Tuesday , 30 April 2024

Month: October 2021

Habari za Siasa

Msigwa: Serikali haijarudi Dar es Salaam

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali haijarudi Dar es Salaam bali imehamia moja kwa moja Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa...

Habari za Siasa

Ndugai awatupia zigo mawaziri utungwaji sheria mbovu

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema sheria zinazopitishwa na Bunge zimekuwa zikilidhalilisha Bunge na kusababisha watu...

Habari za Siasa

CCM yajifungia kujadili vitambulisho vya wamachinga

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema bado kinaendelea kukaa mezani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu kujadili muafaka kuhusu...

Habari za Siasa

CCM yawaweka kikaangoni wakuu wa mikoa, wilaya sakata la wamachinga

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitasita kuanzisha hoja au ajenda ya kuhakikisha wote (wakuu wa mikoa, wilaya) wanaokiuka maelekezo ya namna ya...

Habari za Siasa

CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza marufuku ya waendesha bodaboda na bajaji kutofika au kufanya shughuli zao katikati jiji la Dar isitishwe mara...

Habari za Siasa

Zitto ashauri njia bora kuwapanga wamachinga, atoa maagizo

  CHAMA cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimewataka viongozi mbalimbali wa chama hicho kuwasemea na kuwapigania wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga...

Habari za SiasaTangulizi

Kisa Mbowe: Zitto aweka sharti kikao vyama vya siasa, Rais Samia

  KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, kikao baina ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan na viongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto akambushia maumivu ya uchaguzi mkuu 2020

  KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amekumbushia machungu ya uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba 2020 akisema, chama...

Elimu

Lindi, Mara, Dodoma kinara ongezeko ufaulu darasa la saba

  MIKOA ya Lindi, Mara na Dodoma, imetajwa kinara kwa kuwa na kiwango kikubwa cha ufaulu wa mtihani wa darasa la saba, katika...

Elimu

Watahiniwa 393 wafutiwa matokeo mtihani darasa la saba

  BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limefuta matokeo ya watahiniwa 393, waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa kufanyika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi....

ElimuTangulizi

Ufaulu darasa la saba waongezeka kwa 6.69% , Kiswahili chang’ara

  BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema asilimia 81.97 ya wanafunzi 1,107,460, waliotunukiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba, uliofanyika tarehe 8...

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba 2021

  BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) mwaka 2021....

Kimataifa

Majanga; Koffi Olomide ahukumiwa miaka nane jela kwa ubakaji

  NYOTA wa muziki wa rhumba na soukous ambao ni maarufu zaidi Barani Afrika, Koffi Olomidé amekumbwa na majanga mengine huko nchini Ufaransa...

Michezo

Simba wamlilia Akilimali Yahya

  KLABU ya Simba imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani Akilimali Yahya kilichotokea usiku nwa kumkia leo katika Hospitali...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene atoa siku 30 kwa wanaomiliki silaha haramu kuzisalimisha

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ametoa siku 30 kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha ndani ya muda...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba ataka upinzani waungane tena

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amevitaka vya siasa vya upinzani nchini kuungana pamoja kupigania madai ya katiba mpya...

Kimataifa

Wanafunzi wapigwa marufuku mavazi ya ‘Squid Game’

  SHULE tatu za msingi katika jimbo la New York nchini Marekani zimepiga marufuku mavazi ya ‘Halloween’ yanayofanana na yale yaliyovaliwa na washiriki...

Habari Mchanganyiko

Makinda aziangukia AZAKI kuhamasisha sensa 2022

  KAMISHINA wa Sensa na Makazi ya Watu nchini Anna Makinda ameziomba Asasi za kiraia kuwahamasisha watanzania kujitokeza kuhesabiwa wakati wa siku ya...

Kimataifa

Uganda kufungua shule Januari baada ya miaka miwili

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ametangaza kuwa nchi hiyo itakuwa tayari kuanza shughuli za kawaida ifikapo Januari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Uganda...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo waliodaiwa ‘wavamizi’ wamwangukia Biteko

  WACHIMBAJI wadogo wa Madini ya Dhahabu katika Kijiji cha Mwasabuka Kata ya Iyenze wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wamelalamikia kitendo cha kutimuliwa na...

Habari Mchanganyiko

Mjane aliyeporwa ardhi na kujengwa kituo cha afya, amvaa RC Songwe

  MKAZI wa kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani Songwe, Kabula Kuba ambaye pia ni mjane, ameibuka katika Mkutano wa Mkuu wa mkoa...

ElimuHabari Mchanganyiko

TAMWA yalaani tuhuma za ngono UDOM yaipa ujumbe Takukuru

  CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania, (TAMWA) kinalaani tukio la Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Peter Mswahili kutuhumiwa kujihusisha na mahusiano...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa maagizo kwa mawaziri, azuia walinzi binafsi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri na naibu waziri wasimamie taasisi na idara zilizopo chini ya wizara zao ili zizingatie...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi aeleza uchunguzi bastola ulivyofanyika

  SHAHIDI wa tatu wa Jamhuri, Koplo Hafidhi Abdllah Mohammed, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Fuatilia mtaalamu wa silaha akitoa ushahidi, milipuko  

  KOPLO Hafidh Abdallah Mohamed, mwenye namba F 5914 D ambaye ni shahidi wa tatu upande wa Jamhuri, ameanza kutoa ushahidi katika kesi...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma za ngono, zamsimamisha Mhadhiri UDOM

  CHUO kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, kimemsimisha kazi Mhadhiri wake, Petro Bazil Mswahili ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ngono kati...

