November 29, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Udahili waanza shule mbili zilizojengwa na GGML, Halmashauri Geita 

Spread the love

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita baada ya Shule ya Kamena, ambayo ni maalum kwa wasichana, wakiwa maabara. Shule zote mbili zimejengwa kwa gharama ya Sh milioni 287.5 kwa ufadhili wa wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia Mfuko wa Uwajibikaji wa Jamii.

Wanafunzi wa kidato cha tano kutoka shule ya sekodari Bugando wakihifadhi mazingira yao kwa kupanda miti fulani kwenye uwanja wa shule. Shule hiyo imejengwa kwa ufadhili wa wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia Mfuko wa Uwajibikaji wa Jamii.

error: Content is protected !!