Monday , 27 May 2024
Home mseti
113 Articles3 Comments
Habari Mchanganyiko

Ireland yaahidi kuendeleza mapambano ya unyanyasaji

SERIKALI ya Irelanda imeahidi kuendelea na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto nchini ili kutokomeza vitendo hivyo vinavyo...

Habari za Siasa

Waziri Aweso “atumbua” kigogo Maji, avunja bodi

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Mamlaka ya Maji Misungwi, Charles Kampuni pamoja na kuvunja bodi ya...

Habari Mchanganyiko

Vitendo vya ukatili vyawaunganisha waganga wa jadi, wazee wa kimila

VITENDO vya ukatili, mila potofu na mimba za utotoni, vimewaibua na kuwakutanisha wazee wa mila 225 kutoka mikoa tisa nchini na kuunda mtandao...

Habari Mchanganyiko

“Wanafunzi vyuo vikuu wanashiriki mapenzi ya wenyewe kwa wenyewe”

SHIRIKA la Kutetea Haki za Wanawake na Watoto (Kivulini) mkoani Mwanza, limebaini vijana wengi wa vyuo vikuu hususan wa mwaka wa kwanza, wamekuwa...

Elimu

Mongella aagiza wanafunzi kushiriki ‘Urithi Festival’

JOHN Mongela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amewataka maofisa elimu wa shule za msingi na sekondri mkoani humo, kuwapeleka wanafunzi kushiriki na kujifunza...

Habari Mchanganyiko

Machinga Makoroboi Mwanza walia na viongozi kuuza maeneo

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (machinga) katika soko maarufu la Makoroboi jijini Mwanza, wanaulalamikia uongozi wa Muungano wa Machinga Tanzania (Shiuma) kutokana na vitendo vyao...

Habari Mchanganyiko

Mwanza yatekeleza miradi ya maji ya 788 Bil

JUMLA ya miradi 17 ya kimkakati katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, yenye thamani ya Sh. 788 bilioni inaendelea kutekelezwa. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza …...

Habari Mchanganyiko

Sababu bei ya maji kupanda Mwanza yaelezwa

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (Mwauwasa) imesema, imepandisha bei ya maji kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Anaripoti...

Elimu

Mradi wa elimu Misungwi umejengwa chini ya kiwango: Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mwanza imebaini uwepo wa kasoro katika mradi wa elimu wa ujenzi wa vyumba...

Habari Mchanganyiko

JP DECAUX, Polisi waandaa tamasha la bodaboda 

JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Kampuni ya JP DECAUX imeandaa tamasha la UNITY FESTIVAL kati ya bodaboda na askari Polisi ...

Habari Mchanganyiko

Wizi mpya waibuka, TCRA wadaka 12 Mwanza

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 12 wanaojihusisha na usajili wa...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti TPSF ahimiza maadili, sheria sekta binafsi

TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imeendelea kuwahimiza wadau waliyopo kwenye sekta hiyo kufuata sheria, taratibu na uzalendo ili kuepukana na vitendo vya...

Habari za Siasa

Sekta ya Utalii yachangia 17.6% katika pato la Taifa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamisi Kigwangala ameweka wazi kuwa sekta ya utalii ni moja kati ya sekta muhimu nchini katika ukuaji...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa aokoa Sh. 250 mil za sherehe Mwanza

WaAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Professa Makame Mbarawa ameagiza Sh. 250 milioni zilizokuwa zimetengwa na wizara hiyo kwa ajili ya sherehe za uzinduzi...

Afya

Mashine za kupimia wingi damu changamoto Mwanza

IMEELEZWA kuwa baadhi ya vituo vya afya mkoa wa Mwanza vinakabiliwa na ukosefu wa mashine za kupimia wingi wa damu kwa kinamama wajawazito...

Habari Mchanganyiko

Waziri Kamwele aagiza mazito Mwanza

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwele amemuagiza mkandarasi wa kampuni ya STX Sekyong LTD inayojenga chelezo la meli mpya katika...

