RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama kuu ya Paris nchini huko baada ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ ameweka wazi kuwa hana matatizo na...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021HALI ya majonzi imetanda katika Chuo kikuu cha Laikipia nchini Kenya baada ya mwanafunzi mmoja wa kike kuuawa kinyama kwa kuchomwa kisu...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021WAPALESTINA wawili wauawa na vikosi vya Israel kwenye matukio tofauti huko Palestina. Anaripoti Glory Massamu TUDARCo kwa msaada wa mitandao ya kimataifa...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametembelea banda la Shirika Lisilo la Kiserikali, linaloshughulika na masuala ya msaada wa kisheria, Legal Service...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021SHIRIKA lisilo la kiserikali, linaloshughulika na masuala ya utetezi wa haki za kidigitali, Zaina Foundation, likishirikiana na Shirika la Haki Maendeleo, limewanoa...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha, kilichotokea...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021KANSELA wa Ujerumani, Angela Merkel amempongeza mgombea wa ukansela aliyekuwa mpinzani wake kupitia chama cha Social Democratic SPD Olaf Scholz. Anaripoti Helena...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, kesho Ijumaa tarehe 1 Oktoba 2021, itatoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeshakamilisha kitini kinachotoa muongozo wa namna mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) yatanufaika na misamaha ya kodi....
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa mitihani mitano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini ikiwamo kuoanisha mipango yao na vipaumbele na mipango ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 24 na kiungo hodari wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limetosha kupeleka shangwe kwa mashabiki wao ndani...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair. Anaripoti Wiston Josia, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021HATIMAYE Staa wa Bongofleva nchini, Ali Salehe Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza kuachia albam yake ya tatu inayokwenda kwa jina la ‘The...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwa wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021SERIKALI imesema aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, William Tate Ole Nasha ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Ngorogoro (CCM )...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021Mshambuliaji wa mpya wa klabu ya PSG Raia wa Argentina Lionel Messi amefungua rasmi akauti ya mabao katika klabu yake hiyo, mara...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021Klabu ya soka ya Yanga leo 29 Septemba 2021, itanza kutupa karata yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MOHAMED Dewji, Mkurugenzi wa Bodi ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ametangaza kuachia nafasi hiyo na kumteua...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MKE wa mshtakiwa Adam Kasekwa ambaye ni shahidi wa tatu wa utetezi, Lilian Kibona, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MAOFISA wanne wa jeshi la Rwanda wameuawa nchini Msumbiji, katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo wa kiislamu, katika jimbo la Cabo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji nchini Tanzania, Dk. Anna Makakala, ametangaza nafasi za ajira 350 za cheo cha Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021AWET Tesfaiesus, mbunge wa kwanza wa chama cha Green akiwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika, kuchaguliwa kuwa mbunge katika Bunge...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya Dar es Salaam, imeanza msimu mpya wa ligi kuu 2021/22 kwa droo dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameliomba Kanisa la Anglikana Tanzania kuunga mkono dhamira ya Serikali katika kuwainua wanawake kijamii, kiuchumi, kisiasa na kupambana...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya ‘RnB’ kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu kama R. Kelly amekutwa na hatia katika tuhuma zilizokuwa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2021RAIS wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un maarufu kama ‘Kiduku’ kutokana na staili yake ya nywele, amesimamia urushwaji wa kombora la masafa mafupi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania amesema, Serikali itahakikisha fedha zinazotolewa na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa Kanisa la Anglikana Tanzania kurudi kwenye misingi ya kimaadili ya kanisa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021Beki wa kati wa klabu ya Simba Josh Onyango pamoja na kiungo wa mkabaji Sadio Kanoute wataukosa mchezo wa leo wa Ligi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021MOHAMMED Ling’wenya, mshtakiwa wa tatu katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 28, 2021WAJERUMANI wameamua. Ndivyo unavyoweza kutafsiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 26 Septemba mwaka huu nchini humo, baada ya kuupiga chini muungano wa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021KESI ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imechukua sura mpya baada ya taarifa za washtakuwa wawili kukinzana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia, Bunge na wananchi kufuatia kifo cha William Tate Ole Nasha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wajumbe watatu kujaza nafasi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara limefunguliwa rasmi hii leo Septemba 27, 2021 kwa kupigwa jumla ya michezo mitatu kwa kuchezwa michezo...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021EZEKIEL Kamwanga, amehitimisha safari ya mkataba wake wa miezi miwili ndani ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021UMOJA wa asasi zinazotetea haki ya kupata taarifaTanzania (CoRI) umeitaka Serikali ya nchi hiyo kuteua maafisa taarifa katika ofisi zote za umma,...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ Kim Poulsen amewaitaka kambini wachezaji 25 wawiwemo Jonas Mkude na John Bocco....
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021KWA mara ya pili Rais Samia Suluhu Hassan amewakemea watumishi wanaodhani kuwa yeye ni mpole na kurudia kusisitiza kuwa ataongea nao kwa...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, amepata...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021ALIYEKUWA golikipa namba moja wa mabingwa wa kihistoria Yanga ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Metacha Mnata amesajiliwa na maafande wa...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Dodoma akitokea mkoani Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Samia...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza rasmi safari ya kutetea jimbo lake la Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kahama … (endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021