KAMATI ya utendaji ya klabu ya Yanga, imemteuwa aliyekuwa mshauli Mkuu wa klabu hiyo kwenye masuala ya mabadiliko Senzo Mbatha kuwa mtendaji...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2021MBUNGE wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, ameshangazwa na kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutomchukulia hatua Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imefanya marekebisho ya tozo za miamala ya simu, kwa kupunguza viwango vyake kwa asilimia 30. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021MILIO ya risasi ya sherehe ilisikika kote jijini Kabul chini Afghanistan leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021, wakati wapiganaji wa Taliban walipodhibiti...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imelipa madai ya mishahara kiasi cha Sh. 2.6 bilioni, kwa watumishi 1,643, walioondolewa katika orodha ya malipo ya mishahara...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amekiomba Kituo cha sheria na Haki za binadamu (LHRC) kusaidia kupata mkaguzi wa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MAWAKILI wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika kesi ya kula njama za kufanya ugaidi, wameweka pingamizi kwa Mahakama Kuu...
By Regina MkondeAugust 31, 2021WATAFITI na wanataaluma wa vinasaba nchini wamesema kuna uhitaji mkubwa ufanyikaji wa utafiti za vinasaba vya binadamu ili kubaini vyanzo mbalimbali vya...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2021WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga), wamepewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo ya...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, leo tarehe 31 Agosti, 2021, imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM)...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili...
By Regina MkondeAugust 31, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania ameanza mchakato wa kutumia maabara katika kufanya kaguzi mbalimbali za maendeleo...
By Jonas MushiAugust 31, 2021SAA chache baada ya Mkurugenzi Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, kufariki dunia, mwanaye Rose ameandika ujumbe wa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma (CCM) maarufu kama Mwana FA amesimulia namna alivyonusurika kifo katika ajali iliyotokea katika eneo la Mkambarani mkoani...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021HATIMA ya gharama za tozo ya miamala ya simu kupungua au kubaki kama zilivyo itafahamika leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021TANGU wachukue madaraka nchini Afghanistan tarehe 15, Agosti mwaka huu, viongozi kadhaa wa kundi la wanamgambo wa Taliban wameonekana hadharani mjini Kabul....
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021ROKETI kadhaa zimerushwa kuelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kabul nchini Afghanistan, wakati ni siku ya mwisho kwa wanajeshi wa...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2021 amefungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi za Mkuu...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021SERIKALI imetoa kiasi cha Sh. bilioni 1.3 kukamilisha mradi wa maji kwa wakazi wa Njendengwa, Ihumwa, Nzuguni, Nyumba miatatu, Iyumbu, soko kuu...
By Danson KaijageAugust 30, 2021MWANAMUME mmoja aliyefahamika kwa jina la Benard Mwendwa Musyoka (30), maarufu ‘Boy’ au ‘Swaleh’ amekutwa amefariki duniani katika chumba kulala wageni kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021PADRE mmoja wa Kihindu (53) kutoka nchini India amejumuishwa katika kundi la watuhumiwa wanne wanaodaiwa kumbaka binti mmoja mwenye umri wa miaka...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021KAMPUNI inayoongoza kwa utoaji wa huduma za fedha katika ukanda wa Afrika Mashariki, I&M Group PLC imetangaza kuongeza faida kwa asilimia 33...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameangua kilio wakati mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, akirudishwa rumande katika gereza la Ukonga, anakoshikiliwa...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi manne katika kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akipinga utaratibu uliotumika kumkamata...
By Regina MkondeAugust 30, 2021SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba wa uchorongaji na Mgodi wa Madini wa Buckreef (Buckreef Gold Company Ltd) ambayo ni...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021KLABU ya soka ya Coastal Union imemtambulisha Kocha wake mpya, Melis Medo kwa mkataba wa miaka miwili, leo tarehe 30 Agosti, 2021...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021USALAMA ni moja ya nguzo muhimu katika masuala ya usafiri wa anga. Hiki ndio kigezo ambacho kimezishinda kampuni nyingi za usafiri wa...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania, inatekeleza mradi wa majitaka Uhuru katika Wilaya ya Ilala...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vimevutana katika kushiriki chaguzi ndogo za ubunge zinazotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba 2021, katika majimbo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021RAIS wa Zambia, Hakainde Hichilema amefanya mabadiliko ya uongozi katika vyombo vya ulinzi na usalama, siku sita baada ya kuingia madarakani, tarehe...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021SIRI ya Hamza Hassan Mohamed kumudu kutumia silaha na kuwaua askari watatu wa jeshi la polisi na mlinzi mmoja wa kampuni ya...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021NYUMBA 19 zimeteketea kwa moto katika kitongoji cha Shaurimoyo, kijiji cha Nyamwage wilayani Rufiji mkoani Pwani baada ya mwananchi mmoja kuwasha moto...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021VYAMA vya Upinzani nchini Tanzania, vimelaani kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo, IGP Simon Sirro, dhidi ya familia ya Hamza...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza ujenzi wa kituo cha Afya Usinge, wilayani Kaliua, Mkoa wa Tabora, ukamilike ifikapo Oktoba 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amefanya maombi maalum ya kuwaombea Askari Polisi, katika Kanisa lake la...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania kimataifa. Anaripoti Mwandishi...
By Kelvin MwaipunguAugust 30, 2021ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo), Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mohamed Mtambo, amerejea jimboni kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliompa wakati wa kampeni za...
By Kelvin MwaipunguAugust 30, 2021KILELE cha Wiki ya Mwananchi cha mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, kimehitimishwa kwa majonzi baada ya...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021YES ni siku kubwa. Kilele cha Wiki ya Wananchi. Hakuna ubishi hii ndiyo Yanga Afrika. Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania. Anaripoti Wiston Josia,...
By Masalu ErastoAugust 29, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema mwili wa Hamza Mohamed ambaye aliwaua watu wanne wakiwemo askari polisi watatu,...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021ASASI za kiraia nchini Tanzania, zimeifikisha katika Mahakama ya Afrika Mashariki serikali ya nchi hiyo kwa kukiuka amri halali ya Mahakama. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021JESHI la Marekani limesema, limemuua mtu anayedaiwa kupanga shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul katika shambulizi la ndege isiyo na rubani....
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, jumla ya wananchi wake 300,000 wamepata chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Patricia...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021BAADA ya kuondoka ndani ya Manchester United ya Uingereza miaka 12 iliyopita, Cristiano Ronaldo (36) ametangazwa kurejea tena ndani ya timu akitokea...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini humo wasimuamini kila mtu wanapokuwa katika majukumu yao ya...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021VILIO na simanzi vimetawala wakati miili ya askari polisi watatu na mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, ikiagwa katika viwanja vya...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021