Serikali mkoani Mtwara imesema ipo tayari kuonesha ushirikiano zaidi na taasisi pamoja na wadau mbalimbali wenye nia thabiti na mipango inayolenga kuwasaidia...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021TIMU ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2021/22, kwa kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kithuleri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ametoa wito kwa wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini kuhakikisha...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhumuku Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imetupilia mbali pingamizi la jamhuri la...
By Regina MkondeNovember 30, 2021Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021“Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamuona mpendwa wa nafsi yangu, nikamshika, nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mama yangu, chumbani mwake aliyenizaa.”...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo amemjia juu muandaaji wa tuzo ya Ballor d’Or Pascar Ferre ambaye pia ni mhariri...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2021Katika hafla ya hisani iliyofanyika jijini Mbeya chini ya uongozi wa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson kuelekea siku ya Ukimwi...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi imayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamepinga upokeaji wa nyaraka za upande wa...
By Regina MkondeNovember 30, 2021MSHAMBULIAJI wa Psg na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mchezaji bora...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2021KLABU ya soka ya Yanga, hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza huku kiungo...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2021WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa amesema ipo katika mchakato wa kupima maeneo 96 ili kutatua migogoro ya ardhi iliyopo...
By Danson KaijageNovember 30, 2021MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema, shabaha ya chuo hicho ni kutoa elimu...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi karibuni Bungeni ya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021LEMBRUS Mchome, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) mkoani Kilimanjaro, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kutimiza malengo ya Hayati Rais Dk. John Magufuli, Serikali itajenga mabweni, kuongeza nyumba za walimu, barabara na...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeamua kuwarejesha shule watoto wote walioacha shule kwa sababu mbalimbali kama vile, utoro, sababu za kisheria...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021KLABU ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa kocha mkuu wa muda wa klabu hiyo mara baada ya kumtimua Ole gunnar solskjaer...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021HATUA ya kufunguliwa kesi mahakamani, kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda na mtu binafsi, kumeelezwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia ya kuibua mawazo ya...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, Angeline Mabula ameagiza watu wote wanaoishi nyumba za Shirika la Nyumba...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea barua ya utetezi katika kesi ndogo...
By Regina MkondeNovember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amewasili saa 3 asubuhi ya leo...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021Rais Samia Suluhu Hassani amesema amekubaliana na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba mawaziri wa kisekta kutoka pande zote mbili wakutane haraka...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amesema Serikali ya Tanzania ameanza mazungumzo ya awali na Serikali ya Uganda kutekeleza mpango wa kupeleka gesi...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 11 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021LICHA ya janga la corona kuathirika ukopeshaji, Benki nchini Tanzania, zimeahidi kuongeza mikopo kwa ajili ya sekta binafsi kufuatia kuimarika kwa uchumi...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya sh milioni...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021SERIKALI za Tanzania na Uganda zimekubaliana mambo saba katika nyanja mbalimbali kwa lengo la kuimarisha uhusiano pamoja na ushirikiano wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Usafirishaji nchini Uganda, Jenerali Edward Wamala ameagiza kusimamishwa kazi wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Uganda baada ya video...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MAJAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar na mahakimu visiwani humo, wameombwa kuwa mstari wa mbele katika kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa haki za...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, amewaomba wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021WATAALAMU wa sekta ya afya nchini, wameitahadharisha jamii juu ya ujio wa wimbi la nne la Ugonjwa wa Korona (Uviko-19), huku wakihimiza...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Profesa Deodatus Kakoko, ametoa wito kwa wananchi kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MATAIFA mbalimbali duniani ikiwemo Ufaransa yameanza kuzuia safari za ndege kutoka mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika, baada ya aina mpya ya...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021HATIMAYE Paulo Christian Makonda, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MWENYEKITI wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amewataka wahitimu wa chuo hicho kuangalia fursa zitakazowasaidia katika maisha...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ba wenzake, wameiomba Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amekutana na mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Marekani, Rick Ross huko Dubai. Anaripoti Matilda...
By Masalu ErastoNovember 26, 2021VIONGOZI wawili wa madhehebu ya Kikristo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo na Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umemaliza kuwasilisha hoja zao za kupinga...
By Regina MkondeNovember 26, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsi na haitavumilia aina yoyote ya ukatili wa...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amebaini kuwa ukuaji wa sekta binafsi umedorora kwa sababu mikopo haiendi sana kwenye sekta hiyo licha ya...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021MOHAMED Abdillah Ling’wenya, ambaye ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya ugaidi inayomkabili yeye na wenzake watatu akiwemo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umeweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa...
By Regina MkondeNovember 25, 2021BENKI ya Exim imetangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuhamasisha watanzania kujiwekea...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021WAIMBA taarabu maarufu nchini Tanzania, Aisha Ramadhani maarufu Aisha Mashauzi, Hadija Kopa na Mzee Yusuph watalitikisa Jiji la Dodoma Jumamosi hii tarehe...
By Danson KaijageNovember 25, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mgawo wa maji jijini humo utaendelea kuwepo mpaka pale mvua zitakapoanza...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021