October 21, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Uhamiaji Tanzania yatangaza ajira 350

Spread the love

 

KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji nchini Tanzania, Dk. Anna Makakala, ametangaza nafasi za ajira 350 za cheo cha Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana waliofuzu mafunzo mbalimbali ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) waliopo makambini au waliohitimu mafunzo hayo na wenye sifa. Anaripoti Helena Mkonyi, TUDARCo…(endelea).

Ajira hizo zimetangazwa leo Jumanne, tarehe 28 Septemba 2021, kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Paul Mselle, Msemaji Mkuu wa Uhamiaji.

Taarifa inaeleza, mwisho wa maombi hayo kutumwa ni tarehe 13 Oktoba 2021.

Maelezo zaidi ya ajira hizo, soma taarifa yote ikiwemo kujua sifa za waombaji.

error: Content is protected !!