Tuesday , 30 April 2024

Month: October 2019

Habari Mchanganyiko

Takwimu ubakaji watoto zatisha

VITENDO vya ubakaji vimeongezeka kwa kasi kulinganisha na vitendo vingine vya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa watoto. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa takwimu za...

Tangulizi

Ni vituko: Fomu zatolewa usiku, zarejeshwa usiku

HOFU ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, imetamalaki. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na John Marema,...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Ndugai aimwagia sifa Kenya

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameipongeza Kenya kwa kuzindua Kanuni za Kudumu za Bunge lake, kwa lugha ya Kiswahili. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Wakiri kuiba Tausi Ikulu

WATU watatu wamekiri kuiba ndege watatu aina ya Tausi, wanaodaiwa kuwa mali ya serikali – Ikulu, wenye thamani ya Sh. 3,444,150. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Afya

Saratani ya matiti kuwa tishio kuu- Dk. Kahesa

ENDAPO hatua hazitachukuliwa, saratani ya matiti inaweza kushika nafasi ya kwanza, kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kura za chuki zanukia CCM 

BAADAHI ya maeneo nchini, wateule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 24 Novemba 2019, wanaweza kukumbwa na...

Habari za Siasa

Serikali yakiri udhaifu fomu serikali za mitaa

SERIKALI imekiri kuwepo kwa udhaifu katika uchukuaji fomu, kwa ajili ya kugombea nafsi mbalimbali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aichokonoa ATCL, ashusha hoja zake

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amehoji faida halisi inayotokana na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), tangu Rais John Magufuli aingie madarakani....

Elimu

Serikali inaweka nguvu kwenye TEHAMA-Prof. Ndalichako

PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknoljia amesema, serikali inatambua umuhimu wa kuwekeza katika sekta ya teknolojia ya habari na wasiliano...

Habari za Siasa

Dk. Kigwangalla, Makonda wavaana, kisa picha ya JPM

MUDA mfupi baada ya Paul Makonda, kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram, akimtaka mchekeshaji Idrisa Sultan ‘kujisalimisha’ katika kituo chochote cha polisi kwa...

Habari za Siasa

Picha ya JPM yamwingiza matatani Idriss Sultan

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemuagiza Mchekeshaji Idris Sultan, kuripoti katika Kituo cha Polisi, kwa madai kwamba amevuka mipaka...

Habari za SiasaTangulizi

Hujuma Serikali za Mitaa: Chadema wamvaa Jafo, Msajili

MAZINGIRA mabovu, vitimbi na hujuma katika siku ya kwanza ya kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, yameitibua...

Habari za Siasa

Mgombea Chadema adundwa, anyang’anwa fomu

LUCAS Nyangindu, mgombea uenyekiti wa kijiji cha Mwatanga, Kishapu mkoani Shinyanga kupitia Chadema, amepigwa na kunyang’anywa fomu baada ya kuwekwa chini ya ulinzi...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Serikali za Mitaa: Malalamiko kila kona

KIPYENGA cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kimepulizwa nchini kote, huku malalamiko lukuki yakiripotiwa kutoka katika baadhi ya maeneo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Anyimwa fomu kisa kutochangia Mbio za Mwenge

RAFU, hujuma na hila vimeanza kuchipuka, ambapo baadhi ya wagombea kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedaiwa kunyimwa fomu kwa kutochangia mbio...

Elimu

Mongella aagiza wanafunzi kushiriki ‘Urithi Festival’

JOHN Mongela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amewataka maofisa elimu wa shule za msingi na sekondri mkoani humo, kuwapeleka wanafunzi kushiriki na kujifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Gari la Mdee lamkwamisha kufika Kisutu 

HALIMA Mdee, mbunge wa Kawe, ameshindwa kufika mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kusikiliza madai ya kumdhalilisha Rais John...

Habari Mchanganyiko

Waandishi Afrika watakiwa kuweka kumbukumbu sahihi 

WAANDISHI wa habari Afrika, wamehimizwa kuandika kwa usahihi habari zinazohusu bara hilo, ili kuweka kumbukumbu na marejeo kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mufti Aboubakar atoa msimamo ndoa chini ya miaka 18 

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ametoa msimamo kuhusu ndoa chini ya miaka 18, kwamba Uislam unatazamia baleghe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza...

Habari Mchanganyiko

Wananchi Mkata wafurahia kukamilika mradi wa maji

BAADHI ya wakazi wa kata ya Mkata, Handeni, mkoani Tanga, wamesema kuwa kitendo cha serikali kuwapelekea mradi wa maji safi kimewafanya kuondokana na...

Habari za Siasa

Mwili wa mwanafunzi aliyesombwa na maji wapatikana Salenda

MWILI wa mwanafunzi, Rashidi Makoye aliyesombwa na maji tare 17 Oktoba maeneo ya Makoka Unyamwezini, Kimara, Dar es Salaam umepatikana maeneo ya Salenda....

Habari Mchanganyiko

Maleria yaahirisha kesi ya wafugaji, askari

MAHAKAMA ya Mwanzo Mikongezi, Mvomero imelazimika kuahirisha kesi ya kujeruhi iliyowahusisha wafugaji watatu waliowajeruhi askari wanyamapori sehemu mbalimbali za miili yao baada ya...

Habari za Siasa

Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa, wanawake waaswa

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Kibena Kingo amewataka Madiwani wanawake nchini kuzidisha upendo baina yao na kuacha unafiki jambo litakalowasaidia kushika...

