Sunday , 19 May 2024

Month: March 2022

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Alhamis tarehe 31 Machi 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Makala & UchambuziTangulizi

Miradi kichefuchefu inayoitia doa Serikali Kinondoni

UKIMYA na usiri umeendelea kutawala kuhusu kukwama kwa miradi mitatu ya Halmashauri ya Kinondoni inayogharamiwa kwa vyanzo vya mapato ya ndani na kuitia...

Kimataifa

Mahakama Kenya yasema mchakato BBI haukufuata sheria

  Mahakama ya upeo nchini Kenya imesema kwamba mchakato mzima wa marekebisho ya katiba ulikiuka sheria na kwa hivyo si halali. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaKimataifa

Bunge DRC lapiga kura kutokuwa na imani na Waziri

  BUNGE la Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo , limepiga kura kumuondoa Waziri wa Uchumi Jean Marie Kalumba , katika wadhifa wake Jumatano...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kuingiza tafiti za Prof. Ngowi kwenye mitaala

SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuingiza katika mitaala ya elimu ya juu, ripoti za tafiti zilizofanywa na aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha...

Habari Mchanganyiko

Vilio vyakwamisha wasemaji msiba wa Prof. Ngowi

VILIO vya uchungu vimesababisha baadhi ya wasemaji katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prosper Honest...

Habari Mchanganyiko

DC Korogwe anuia kumaliza kero ya maji Mashewa

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi ameahidi kuhakikisha maji yanafika kwenye shule ya Sekondari Mashewa ili kuwapunguzia kero ya maji wanafunzi wawapo...

Habari za SiasaTangulizi

Membe asamehewa, arejeshwa CCM

BAADA ya kusota ‘benchi’ kwa muda wa mwaka mmoja na ushee, Kada aliyejipatia umaarufu kisiasa ndani ya CCM na baadaye ACT Wazalendo, Bernard...

Habari za SiasaTangulizi

Mangula ang’atuka CCM, Kinana arejea

HATIMAYE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula ameng’atuka kwenye nafasi hiyo aliyoihudumu kwa miaka muda wa miaka 10. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Rais Tunisia avunja Bunge

RAIS wa Tunisia, Kais Saied amevunja Bunge alilokuwa amelisimamisha miezi nane iliyopita kutokana na maandamano makubwa nchini humo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada...

Habari Mchanganyiko

Kindamba: Tujitokeze kuchanja, karibuni Njombe

MKUU wa Mkoa wa Njombe (RC) nchini Tanzania, Waziri Kindamba amewaomba wananchi kujitokeza kupata chanjo ya virusi vya korona (UVIKO-19) kwani haina tatizo...

Michezo

Ruud Van Nistelrooy aula PSV Eindhoven

MSHAMBULIAJI, wa zamani wa Manchester United, Ruud Van Nistelroy ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa Klabu ya PSV Eidhoven inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uholanzi....

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Mkumbo aiomba Serikali ipanue Barabara ya Dar-Dodoma

MBUNGE wa Ubungo, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo, ameiomba Serikali ifanye upanuzi wa Barabara ya kutoka Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene azindua kongamano msaada wa kisheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria, George Simbachawene amezindua kongamano la msaada wa kisheria la 2022, pamoja na Ripoti ya Wadau wa Upatikanaji wa...

HabariTangulizi

Simbachawene asema ‘flyover’ bila haki “tunajenga taifa katili”

  WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, George Simbachawene, amesema nchi ikijengwa miundombinu ya madaraja na barabara za juu ‘Fly Over’, bila...

Biashara

NMB yawaibua wakulima Dodoma, watoa ushuhuda

MABADILIKO makubwa yaliyofanywa na Benki ya NMB nchini Tanzania yamewaibua wakulima kufungua milango ya kukimbilia mikopo ya benki hiyo ili kujiimarisha kiuchumi. Anaripoti...

