Wednesday , 22 May 2024

Month: May 2024

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hukumu mahakama kuu yabatilishwa kesi State Oil, Equity Bank Tz

MAHAKAMA ya Rufani, jijini Dar es Salaam, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, ambayo iliipa ushindi kampuni ya State Oil dhidi ya benki...

AfyaKimataifaTangulizi

Waliowekewa damu yenye VVU, homa ya ini kulipwa fidia trilioni 32.9

Waziri mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameahidi kulipa fidia ya paundi bilioni 10 sawa na Sh 32.9 trilioni kwa watu waliowekewa damu yenye...

BiasharaElimu

Benki ya Exim yazindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’

  KATIKA juhudi za kuboresha teknolojia za kidijitali katika sekta ya elimu, Benki ya Exim imezindua huduma ya ‘Exim Smart Shule’ maarufu kama...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

SERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara – Kibamba uliofanyika mwaka 2017/2018, kuelewa kwamba Serikali ilitumia sheria...

Habari Mchanganyiko

Geita, Mwanza waongoza kwa mbwa

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema taarifa ya sampuli ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi iliyotolewa na Ofisi ya...

Biashara

Shinda mkwanja Meridianbet Kasino, ukicheza Expanse Tournament.

  LION Kingdom ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yenye safu tano zilizowekwa katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo. Ili...

Habari za Siasa

Watumishi 25,039, taasisi 65 wahamia Dodoma

Serikali imesema hadi sasa, jumla ya watumishi 25,039 kutoka Serikali kuu, Bunge, mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na taasisi 65 wameshahamia...

Biashara

NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa DSE

Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

  Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa utendaji mzuri unaochangia katika kukuza maendeleo ya Taifa....

Biashara

Shinda mgao wa Expanse Tournament ukicheza kasino mtandaoni

  Expanse Tournament kasino moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea kufanya vizuri mjini, inatoa zawadi kibao kama bonasi za kasino, mizunguko ya bure,...

Habari Mchanganyiko

Balozi Nchimbi aonya maofisa utumishi kuacha uonevu

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea...

Habari za SiasaKimataifa

Balozi Kasike ateta na mjumbe wa FRELIMO

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike leo Jumatatu amekutana na Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha...

Kimataifa

Zuma akwaa kisiki, mahakama yamzuia kuwani urais

Mahakama ya katiba nchini Afrika Kusini, katika uamuzi wake imesema rais wa zamani Jacob Zuma, haruhusiwi kisheria kushiriki uchaguzi mkuu wa nchi hiyo...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango atoa maelekezo 10 ya kuboresha sekta ya nyuki, awapongeza Maliasili

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya nyuki ili iweze...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuwafagilia njia wawekezaji sekta ya mawasiliano

  SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya wawekezaji ili kuongeza chachu katika maendeleo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Elimu ya utunzaji wa mazingira ipewe kipaumbele kwa watoto

  JAMII imetakiwa kuwajengea Watoto tabia ya utunzaji wa mazingira ili kuwa mabalozi wazuri baadae wa kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya tabia...

Kimataifa

Kiongozi Mkuu Iran amteua mrithi wa Rais Ebrahim

  KIONGOZI wa ngazi ya juu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amemteua makamu wa kwanza wa rais wa Iran, Mohammad Mokhber, kuwa rais...

Habari za Siasa

Watumishi 85,471 walioenguliwa kipindi cha JPM wapandishwa vyeo

SERIKALI imesema kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sasa jumla ya watumishi 375,904 wamepandishwa vyeo wakiwemo watumishi 85,471 walioathirika na zoezi la uhakiki...

KimataifaTangulizi

Rais Iran afariki kwa ajali ya helkopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na maofisa wengine wa serikali wamepatikana wakiwa wamefariki katika eneo...

Michezo

Unamalizaje ligi kama hujabeti na Meridianbet?

JUMAPILI ya leo tutashuhudia mitanange kibao ambayo itamalizika kuanzia kule Uingereza, Hispania na nyingine kibao. Huku Meridianbet wao wanakwambia piga pesa sasa huu...

Biashara

Sloti ya Wild 81 malipo kwa njia 81 Meridianbet kasino

Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sanaambao utakufurahisha. tapenda kupata jokers na alama zasiri kwenye safu kwani zinaweza kukuletea ushindi mkubwa. Ni...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yamteua Pele kuwa mgombea ubunge Kwahani

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh 38 bilioni zitakazotekeleza  Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project” ambao unalenga  kuongeza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha...

