Friday , 26 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Ujerumani yamchagua mbunge wa kwanza mwanamke mweusi
Kimataifa

Ujerumani yamchagua mbunge wa kwanza mwanamke mweusi

Spread the love

 

AWET Tesfaiesus, mbunge wa kwanza wa chama cha Green akiwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika, kuchaguliwa kuwa mbunge katika Bunge la Ujerumani, Bundestag. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Wakili huyo mwenye miaka 47, aligombea Hessen ambalo linahusisha Frankfurt na Kassel ambako anaishi.

Tangu amehitimu chuo kikuu cha Frankfurt mwaka 2006, amekuwa mwanasheria, mara nyingi akiwakilisha kesi za wakimbizi na wanaotafuta makazi.

Alizaliwa Eritrea, na kuhamia Ujerumani na familia yake akiwa ma umri wa miaka 6 na amekuwa katika mji wa Heidelberg.

Amekuwa mwanachama wa Greens tangu mwaka 2009, alijikita kwenye siasa kufuatia mapigano ya risasi ya Hanua nje tu ya Frankfurt, mwaka 2020 ambapo wanaofuata mrengo wa kulia waliuawa watu 11.

Jina lake, “Awet,” ambalo kwa asili ya lugha yake ya Eritre ina maanisha ushindi- “jina linateta nuru ya kuongoza njia katika methali za Eritrea.

Ataenda Berlin kuwa mbunge wa Bundestage.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!