Habari za Siasa

Kada CCM atafuna pesa za wafanyabiashara

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amemtaka kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kahungwa kurejesha mara moja pesa zilizochangwa na wadau...

Habari Mchanganyiko

Tanesco Mwanza lapongeza wafanyabiashara

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), Kanda ya Ziwa limeeleza kuwa, wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa watu wanaongoza kulipa bili ya umeme kwa asilimia...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wa bei Pamba wapatiwa ufumbuzi

MGOGORO wa bei ya zao la pamba ulioukuwepo baina ya wakulima na wanunuzi umemalizwa na sasa zao hilo litaendelea kununuliwa kwa bei elekezi...

Habari Mchanganyiko

Kiongozi wa Mwenge: Mwanza inatekeleza miradi kwa kiwango bora

MZEE Mkongea Ali, Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, amesema miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji na shule inayoendelea kutekelezwa katika Jiji la...

Habari Mchanganyiko

TRA yatangaza neema kwa wananchi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza fursa ya malipo ya asilimia tatu kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi za kufanikisha kukusanywa kodi iliyokwepa na...

Habari Mchanganyiko

Mradi wa maji kumaliza tatizo la wananchi kuchangia maji na wanyama

WAKATI zaidi ya 16, 000 wa vijiji vya Nyansenga, Kawekamo na Nyampande, Sengerema mkoani Mwanza wamesema wamekuwa wakiamka usiku wa manane kwenda kutafuta...

Habari Mchanganyiko

TARURA yajipa jukumu kutafutia kazi watoza ushuru magari

WAKALA wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Mwanza, umewataka wakusanya ushuru wa maegesho ya magari waliokosa nafasi za kazi kujiunga...

Habari Mchanganyiko

Sh. 17.89 Bil kujenga mradi wa maji Mwanza

JUMLA ya Sh. 17.89 bilioni zimetolewa na Serikali,  kupitia mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yatangaza fursa za Utalii kwa wawekezaji

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Professa. Adolf  Mkenda, amesema serikali imeanza mipango na mikakati itakayosaidia wizara hiyo kuongeza ukusanyaji wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Majaliwa: Serikali inaendelea kupambana na mafisadi 

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kupambana na wala rushwa pamoja na mafisadi wote ambao walikuwa wanakula fedha za miradi ya maendeleo...

Habari Mchanganyiko

Jiji Mwanza waanza kujenga a soko la Sh. 23 bil

HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imeanza ujenzi wa soko kubwa la kisasa ambalo lilikuwa kwenye mikakati ya muda mrefu ya ujenzi na sasa ...

Habari Mchanganyiko

“Mali za ushirika zilizopigwa zawekewa mikakati”

SERIKALI imekiagiza Chama Kikuu Cha Ushirika (Nyanza) mkoani Mwanza kuhakikisha kinaorodhesha na kuzitambua mali zote  za chama hicho zilizokuwa zimetaifishwa kinyemera. Anaripoti Moses Mseti,...

Afya

Waziri Ummy awaita wadau sekta ya afya

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  ameishauri jamii kuwa na utaratibu na utamaduni wa kuchangiana kwenye matibabu pindi...

Habari Mchanganyiko

Msako wa kuwakamata waganga wa kienyeji watangazwa

JESHI la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata na kuwadhibiti waganga wa tiba asili wanaojihusisha na vitendo vya upigaji wa ramli chonganishi zinazochangia...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wa miaka 40 wapatiwa ufumbuzi

MGOGORO uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 kati ya jeshi la Polisi na Wananchi wa mitaa miwili ya Songambele na Kigoto mkoani Mwanza...

Elimu

Wanafunzi 2,615 Mwanza wasoma kwa ‘taabu’

WANAFUNZI  2,615 wa Shule ya Msingi Kanindo iliyopo Kata ya Kishili jijini Mwanza wanalazimika kusoma kwa  zamu  ili kuachiana vyumba vya madarasa vilivyopo  kitendo ambacho kinaonekana...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 5 zatengwa kununua, kukarabati vivuko

Katika kuhakikisha usafiri wa majini unaimarika, serikali imetenga kiais cha Sh. bilioni 5 katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya  ukarabati  na kununua  vivuko pindi...