Habari Mchanganyiko

Balile ateuliwa rais wa wahariri Afrika Mashariki

Jumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kuwa Rais wa jumuiya hiyo kwa kipindi cha...

Biashara

Meridianbet watoa msaada wa chakula Chamazi

  JUMAMOSI ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wakazi wa hapo hasa kwa zile familia...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Uhifadhi kujengewa uwezo zaidi

  WIZARA ya Maliasili na Utalii imejipanga vyema kuendelea kulijengea uwezo Jeshi la Uhifadhi nchini kwa njia mbalimbali ikiwepo ya utowaji wa mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Wanavyuo Dodoma waonja utamu wa chimbo la nyuki

  TAMASHA la Chimbo la Nyuki lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, limechagiza vyema shamrashamra zinazoanza za Maadhimsho ya Siku ya...

Afya

Kambi ya matibabu ya kibingwa Ruangwa yaacha vilio, DC atoa ombi JAI

MKUU wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amefunga rasmi kambi maalumu ya Uchunguzi na Matibabu kwa Wakinamama iliyokua ikitoa huduma za matibabu ya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi anusurika kufungiwa, asema hatarudi nyuma

WAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na rasilimali zao licha ya uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumpa onyo...

Biashara

NMB ‘yafunga ndoa’ na wanawake wanaomiliki shule, vyuo Tanzania

BENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba na uzinduzi wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela

KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RUWASA yachongewa, yateketeza mamilioni kwa maji yenye magadi

SAKATA la ukosefu wa maji wilayani Momba mkoani Songwe limezidi kushika kasi baada Diwani wa Kata ya Ivuna – Bonde la Kamsamba, Erick...

Habari Mchanganyiko

DC – Kheri James awaasa wakandarasi umeme Iringa kuzingatia uweledi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wakandarasi wenye leseni za umeme Mkoani Iringa kufanya kazi kwa weledi katika kazi zao. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi...

Biashara

Cheza kasino sloti ya Fruit O Rama malipo unayapata kwa njia 10

Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilikayenye kutawaliwa na alama za matunda! Ukipanga alama hizikwa mfululizo kamili wa ushindi, utashinda zawadi zakushangaza....

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima...

Habari Mchanganyiko

Makamba awasili China kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba leo tarehe 16 Mei 2024 amewasili nchini China kuanza ziara ya...

Habari Mchanganyiko

Ethiopia yafungua njia ujenzi wa ubalozi Dodoma

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Ethiopia kwa kuweka historia kwa kuwa nchi ya kwanza kujenga majengo ya Ofisi na Makazi ya Balozi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia

ILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu kwa Watanzania, Kampuni ya Total Energies Tanzania imewekeza kiasi cha dola za Marekani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa Gas waanika mikakati kupunguza gharama za gesi ya kupikia

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas imefungua maduka 250...

Habari za SiasaTangulizi

Haya hapa majina walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali CHADEMA

CHAGUZI wa kanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeendelea kupamba moto baada ya Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe abadili mbinu ya kudai Katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Fremaan Mbowe amebadili mbinu ya kudai Katiba mpya kwa kuwataka Watanzania wote waamue kuingia barabarani kushinikiza kupatikana...

Habari MchanganyikoTangulizi

TMA yatoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga “Ialy”

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar....

Habari Mchanganyiko

DAWASA yamaliza kero ya maji Nyakahamba iliyodumu kwa miaka 5

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yatoa kauli wanaolala nje Hospitali ya Muhimbili

SERIKALI imesema inajipanga kushirikiana na sekta binafsi kujenga majengo yatakayosaidia wananchi wanaotoka mikoani kuja katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuuguza wagonjwa wao,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wizara yaomba bajeti ya Sh. 67.9 bilioni, wamachinga watengewa bilioni 10

BAJETI ya Wizara ya maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, kwa 2024/25, inatarajiwa kupungua kwa Sh. 6.3 bilioni, kutoka  Sh. 74.2...

Habari MchanganyikoTangulizi

Migogoro ya ndoa yaongezeka, Serikali yawaangukia viongozi wa dini

MIGOGORO ya ndoa na familia imeongezeka kwa asilimia 8.3  kutoka mashauri 28,773 yaliyosuluhishwa 2022/23 hadi kufikia 31,380 yaliyofanyiwa kazi 2023/24. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yahamasisha uanzishaji vituo vya kulea watoto wachanga

SERIKALI imewahimiza wananchi kujenga vituo vya kulelea watoto wadogo na wachanga ambao hawajafikia umri wa kupelekwa shule za awali ili kuwalinda wakati wazazi...

error: Content is protected !!