MSANII wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogum ‘Wizkid’, leo ameachia Deluxe Edition ya albamu yake ya ‘’Made in Lagos.’’ Anaripoti Glory...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla, amesema majeruhi wa tukio la mauaji lililotokea jirani na Ubalozi...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi wa marudio wa ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021NGULI wa muziki barani Afrika kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Koffie Olomide pamoja na msanii mashuhuri kutoka nchini Tanzania Nandy wanatarajia kutoa...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, anaongoza mamia ya waombolezaji kuaga miili ya askari Polisi watatu na mlinzi wa...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021NCHI ya Afghanistan imeendelea kutikisa vichwa vya habari duniani baada ya kundi la Taliban kuipindua serika iliyokuwa madarakani na Rais wa nchi...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), maarufu maarufu Lardh JM, Mkazi wa Kariakoo, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wanaoishi katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo Wilayani Tanganyika kuimarisha ulinzi na usalama katika...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021WATU takribani 60 wameuawa huku 140 wakijeruhiwa, katika milipuko ya mabomu iliyotokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai Mjini...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021KLABU ya Simba inatarajia kuweka kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu mwaka 2021/2022 nchini Marekani kwa ushirikiano wa klabu ya DC United...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeomba kibali kutoka kwa Spika Job Ndugai, cha kumkamata Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021ASKARI Polisi wawili kati ya watano, waliojeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu wanne, lililotokea karibu na Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeAugust 26, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeviomba vyombo vya ulinzi na usalama nchini viunde tume huru ya uchunguzi, ili...
By Regina MkondeAugust 26, 2021TIMU ya Taifa ya wanawake nchini ‘Twiga Stars’ imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kudhamini...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021KIONGOZI mkuu wa Cha cha upinzani nchini Kenya (ODM), Raila Odinga, jana tarehe 25 Agosti, 2021 amefanya ziara ya siku moja nchini...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021KLABU ya Bayern Munich imeibuka na ushindi wa mabao 12 -0 dhidi ya Bremer SV katika mchezo wa raundi ya kwanza ndani...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021STAA wa Arsenal aliyekuwa na ukame wa magoli, Pierre-Emerick Aubameyang jana tarehe 25 Agosti, 2021 amezinduka na kuifungia timu yake magoli matatu...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021MWANAUME mrefu zaidi nchini Marekani aliyejulikana kwa jina la Igor Vovkovinsky, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 kutokana na ugonjwa...
By Masalu ErastoAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo, lifanye uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu...
By Regina MkondeAugust 25, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) uhakikishe unatumia fedha na...
By Danson KaijageAugust 25, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limezindua mwongozo wake wa utendaji kazi (PGO), baada ya kuufanyia marekebisho ili kuongeza ufanisi. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeAugust 25, 2021KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas amesema serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sanaa...
By Masalu ErastoAugust 25, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amesema, askari wawili wamefariki dunia wakati wakimdhibiti mtu mmoja aliyekuwa alifyatua risasi hovyo karibu na...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021HALI ya takaruki imeibuka eneo la daraja la Salender jijini Dar es Salama nchini Tanzania baada ya milio ya risasi kati ya...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi matatu katika kesi Na. 14/2021, iliyofunguliwa na Odero Charles Odero, kupinga makato ya tozo ya miamala ya...
By Regina MkondeAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kujipanga vizuri kwenye masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ili...
By Masalu ErastoAugust 25, 2021WAKILI nchini Tanzania, Peter Mdeleka, amewasilisha ombi la kufungua kesi ya kupinga utaratibu wa kukiri kosa na kulipa fidia ili kuondolewa mashtaka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kubwa katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuondoka na aibu...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi, lishirikiane na raia katika kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu pamoja na kufuta kesi ambazo...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga, mara baada ya kuachana na wajiri wake...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema, amepata wadau waliokubali kuwajengea wafanyabiashara wa ufukwe wa Coco vibanda vya...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021KATIKA mwaka wa fedha 2021/2022 Wakala ya Barabara (TANROADS), Mkoa wa Pwani unatarajia kutumia Sh. milioni 700 kwa ajili ya karabati wa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) nchini Tanzania, kimesaini mkataba wa ushirikiano na National Aviation Service (NAS) – Dar Airco Tanzania katika...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MKUU wa Shirika la Ujasusi la Marekani, William Burns amefanya mkutano wa siri na mwanzilishi mwenza wa kikundi cha wanamgambo wa Taliban,...
By Gabriel MushiAugust 24, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaingia kambini hii leo Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu fainali za...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2021KLABU ya Azam imeanza mazoezi yake ya maandalizi ya msimu ujao 2021/22 katika kambi iliopo mji wa Ndola nchini Zambia. Anaripoti Wiston...
By Masalu ErastoAugust 24, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amewataka watu waishi duniani kama wapiti njia, huku...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo kupata chanjo...
By Regina MkondeAugust 24, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amewataka Watanzania wapuuze maneno yanayotolewa na baadhi ya...
By Regina MkondeAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amegoma kutumia kiti na kipaza sauti, vilivyopangwa kwa ajili ya kutumia akihojiwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameanza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,...
By Regina MkondeAugust 23, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuondoka nchini kesho tarehe 24 Agosti, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021