Habari Mchanganyiko

Benki CRDB wapewa ushauri

WATEJA wa benki ya CRDB mkoa wa Mwanza wameishauri benki hiyo kuboresha huduma zake za kifedha ili kuwafikia wananchi wengi walioko vijijini, wakiwemo...

Habari za Siasa

Meya Mwanza atimua waandishi

JAMES Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza hana urafiki na waandishi wa habari kwa madai wanabagua. Anaripoti Moses Mseti…(endelea). Pia Bwire ametoa sababu nyingine kuwa,...

Afya

Mongella awakanya watumishi wa umma

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka watumishi wa umma katika idara mbalimbali mkoani humo kuacha kufanya siasa katika sehemu zao za...

Habari za SiasaTangulizi

Mfumo wa GePG mwarobaini kwa ‘wapiga dili’

MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira (Mwauwasa) mkoani Mwanza imesema kuwa mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya serikali wa GePG...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo ofisi ya RC Mwanza mikononi mwa Takukuru

KIGOGO katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kosa la kuomba...

Habari Mchanganyiko

Majambazi saba yauawa Mwanza

WATU saba wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na jeshi la polisi mkoani Mwanza wakati wa majibizano ya kurushiana risasi na askari polisi. Anaripoti Moses Mseti,...

MichezoTangulizi

Nandy azindua Nandy Beauty Product

KATIKA kuhakikisha anaunga juhudi za serikali ya viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Mfinanga...

Habari Mchanganyiko

Walioshika mkia ukusanyaji mapato 2017/18 wapewa agizo zito

WAZIRI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jaffo, amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela John Wanga,...

Habari Mchanganyiko

CRDB, Mmiliki wa Batco ‘wakaliwa’ kooni

MAHAKAMA Kuu kanda ya Mwanza, imetupilia mbali mapingamizi mawili yaliyowekwa na wakili wa upande wa mlalamikiwa namba mbili, mfanyabiashara wa mabasi ya Batco,...

Habari Mchanganyiko

Ashitakiwa kwa uhujumu uchumi, kisa kudhamini kesi ya vipodozi

MKAZI wa mtaa wa Uzunguni wilaya ya Muleba, Kagera, Alex Chacha anasota katika gereza la Butimba Mwanza kwa tuhuma za uhujumu uchumi baada...

Habari Mchanganyiko

Professa Mbarawa aagiza kukusanywa kodi

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Professa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Maji na Umwagiliaji mkoani Mwanza (MWAUWASA) kuongeza jitihada za ukusaji wa kodi...

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi awataka watendaji wake wajitathimini

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza, Magesa Mafuru amewataka watendaji katika ofisi ya Ofisa maendeleo ya jamii kujitathimini katika utendaji wao...

Habari za Siasa

Wananchi Mwanza wajutia kumchagua Mbunge

WAKAZI wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wamejikuta wakizilaumu nafsi zao na kujutia kumchagua Mbunge wa jimbo hilo, Angelina Mabula kutokana na kile...

Habari za SiasaTangulizi

TAKUKURU wamnasa Diallo

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imemtia mbaroni, Anthony Mwandu Diallo, ikimtuhumu kugawa mrungula katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM Mwanza wamgomea Rais Magufuli

PAMOJA na Rais John Magufuli kuwataka Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Mkuu wa Mkoa, John Mongela na Mkurugenzi wa jiji hilo,...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara wajipanga kuwekeza sekta ya viwanda

WAFANYABIASHAFA wakubwa nchini, wamejipanga kuendelea kujenga viwanda vikubwa na vidogo katika maeneo mbalimbali nchi ili kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa...

Habari za Siasa

JPM atangaza vita na wakuu wa mikoa

RAIS John Magufuli ametangaza vita na wakuu wa mikoa watakaoshindwa kuweka mikakati na mipango ya kujenga viwanda katika maeneo yao ili kuendana na...

error: Content is protected !!