApril 19, 2018SERIKALI aimeitaka Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria za nchi katika utendaji wake wa kazi. Anaripoti...
By Danson KaijageApril 19, 2018WATUMISHI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamewashauriwa kuchukua hatua ya kubadilika kuendana na mabadiliko yaliyopo katika usafiri wa ndege kwa sasa ili...
By Christina HauleApril 18, 2018VIJANA sita wa kijiji cha Mtambwe Mtambuuni, wilayani Wete Pemba, waliokuwa wametekwa mapema mwezi huu na watu wanaodhaniwa ni wa dola, wamepatikana. Anaripoti...
By Jabir IdrissaApril 18, 2018JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira ametoa madai mazito kwa chama chake, kuwa Chama cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuApril 16, 2018MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) ameshikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central) kwa madai amebakishwa kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuApril 13, 2018TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), muda huu atafanyiwa upasuaji mwingine katika mguu wake wa kulia, ikiwa ni mara ya 20 tangu alipoanza kutibiwa...
By Mwandishi WetuApril 11, 2018WANAMICHEZO nane wa Cameroon hawaonekani katika makazi yao katika michezo ya Jumuiya madola nchini Australia, maafisa wa timu hiyo wamethibitisha. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuApril 11, 2018MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema yupo tayari kujiuzuru ubunge wake kama itathibitika kuwa amemtelekeza mtoto kwa mwanamke mmoja jijini Dar...
By Mwandishi WetuApril 11, 2018MBUNGE wa Chemba, Juma Nkamia (CCM) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itaana ujenzi wa kituo cha polisi na nyumba za askari....
By Danson KaijageApril 10, 2018WAFANYABISHARA wa mifugo wanaopeleka katika machinjio ya kisasa ya Kizota mkoani Dodoma wametishia kuacha biashara hiyo baada ya kuibuka kwa faini kubwa mbalimbali...
By Christina HauleApril 10, 2018SERIKALI imesema kuwa imefanikiwa kukamata vifaa mbalimbali ambavyo ni dawa na vifaa tiba ambavyo havifai kwa matumizi ya binadamu, katika vituo vya tiba...
By Danson KaijageApril 10, 2018MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amedai Tanzania kwa sasa kuna msongamano mkubwa wa wafungwa ambapo amehoji Serikali inachukua hatua gani kupunguza...
By Danson KaijageApril 9, 2018WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema gharama za chakula kwa mfungwa mmoja kwa siku ni wastani wa shilingi 1,342. Anaripoti Dany...
By Danson KaijageApril 9, 2018MBUNGE wa Tarime Mjini, Ester Matiko (Chadema) amehoji serikali ni kwanini Mnada wa Magena umefungwa licha ya kuwa na miundombinu yote. Anaripoti Dany...
By Danson KaijageApril 9, 2018VIJANA wengi wanaomaliza elimu ya juu wanatakiwa kuachana na fikra za kutaka kuajiriwa na serikali na badala yake wafikirie kutumia elimu yao kwa...
By Danson KaijageApril 9, 2018RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Mohamed Maje kuanzia leo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake. Anaripoti...
By Danson KaijageApril 6, 2018KAMATI ya Rufaa za Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF, Michael...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2018SERIKALI imesema kuwa baadhi ya Mameneja, Wakurugenzi pamoja na wamiliki wa shule binafsi na vyuo wanalalamikiwa kwa vitendo vya rushwa ya ngono hasa...
By Danson KaijageApril 6, 2018MAHAKAMA ya Hakim Mkazi mkoani Dodoma imemuagiza naibu waziri wa utamaduni, Sanaa na michezo, Juliana Shonza, kufika mahakamani kwa “hiari kesho” Ijumaa, vinginevyo...
By Mwandishi WetuApril 5, 2018MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ameitwa Makao Makuu ya Uhamiaji kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu uraia wake. Anaripoti Faki...
By Faki SosiApril 4, 2018DAKTARI Hassan Abbasi, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO amewataka waandishi wa habari nchini kufanya kazi...
By Charles WilliamApril 4, 2018MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake sita akiwemo Halima Mdee, Mbunge wa Kawe aliyeunganishwa katika kesi hiyo leo, wamekamilisha masharti ya...
By Faki SosiApril 3, 2018MJADALA juu ya umuhimu wa katiba mpya na “tume huru ya uchaguzi nchini,” bado ungali mbichi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Ubichi huu unatokana...
By Saed KubeneaApril 2, 2018JESHI la Polisi limemkamata Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na kuendelea kumshikiria hadi sasa pamoja na kuwa mgonjwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiApril 1, 2018