Habari Mchanganyiko

Makonda ‘amkimbia’ Sheikh Alhad

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hakufika kuhudhuria kongamano maalum la kuelekea uchaguzi, uchumi wa viwanda, amani, mahusiano na ustawi...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Mbowe, Kabendera watajwa ripoti ya Amnesty

SERIKALI ya Rais John Magufuli, imeshauriwa kubadili mwelekeo wake, ikiwa ina dhamira ya kweli katika kuimarisha uhuru na demokrasia nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Pia,...

Habari za Siasa

Fomu serikali za mitaa: mbwembwe marufuku

MBWEMBWE na shamrashamra zilizozoeleka katika uchukuaji fomu za kugombea ngazi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, zimepigwa marufuku. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Nape abanwa mbavu

VIDEO inayoonesha kina mama wakigombana kwa ajili ya maji, katika kijiji cha Shuka, kata ya Navanga mkoani Lindi, imemtesa Nape Nnauye, mbunge wa...

Habari za Siasa

JPM: ATCL imekusanya Bil. 32.7

RAIS John Magufuli amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limekusanya mapato, kiasi cha Dola 14 milioni (sawa na TSh. 32.7 bilioni). Anaripoti...

Habari za Siasa

Majimbo ya Upinzani yamtoa roho Makonda

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amewachongea wabunge wa upinzani, kwa Rais John Magufuli, kwamba hawafanyi kazi za wananchi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Mpango: Tusisalimu amri

DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango amezitaka nchi za Afrika kutosalimu amri, kwa mataifa ya kigeni, yanayohatarisha uhuru wa kujitawala. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Nane wafariki dunia gari likitumbukia mtoni Tanga

WATU nane wamefariki dunia wilayani Handeni mkoani Tanga, baada ya gari walilokuwa wanasafiria, kutumbukia mtoni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI...

Habari za Siasa

Jaji Warioba: Lazima tuwe na msimamo

JAJI Joseph Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu amezitaka nchi za Afrika kuwa na msimamo dhidi ya ukoloni mamboleo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ametoa kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Mwanachuo UDSM achafua hewa mbele ya waziri mkutanoni

MWOJA Aloyce, Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amechafua hali ya hewa katika Kongamano Maalum la ‘Vikwazo vya Kiuchumi na...

Habari za Siasa

Tuiambie dunia inatosha – Prof. Kabudi

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amewataka wananchi kutotikiswa na vitisho vya kunyimwa misaada ya fedheha kutoka mataifa...

Habari za Siasa

CCM yaikingia kifua Zimbabwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutofurahishwa na hatua ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo tangu mwaka 2000. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye...

Habari za Siasa

Kubenea: CUF ndio wasaliti

SIKU moja baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kusisitiza kwamba hakitashirikiana na vyama vingine kutokana na kusalitiwa, Saed Kubenea amesema ‘CUF ndio wasaliti’. Anaripoti...

Habari za Siasa

Chauma yajaa hofu serikali za mitaa

HOFU imeanza kukumba vyama vya upinzani nchini, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Bimani aeleza machungu siasa za upinzani

SALIM Bimani, Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT Wazalendo,  amesema kitendo cha vyama vya siasa, kuzuiwa...

Habari Mchanganyiko

Kwanza TV yakata rufaa

KAMPUNI ya Kwanza, inayoendesha Televisheni ya mtandaoni (Kwanza TV), inatarajia kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kufungiwa chaneli yake, kwa muda miezi sita....

Habari za Siasa

Upelelezi kesi ya Kabendera danadana

UPANDE wa Mashtaka wa kesi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, umedai bado upepelezi haujakamilisha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

CUF wapata pigo, Maalim Seif, Prof. Lipumba waungana

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepata pigo kwa kuondokewa na Muasisi wake, Mzee James Mapalala, aliyefariki dunia leo tarehe 23 Oktoba 2019. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Tulisalitiwa, tunapambana wenyewe – CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza dhamira yake ya kuking’oa Chama Cha Mapinduzi (CCM), bila kushirikiana na chama chochote. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kimeeleza, tayari...

Habari za SiasaTangulizi

Wadhamini wa Lissu wabanwa mahakamani 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewataka wadhamini wa aliyekuwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu...

Habari za Siasa

Ukipanda chuki, utavuna chuki – Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema nchi imevimba usaa wa chuki. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Zitto ametoa kauli hiyo...

Michezo

Zembwela aitosa East Afrika Radio, atua Wasafi

ALIYEKUWA mtangazaji wa East Africa Radio na East Africa Television kwa zaidi ya miaka sita, Hillary Daudi ‘Zembwela’ amekihama rasmi kituo hicho na...

Habari za Siasa

Shahidi Jamhuri, Wakili wa Zitto neno kwa neno

SHAHIDI wa 13 kwenye kesi namba 237/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Philbert Katundu, amesema hakuona tatizo kwenye mkutano wa kiongozi...

Habari Mchanganyiko

JNHPP yahamasisha uhifadhi misitu endelevu

MRADI wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), utaweza kuwa endelevu endapo uhifadhi na utunzaji wa misitu hasa ya vijiji utakuwa endelevu na...

Habari Mchanganyiko

‘Limeni kilimo kinachohimili mabadiliko tabia ya nchi’

WAKULIMA nchini wametakiwa kutumia ardhi ndogo ya kilimo waliyonayo, kuzalisha kwa tija na kufikia malengo ya kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabia nchi (CSA). Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto: CCM ipo hoi, wanachama 90 wamfuata

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kiko hoi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zitto ametoa kauli hiyo wakati akiwapokea...

error: Content is protected !!