Habari Mchanganyiko

NMB yapata faida ya kihistoria bilioni 211

  BENKI ya NMB nchini Tanzania imevunja rekodi kwa mara nyingine kwa kupata faida ya Sh.211 bilioni baada ya kodi, ikiwa ni ongezeko...

Habari za Siasa

Mnyika awatumia ujumbe wasaidizi Rais Samia

  CHAMA kikuu cha siasa nchini Tanzania cha Chadema, kimeendelea kusisitiza umuhimu wa majadiliano baina yao na Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ampigania Mbowe

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amewaangukia viongozi wa dini, kisiasa na Watanzania kwa ujumla, akiwaomba wapaze sauti zao ili mamlaka zimuache huru...

Habari Mchanganyiko

Membe: Cyprian Musiba popote ulipo leta pesa zangu

  DAKIKA chache baada ya Aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe kumbwaga Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba katika hukumu...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aitaka mahakama kutoa hukumu, maamuzi ya haki

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa mahakama kuendelea kutoa hukumu na maamuzi ya haki kwa watu wote kwani hata vitabu vya...

Habari za SiasaTangulizi

Msaidizi wa Sabaya aibua utata kesi ya Mbowe

  SHAHIDI wa pili wa Jamhuri, Justine Elia Kaaya leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2021, ameendelea kutoa shahidi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ambwaga Cyprian Musiba, kulipwa bilioni 6

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa aliyekuwa Waziri mambo ya nje, Bernard Membe kiasi cha...

Tangulizi

GGML yakabidhi vifaa, zana za thamani ya milioni 132 kwa VETA Moshi

  KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu Geita (GGML) imekabidhi rasmi zana/vifaa mbalimbali kwa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Moshi...

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC yaja na kadi mpya, inafanya miamala hadi ya mil 40

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kadi mpya ‘NBC Visa Debit Card’ yenye kuwawezesha wateja binafsi kufanya miamala inayofikia hadi Sh...

Habari za Siasa

ACT kumsaka mrithi wa Maalim Seif ACT Oktoba 31

  HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kuketi tarehe 31 Oktoba mwaka huu huku jambo kubwa likitarajiwa kumsaka mrithi...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wambana shahidi

  MAWAKILI wa utetezi, Jeremiah Mtobesya na John Mallya wamembana shahidi wa pili wa Jamhuri, Justin Elia Kaaya kuhusu maelezo aliyoyatoa kuhusu kesi...

Tangulizi

Rais Samia atoa mtihani mpya kwa Bashungwa, Gekul

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema atawapima Waziri wa Sanaa, Michezo na Utamaduni, Inocent Bashungwa pamoja na naibu wake, Pauline Gekul kwa kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi aeleza mikakati ya Mbowe kumdhuru Sabaya

  JUSTIN Elia Kaaya, shahidi wa pili wa Jamhuri ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Msaidizi wa Sabaya aanza kutoa ushahidi kesi ya Mbowe

  JUSTIN Elia Kaaya, aliyekuwa mfanyakazi wa Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kigogo mzito kutinga kortini

  KIONGOZI mwandamizi katika mhimili mmoja wa Dola nchini Tanzania, anaweza kuitwa mahakamani kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Fuatilia RPC Kingai alivyohitimisha ushahidi wake

  KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Ramadhan Kingai amehitimisha kutoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye...

Habari za Siasa

CCM yaitaka HESLB kutoa kipaumbele kwa watoto masikini

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeielekeza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kuendelea kutoa kipaumbele kwa kundi la watoto...

Habari Mchanganyiko

AZAKI yaibana serikali kuhusu faida za madini

  Asasi mbalimbali za kiraia – AZAKI zimeibana Serikali na kuitaka ieleze ni faida iliyopatikana tangu yalipofanyika kwa Marekebisho ya Sheria ya Madini...

Habari za SiasaTangulizi

Mahojiano Rais Samia, BBC yaibua mvutano kesi ya Mbowe

  MAHOJIANO aliyoyafanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kugusia kesi inayomkabili kiongozi wa chama...

Habari za Siasa

Rais Samia amtembelea Lowassa

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Simba wapewa Wazambia kombe la Shirikisho

  KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imepangiwa kumenyana na kikosi cha Red Arrows ya kutoka nchini Zambia, kwenye...

Michezo

Haya ndio mafanikio ya Gomes ndani ya Simba

  MARA baada ya kuchukua nafasi ya Sven Vandebroeck tarehe 24, Januari 2021, na kuanza kazi ya kukikonoa kikosi cha Simba katika kipindi...

HabariMichezoTangulizi

Simba yamtimua Gomes, Hitimana arithi mikoba yake

  KLABU ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja mkataba na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Didier Gomes Da Rosa, mara...

Habari

Kesi ya Mbowe: RPC Kingai asoma maelezo jinsi ugaidi ulivyopangwa

  KIELEZO cha kwanza cha ushahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha...

error: Content is protected !!