JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani amejitoa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanga njama za ugaidi...
By Regina MkondeOctober 20, 2021BARAZA kuu la Serikali ya Misri limewateua kwa mara ya kwanza wanawake 98 kuwa majaji katika baraza hilo hilo ambalo ni moja...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2021MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, nchini Tanzania imeyatupa mapingamizi mawili ya upande wa utetezi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MSHAMBULIAJI wa Liverpool ambaye pia ni raia wa Misri, Mohamed Salah amezidi kupamba moto kila panapokucha baada ya jana tarehe 19 Oktoba,...
By Masalu ErastoOctober 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kiongozi wa mwisho wa Taifa hilo ni Hayati Baba...
By Regina MkondeOctober 20, 2021ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imeendelea kuonesha makucha yake katika ligi kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, kwa kujikusanyia pointi...
By Kelvin MwaipunguOctober 19, 2021SHIRIKA la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania hususani wanawake...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021NI MIUJIZA! Ndivyo unavyoweza kueleza tukio la Mwanamke mmoja aliyejifungua watoto saba kwa mpigo mjini Abbottabad huko nchini Pakistan. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa...
By Regina MkondeOctober 19, 2021KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Mohmed Nabi ameonekana mbogo, kutokana na kanuni ya kutumia wachezaji nane wakigeni katika mchezo mmoja, kitu...
By Kelvin MwaipunguOctober 19, 2021ASKARI mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi nchini Kenya, ameburuzwa katika mahakama ya Kibera kwa tuhuma za kumrekodi mwanamke akiwa msalani katika...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021KLABU ya soka ya Simba kupitia bodi ya wakurugenzi, imeitisha mkutano mkuu wa mwaka ambao utafanyika Tarehe 21, Novemba 2021 kwenye ukumbi wa...
By Kelvin MwaipunguOctober 19, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla ameongeza muda wa siku 12 kwa wanaofanya biashara maeneo yaliyokatazwa...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), imesema uzito uliozidi na kiribatumbo ni chanzo kikuu cha magonjwa sugu na yasioyakuambukiza. Anaripoti Selemani...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021ASILIMIA 75 hadi 85 ya wakazi wa jiji la Dodoma wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ya macho ikiwamo uoni hafifu pamoja na ugonjwa...
By Danson KaijageOctober 18, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesongeza mbele mechi kati ya Tanzania Prisons dhida ya Biashara United iliyokuwa ichezwe kesho Jumanne...
By Masalu ErastoOctober 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehitimisha ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kurejea Ikulu ya...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na...
By Jonas MushiOctober 18, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, mkoani Arusha na Kata ya Naumbu mkoani Mtwara, ili...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021SIKU tatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha, aliyekuwa Mkuu...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021BEKI wa kulia wa timu ya wananchi- Yanga SC. Paul Godfrey Nyang’anya maarufu kama ‘Boxer’ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu, amewaagiza viongozi wa mikoa, wilaya na halmashauri, kutowafumbia macho watumishi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya wizi,...
By Regina MkondeOctober 18, 2021KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema wananchi wa Longido mkoani Arusha, kwa muda mrefu walikuwa wanakabiliwa na changamoto...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WENYEVITI wa mikoa ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema wamesema, kilichomtokea Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai,...
By Jonas MushiOctober 18, 2021WANAKIJIJI wanne wakongwe wameteketezwa kwa moto jana tarehe 17 Oktoba, 2021 baada ya kutuhumiwa kuwa ni wachawi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amesema katika kipindi cha miezi sita cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali yake imetoa mabilioni...
By Regina MkondeOctober 18, 2021ALIYEKUWA mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vick Kamata Servacius Likwelile, ameibuka na kueleza mambo mazito ambayo yeye na...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WAKATI mataifa mengi duniani yakikwepa utawala wa kijeshi, kwa upande wa Sudan baadhi ya wananchi wameandamana kupinga Serikali ya mseto inayoundwa na...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema haendi nje ya nchi kucheza, bali anakwenda kutafuta fursa za maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021BENKI ya NMB nchini Tanzania, imehitimisha maadhimisho wiki ya huduma kwa mteja kwa kutumia Sh.180.25 milioni kutoa misaada ya sekta ya elimu...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021MBUNGE wa Arusha Mjini nchini Tanzania kupitia chama tawala- (CCM), Mrisho Gambo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili Mkoa wa...
By Regina MkondeOctober 17, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempa miezi mitatu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha (DED), Karia Rajabu,...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021WASICHANA Irine Christopher Msengi, ameibuka kuwa mwanafunzi bora katika shahada ya awali ya Biashara katika Uhasibu wa Chuo Kikuu cha Dar es...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021DAKIKA tatu zimetosha kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba kuanza safari vyema ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika...
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha Mapinduzi (CCM),...
By Regina MkondeOctober 17, 2021MBUNGE wa Arumeru Magharibi wa chama tawala nchini Tanzania-CCM, Lembris Noah, amemuomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi ya...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya ambaye amehukumiwa miaka 30 gerezani, kesho Jumatatu tarehe 18...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kuingilia kati changamoto zinazokwamisha huduma zinazotolewa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, hadi kufikia juzi Ijumaa tarehe 15 Oktoba 2021, takiribani wananchi 940,000 walikuwa wamepata chanjo ya ugonjwa unaosababishwa na...
By Regina MkondeOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema haizuii mikutano ya vyama vya siasa bali mikutano inayozuiwa ni ile yenye viashiriavya kuhatarisha usalama wa nchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, Serikali inaendelea kuzifanyia kazi changamoto kwenye bidhaa za ndani hususan kodi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema Jeshi la Polisi nchini humo, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu tukio la kupotea kwa...
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema siri ya Manispaa ya Kahama kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika kilele...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kuwapo kwa uhaba wa watumishi wa kada ya afya na elimu ni kutokana na mahesabu...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021POLISI nchini Uingereza imesema, kisa cha mbunge David Amess kuuawa Ijumaa kwa kudungwa kisu, kilikuwa kitendo cha kigaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amesema amewashangaa na kuhuzunika kusikia baadhi ya viongozi wa...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kusimama katika yale...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021NBC PremierLeague inarejea leo Jumamosi tarehe 16 Oktoba, 2021 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021