Wednesday , 22 May 2024

Month: November 2021

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Bwege alazwa Muhimbili

  ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Said Bungara ‘Bwege’, amelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiugua kwa...

MichezoTangulizi

Penalti ya Fei Toto, Simba wataka uchunguzi ufanyike

UONGOZI wa klabu ya Simba, umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la penalti lilitokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

Tangulizi

Kumekucha! Harmonize awavuruga WCB

  SIKU chache baada ya Msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize au Konde Boy kutema cheche kuhusu mapito na changamoto alizokumbana nazo...

Kimataifa

Sindano mbadala ARVs yaidhinishwa, wenye VVU wanachomwa mara 6 kwa mwaka

  TAASISI ya Usimamizi wa Dawa nchini Uingereza (NHS) pamoja na mashirika mengine ya msaada imeidhinisha matibabu  ya sindano mpya yenye ufanisi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataka wanawake kujitokeza kuhesabiwa, kushiriki uchaguzi CCM

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika mwaka 2022 pamoja...

Habari Mchanganyiko

Mbarawa awaweka kikaangoni wasimamizi wa mizani

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka wasimamizi na wafanyakazi wa mizani nchini kujitafakari kuhusu mienendo yao ya utendaji kazi...

MichezoTangulizi

Simba yaipiga Ruvu 3-1, aliyeitoboa Yanga, aitoboa Simba

  MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imejipatia ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting....

Habari Mchanganyiko

Visima 44 vyagundulika kuwa na gesi asilia

  KATIKA kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, Tanzania imefanikiwa kuchimba visima 96 vya mafuta na gesi ambapo visima 44 vimegundulika kuwa na...

Habari za Siasa

Waziri Mchengerwa atoa maagizo wanaoajiriwa serikali

  SERIKALI ya Tanzania imewataka waajiri wote nchini humo katika taasisi za umma kuhakikisha watumishi wanaoajiriwa kwenye taasisi zao wanapata mafunzo elekezi kutoka...

Michezo

Pablo wa Simba kibaruani leo

KOCHA mpya wa klabu ya Simba Pablo Franco Martin, leo kwa mara ya kwanza atakiongoza kikosi cha Simba kwenye kibarua chake cha kwanza,...

Michezo

Kansiime kuwavunja mbavu Dar

  WAKATI tukiwa ukingoni kuuhitimisha mwaka huu, Zamaradi Mketema ambaye ni mtangazaji maarufu nchini, atamshusha mchekeshaji bora kutoka Uganda, Anna Kansiime jijini Dar...

Habari za Siasa

Kisa katiba mpya: CUF kushitaki Serikali ya Kikwete

  JUMUIYA ya Vijana Chama cha Wananchi (JUVICUF), inajiandaa kuifungulia kesi Serikali ya awamu ya nne nchini Tanzania kwa madai ya kusababishia nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Mgao wa maji, umeme Tanzania: Ni mwendo wa matamko

  MJADALA juu ya mgawo wa umeme na uhaba wa maji, umeiweka Serikali ya Tanzania njia panda, baada ya baadhi ya viongozi wake...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa Waziri Jafo, bosi NSSF

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Seleman Jafo kukamilisha andiko...

Habari Mchanganyiko

 NBC yazindua Bima ya Kilimo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi, Serikali yaunga mkono

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance wamezindua huduma ya bima maalum ya kilimo...

Habari Mchanganyiko

TCRA, TUZ wakutana Dar

  WAJUMBE wa Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (TUZ) wametembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Rais Samia asisitiza utafiti chanzo kanda ya ziwa kuongoza kwa saratani

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Walemavu kushirikiana na Hospitali ya Kanda ya...

Habari za Siasa

Rais Samia: Chanzo uhaba maji ni uhujumu wa makusudi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mojawapo ya chanzo cha uhaba wa maji jijini Dar es Salaam ni watu kujenga blocks ‘vizuizi’ kwenye...

Habari Mchanganyiko

NMB, Selcom zaunganisha nguvu malipo kidijitali

  BENKI ya NMB na Kampuni ya Selcom Tanzania wameanzisha ushirikiano wenye lengo la kusaidia kupunguza matumizi ya fedha taslimu nchini. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mkufunzi DSJ afariki dunia

  JOYCE Mbongo, aliyekuwa mkufunzi katika Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) nchini Tanzania, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe yaahirishwa hadi J3, Jaji asema…

  JOACHIM Tiganga, Jaji anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, ameiahirisha hadi Jumatatu, tarehe 22 Novemba...

Michezo

Malkia Ladies kuwakutanisha wanawake 6,000 Dar

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, atakuwa mgeni rasmi wa kongamano la...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe wanavyochuana kortini

  MAWAKILI wa pande mbili katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanachuana katika pingamizi la utetezi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaipa H/shauri Hanang usimamizi shamba la ngano

  SERIKALI imeikabidhi Halmashauri ya wilaya ya Hanang usimamizi na uangalizi wa muda wa mali zote zilizopo katika shamba la ngano la Basotu...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wapewa ‘diary’ ya shahidi, kesi yaendelea

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umepewa ‘diary’ aliyokutwa nayo kizimbani shahidi...