Makala & Uchambuzi

Tangulia Profesa Honest Ngowi, utakumbukwa daima

NILIPATA mshtuko mkubwa kupokea taarifa mbaya ya kifo cha Profesa Honest Ngowi kilichotokana na ajali ya gari kutoka kwa mwanachama mwenzetu wa kundi...

Biashara

NMB yazindua wakala wa simu mkononi, ajira 100,000 zanukia

BENKI ya NMB nchini Tanzania imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa fedha kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu zao za mkononi tu....

Habari Mchanganyiko

Fedha tozo miamala ya simu zatimiza ndoto wananchi Madaba

WANANCHI wa Materereka katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma wamesema ujenzi wa kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za tozo za...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi Kituo cha Afya waneemesha mafundi ujenzi Mtama

UJENZI wa Kituo cha Afya Mtama mkoani Lindi umetajwa kuwa kichocheo cha maendeleo kwa wakazi wa eneo hilo hususani mafundi ujenzi ambao wameshukuru...

Habari za Siasa

Mbowe aitaka Serikali kufanyia kazi hukumu ya EACJ

  MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), Freeman Mbowe, ameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanyie kazi hukumu iliyotolewa na...

Kimataifa

Wanne wauawa shambulio la Urusi kituo cha matibabu Kharkiv

  RAIA wanne wameuwawa Ukraine na wengine kadhaa , kujeruhiwa baada ya shambulio la Urusi kupiga kituo cha matibabu huko Khirkiv, Polisi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa ailaumu Serikali kuficha kuugua kwa Hayati Magufuli

  BALOZI Mstaafu,Dk. Wilbrod Slaa, ameilaumu Serikali kwa kuchelewa kutoa taarifa za kuugua wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli,...

Michezo

Steve  Nyerere  akubali yaishe, ajiuzulu usemaji SMT

  STEVEN Mangele maarufu Steve Nyerere ametangaza kujizulu nafasi ya Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT). Anaripoti Rhoda Kanuti, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu Madini atembelea GGML, aipongeza kwa kuzingatia sheria

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolph Ndunguru ameipongeza Kampuni ya (GGML) kwa kuzingatia sheria zinazosimamia sekta ya madini na kutekeleza majukumu yake...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe waishinda Serikali ya Tanzania, EACJ yatoa maagizo

  MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imeitaka Serikali ya Tanzania kurekebisha vifungu vya mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya...

Habari za Siasa

“Jeshi la Magereza haliongei lugha moja”

  KUTOKUWA na ushirikiano miongoni mwa asktrai na maafisa wa Jeshi la Mageresha kumetajwa kama kikwazo cha kupiga hatua katika maendeleo ya jeshi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaweka mapingamizi maombi ya Kubenea kumshtaki Makonda

  SERIKALI ya Tanzania imeweka mapingamizi katika maombi yaliyofunguliwa na Mwanahabari nchini humo, Saed Kubenea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, kuomba kibali cha...

Habari za Siasa

Rais Samia ayapa majeshi changamoto mpya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka mwelekeo mpya wa majeshi kuachana na uzalishaji mali na kuwekeza nguvu zaidi katika majukumu yao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Samia ataka askari waliopandishwa vyeo kurudi kusimamia wafungwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hatotoa ajira mpya kwa askari wa jeshi la Magereza na kuagiza waliopandishwa vyeo kurudi kusimamia wafungwa. Anaripoti...

Michezo

Italia yang’olewa kombe la dunia

  MABINGWA wa Ulaya, Italia hawatacheza Kombe la Dunia la mwaka 2022 baada ya kushangazwa na Macedonia Kaskazini katika mechi yao ya mchujo...

Kimataifa

WHO laonya mataifa Afrika kulegeza mashariti Covid 19

  SHIRIKA la Afya Duniani limetoa wito wa tahadhari , juu ya kuongezeka kwa idadi kubwa ya nchi za Kiafrika zinazolegeza uchunguzi wa...

Kimataifa

Kiongozi kundi linalopinga wahamiaji Afrika Kusini akamatatwa

  KIONGOZI nchini Afrika Kusini wa kundi linalopinga wahamiaji, amekamatwa siku ya Alhamisi tarehe 24 machi 2022 vyombo vya Habari nchini humo vinaripoti....

