NAIBU Rais wa Serikali ya Kenya, William Ruto amesema kuwa kuna usaliti na vitisho vingi katika harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022WAKATI watu zaidi ya milioni moja wakiripotiwa kuikimbia Ukraine, wengine wameamua kujitokeza na kuandamana barabarani kuzuia uvamizi wa majeshi ya Urusi. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022WANAMICHEZO wote waliotarajia kushiriki michezo ya Paralimpiki msimu wa baridi, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Beijing nchini China, wamepigwa marufuku. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022KWA mara ya kwanza Urusi imetangaza vifo vya wanajeshi wake 498 na wengine 1,597 kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati yake na Ukraine....
By Gabriel MushiMarch 3, 2022MWANAUME kutoka Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni baada ya kufunga pingu za maisha na mapacha watatu wa...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022MWANAMKE mmoja mkazi wa mtaa wa Kawangware, Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumng’ata sikio mpenzi na kulinyofoa kabisa....
By Gabriel MushiMarch 3, 2022VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka aliyonayo kumaliza kesi ya ugaidi inayomkabili, kiongozi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MTETEZI wa haki za binadamu, Tito Magoti ameifikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022SERIKALI ya Tanzania imeokoa Sh.249 bilioni zilizokuwa zitumike kugharamia wagonjwa kwenda nje ya nchi kufuata huduma za matibabu ambazo awali zilikuwa hazipatikani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022Vikosi vya Jeshi la Urusi vimeendelea kusonga mbele katika kushambulia na kuteka miji muhimu nchini Ukraine ambapo wanadai kuuteta mji wa Kherson...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022JESHI la Ukraine limedai kuua wanajeshi 5,840 wa Urusi tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hizo mbili siku saba zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda...
By Regina MkondeMarch 2, 2022WANANCHI wa wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wameeleza kufaidika na miradi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambayo inajenga...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022NI unyama ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mtoto Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane kudaiwa kutendewa ukatili wa kingono,...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022MWIMBAJI mwenye umbo la mbilikimo kutoka nchini Guinnea, Moussa Kaba maarufu kama Grand P amemvalisha pete mpenzi wake mwenye umbo matata raia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa Kwaresima wa mwaka 2022 ambao kwa sehemu kubwa umejikita kuzungumzia umuhimu wa upatanisho....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania wanaelezea ziara zilizofanywa na kiongozi mkuu wa Taifa hilo, Rais Samia Suluhu Hassan. Hivi karibuni, Rais Samia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa madini nchini kwa mwaka...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 2 Machi 2022, itasikiliza maombi ya kufungua kesi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu ICC inatarajia kuanza uchunguzi kuhusu uwezekano wa uhalifu wa kivita nchini Ukraine hali ambayo inatafsiriwa kumweka matatani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa kununua nyumba...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022WAKULIMA 22,000 waliopo kwenye Mradi wa Kilimo Himilivu cha Mtama (CSA), kutoka wilaya sita za mkoa wa Dodoma, wamefanikiwa kuingiza Sh. bilioni...
By Danson KaijageMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaacha huru Masheikh 15, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAMLAMKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Bei...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022TAASISI ya Vijana Wenye Ulemavu (YoWDO), imeIomba Serikali na jamii kwa ujumla, iondoe vikwazo vinavyosababisha kundi hilo lisishiriki kwenye shughuli za maendeleo...
By Regina MkondeMarch 1, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi anaamini watu wanaohoji na kupinga miradi inayoanza kutekelezwa hapa Zanzibar ni wapinzani wake. Anaripoti Jabir...
By Jabir IdrissaMarch 1, 2022MWANAHARAKATI wa kisiasa nchini Tanzania, Godlisten Malisa amezungumzia jinsi aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambavyo hakupaswa...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022MBAHARIA mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na Mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika...
By Danson KaijageMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022NAIBU Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dk. Godwin Mollel amekabidhi vifaatiba kwa ajili ya huduma za matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022BABA mzazi wa mfanyabiashara maarufu na mfadhiri wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), mzee Said Mohamed amefariki Dunia leo Jumanne tarehe...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022