Kimataifa

Kimbembe wafungwa waliotoroka, saba wasimamishwa, donge la Sh bilioni 1 latajwa

  SIKU chache baada ya wafungwa watatu wa ugaidi nchini Kenya kutoroka katika gereza lenye ulinzi mkali, askari saba waliokuwa wanalinda gereza hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Pingamizi 7 kina Mbowe latupwa, shahidi aliyekutwa na diary apeta

  PINGAMIZI la utetezi dhidi ya kumkataa shahidi wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, limetupiliwa mbali...

Kimataifa

A-Z milipuko ya bomu Uganda, sita wapoteza maisha, 33 wajeruhiwa

  JUMLA ya watu sita wameripotiwa kupoteza maisha nchini Uganda na wengine 33 kujeruhiwa vibaya kutokana na milipuko ya bomu iliyotokea leo asubuhi...

HabariTangulizi

TEF yawasilisha serikalini maboresho sheria za habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali zinazogusa tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Mke aliyeachwa na mumewe achoma nyumba, apandishwa kizimbani

  MWANAMKE mmoja raia wa Kenya amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya mumewe waliyetengana naye na kusababisha hasara ya zaidi...

MichezoTangulizi

Maandalizi mkutano mkuu Simba yakamalika

  KLABU ya soka ya Simba inatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka wa wanachama, huku sehemu kubwa ya shughuli hiyo ikiwa imeshakamilika....

Habari Mchanganyiko

Samaki aibua hofu, akikung’ata huonani na mkeo miezi 6

  SAMAKI ni kitoweo pendwa kwa watu wengi duniani, hususani wakazi wa maeneo ya pwani na kando ya mito na maziwa. Lakini kwa...

Kimataifa

Meya amlilia rafiki yake milipuko ya bomu Uganda

  KATIKA milipuko miwili ya bomu iliyotokea leo asubuhi katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda, imedaiwa kusababisha majeruhi na vifo vya watu...

Kimataifa

Watu 400 walazwa hospitalini kwa kung’atwa na nge, watatu wafariki

  JUMLA ya watu 400 raia wa Misri wamelazwa hospitalini baada ya kung’atwa na nge na kujeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao. Pia...

Michezo

Nchi tisa Barani Ulaya zafuzu kombe la Dunia

  MATAIFA tisa kutoka Barani Ulaya, yameafanikiwa kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya kombe la Dunia, mara baada ya kumalizika vinara kwenye...

Habari za Siasa

Mvutano wa hoja za mawakili waahirisha uamuzi kesi kina Mbowe

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi iliyopo Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi madogo katika kesi...

KimataifaTangulizi

Milipuko miwili yaripotiwa katikati mwa jiji la Kampala – Uganda

  Milipuko miwili imetokea katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda na kujeruhi watu kadhaa ambao idadi yao haijajulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...

Habari Mchanganyiko

Jafo aagiza halmashauri kuvuna maji ya mvua

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameziagiza halmashauri zote kuhimiza uvunaji wa maji ya mvua...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbowe: Hatima shahidi aliyekuwa na ‘diary’ leo

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, leo Jumanne, tarehe 16 Novemba 2021, itatoa uamuzo mdogo...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene aipongeza LSF kuzindua mpango mkakati mpya 2022/2026

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada wa Kisheria (LSF)...

Habari Mchanganyiko

Mgao wa maji Dar, Majaliwa atoa saa 72

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu (sawa na saa 72) kuanzia leo Jumatatu tarehe 15 Novemba 2021, kwa wasimamizi...

Habari Mchanganyiko

NBC yaendelea kumwaga zawadi washindi ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’

  MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Dastan Kyobya  ameiomba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuangalia uwezekano wa kuongeza zaidi matawi yake katika...

Habari Mchanganyiko

Mkazi Dar ajishindia pikipiki ya NMB Bonge la Mpango

  MSHINDI wa Droo ya Nne ya Msimu wa Pili wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki ya NMB ‘NMB...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe, jamhuri wavutana kuenguliwa shahidi

  MAWAKILI wa utetezi na jamhuri katika kesi ya makosa ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameonesha umwamba wa...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka vita dhidi ya ugaidi kuwekewa mkazo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuijadili changamoto ya ugaidi na kuzidi kuimarisha weledi katika mapambano...

Habari za SiasaTangulizi

Pingamizi jingine la kina Mbowe latupwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali kupokea barua inayomthibitisha Askari Mpelelezi, Ricardo Msemwa, kuwa...

ElimuTangulizi

Kidato cha nne waanza mitihani, Rais Samia awatakia kheri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Hassan amewatakia kheri wanafunzi wa kidato cha nne, walioanza mitihani yao ya Taifa leo Jumatatu tarehe...

Habari za Siasa

CUF kwazidi kufukuta, kufikishana kortini

  JUMUIYA ya Wanawake ya chama cha upinzani nchini Tanzania- Chama cha Wananchi (JUKECUF), imekiomba chama kuwafungulia kesi wanachama waliofukuzwa kwa madai ya...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kufikishwa kortini

  ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kufikishwa mahakamani, wakati wowote kuanzia sasa. Anaripoti...

Michezo

DR Congo yasonga mbele, Stars yabanwa Madagascar

  MICHEZO ya kundi J kuwania kufuzu kombe la dunia Qatar 2022, imemalizika kwa timu ya DR Congo kusonga hatua inayofuata huku Taifa...

error: Content is protected !!