Kimataifa

Mapatano ya kibinadamu yatangazwa Ethiopia

  SERIKALI nchini Ethiopia imetangaza maafikiano ya kibinadamu , katika mzozo wake uliodumu takribani miezi 16 na Wanajeshi kutoka eneo la Kaskazini mwa...

Habari za Siasa

Mbowe atinga kortin, hukumu kutolewa leo

  MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashariki leo Ijumaa tarehe 25 Machi 2022 itatoa hukumu ya kesi juu ya uhalali wa Mabadiliko ya...

Habari za Siasa

Tanzania kuisaidia Msumbiji kukomesha ugaidi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya...

HabariTangulizi

Hofu yatanda Ngorongoro, madiwani wahojiwa CCM

  HOFU imetanda kwa madiwani na watetezi wa haki za binadamu waishio kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, baada ya baadhi ya madiwani kuhojiwa na...

Afya

Mjadala sekta ya afya kufanyika Njombe

  TAASISI isiyo ya kiserikali ya Univeristy of Maryland Baltimore (UMB) kwa kushirikiana na serikali ya Mkoa wa Njombe imeandaa mjadala wa kitaifa...

Habari Mchanganyiko

PIC yaipongeza DAWASA utekelezaji wa miradi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji (PIC) imeridhishwa na usimamizi na utekelezaji wa miradi ya Maji ya Kibamba-Kisarawe na Pugu-Gongo la mboto...

Habari Mchanganyiko

DC Kilosa awasimamisha kazi wenyeviti 3 wa vitongoji

MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Alahj Majid Mwanga amewasimamisha kazi wenyeviti wa vitongoji vitatu kwa makosa mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madarakani. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Prof. Kikula atoa maagizo 3 kwa maofisa madini

MWENYEKITI wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka Maofisa Madini Wakazi wa mikoa nchini kuweka utaratibu wa kukutana na wachimbaji wa madini...

HabariTangulizi

Samia: Uzinduzi daraja Tanzanite ni kumuenzi Magufuli

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uzinduzi wa daraja jipya la Tanzanite lililopo jijini Dar es Salaam anauchukulia kama sehemu ya kumuenzi mtangulizi...

HabariTangulizi

Mke wa Mrema huyu hapa, aanika utajiri wake, asema hajafuata mali

DOREEN Kimbi, mke wa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Augustino Lyatonga Mrema amesema umri baina yake na mumewe mwenye miaka 77 si tatizo. Anaripoti...

HabariTangulizi

Rais Samia akwamisha kongamano la TCD

  Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesogeza mbele kongamano la haki, amani na maridhiano, hadi tarehe 4 na 5 Aprili 2022, sababu zikitajwa...

Habari Mchanganyiko

Mrema anafunga ndoa na Doreen

  HAYAWI HAYAWI hatimaye yamekuwa. Ndivyo unaweza kuelezea kinachofanyika leo Alhamisi tarehe 24 Machi 2022 kwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augistino Mrema...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro awapa neno polisi “tuoneshe tuna uwezo wa kufanya kazi”

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, kwa ajili ya kuisaidia nchi,...

Kimataifa

Rais Ukraine aitisha maandamano duniani kupinga Urusi

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Aidha,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yakubali mapendekezo 167 ya UN

SERIKALI ya Tanzania, imekubali kutekeleza mapendekezo 167, kati ya 252 yaliyowasilishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN), yenye malengo ya kukuza...

Habari Mchanganyiko

Sakata la katiba, mgogoro ardhi Ngorongoro vyatinga UN

SAKATA la ukamilishwaji wa mchakato wa upatikanaji kati mpya, pamoja na mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro, vimeibuliwa kwenye mkutano wa 49...

HabariMichezo

Kim Poulsen akoshwa na bao la Samatta

  KOCHA wa Timiu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Polusen ameonekana kukoshwa na bao la pili kwenye mchezo wa kimataifa wa...

error: Content is protected !!