Thursday , 23 March 2023
Home sosi
768 Articles14 Comments
Michezo

Taasisi ya TKO na TFF yawapiga msasa makocha wa kike 54

WAKATI Soka la wasichana likichipua kwa kasi Taasisi ya Karibu Tanzania Organization ‘KTO’ na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imezidi kuchagiza...

Habari Mchanganyiko

Serikali yataka unafuu riba mikopo ya nyumba

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, ametoa wito kwa benki na taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lema kurejea Machi 3 na sumu ya kuangamiza chawa

  HATIMAYE Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ametangaza kurejea nchini tarehe 3 Machi 2023. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

  NDUGU wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu asisitiza Mahakama kutenda haki

  ZIKIWA zimebaki siku 12 kuelekea siku ya maadhimisho wa wiki ya sheria, Mahakama nchini Tanzania imesema itaendelea kutoa haki kwa wakati na...

Habari Mchanganyiko

Samia mgeni rasmi siku ya sheria, Jaji mkuu atoa ujumbe kwa mahakama

  ZIKIWA zimebaki siku 12 kuelekea siku ya maadhimisho wa wiki ya sheria, Mahakama nchini imesema itaendelea kutoa haki kwa wakati na kwa...

Habari Mchanganyiko

Baraza la ardhi Kinondoni laipiga ‘stop’ Manispaa kujenga eneo lenye mgogoro

BARAZA la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni limetoa amri ya zuio ya ujenzi wa Kituo cha Afya eneo la Tegeta ‘A’...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro yahukumiwa kulipa fidia ya Mil. 300/=

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro kulipa fidia ya Sh. 300 milioni baada ya moja...

Habari

ALAF watoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea Kiswahili

  WAKATI lugha ya Kiswahili ikizidi kuenea dunia Kampuni ya vifaa vya ujenzi ya ALAF pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Misitu hatarini kutoweka nchini

  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG), Charles Meshack amesema iwapo hakutakuwa na hatua madhubuti katika utunzaji na...

Habari Mchanganyiko

Mkaa endelevu wafanya mapinduzi Morogoro

  WANANCHI wa vijiji vya Lulongwe kata ya Matuli na kijiji cha Mlilingwa kata ya Tununguo, Wilaya ya Morogoro mkoani humo, wamesema Mradi...

Habari Mchanganyiko

Waandishi waaswa kuacha kuandika habari za kusifia pekee

  WAANDISHI wa Habari nchini wameaswa kuacha kuandika habari kusifia ilhali wananchi bado wanakabiliwa changamoto zinazokwamisha maendeleo yao. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

ElimuHabari Mchanganyiko

SUMAJKT yatoa msaada jozi 500 za viatu kwa wanafunzi vijijini

  SHIRIKA la Uzashaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT imekabidhi jozi 500 za viatu vya wanafunzi kwa ajili ya kusaidia kampeni...

Elimu

Wadau kupeana uzoefu ubunifu wa kiteknolojia

  WADAU wa ubunifu wa teknolojia katika masuala ya kilimo, fedha na elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu ili kukuza bunifu...

Michezo

Tanzania mwenyeji mashindano ya dunia ya urembo kwa viziwi

  TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo ya watu wenye tatizo la kusikia ‘viziwi’ (Miss & Mister...

Habari Mchanganyiko

Rungwe amuangukia Rais samia uhuru wa habari

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chauuma), Hashimu Rungwe amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuzifuta sheria zote kandamizi kwa vyombo vya...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda: Vyombo vya habari vikiwa huru vitaisaidia Serikali

  KATIBU Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema vyombo vya habari vikiwa huru vinaisaidia Serikali...

Afya

Waandishi wa habari wapewa wito kuondosha dhana potofu chanjo Uviko-19

  WAANDISHI wa Habari nchini Tanzania wamepewa wito wa kuishawishi jamii na kuondosha dhana potofu juu ya chanjo ya Ugonjwa wa uviko -19....

Michezo

Serikali yaja na mfuko wa kukopesha wasanii bila riba

  Serikali inatarajia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili ya kuwezesha wasanii wote nchini kupata fursa ya kukopa bila riba na kujikwamua kiuchumi pamoja...

Tangulizi

Kivuko chakwamisha wananchi Mafia zaidi ya siku tatu

  WANANCHI wilayani Mafia wameilalamikia kukosekana kwa huduma ya usafiri wa kuvuka kuingia na kutoka kisiwani humo kwa zaidi ya  siku tatu huku...

Habari za Siasa

Mtutura: Wabunge wa CCM wameonewa

KATIBU wa chama cha ACT-Wazalendo mkoa wa kichama Selou, Abdallah Mtutura amesema kitendo cha CCM kupeleka wabunge wasioweza kuwasema wananchi wao ni kuwaonea...

Kimataifa

Kampeni ya China dhidi ya Uyghurs ilivyoenea hadi Pakistan

KAMPENI ya China dhidi ya Wauyghur imesambaa katika mipaka yake, na kuwakumba mamia ya Wapakistani ambao wanailalamikia China kwenye masuala ya imani zao...

Habari za SiasaTangulizi

Selasini, wenzie wakaidi amri ya Mahakama, wafanya mkutano

  LICHA ya Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam kuweka amri ya zuio la muda la kutofanyika kwa mikutano ya Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mdee na wenzake rasmi kesho, Kibatala ajipanga kuwahoji

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam inatarajiwa kuanza kusikiliza rasmi shauri la kupinga kuvuliwa uanachama la Halima Mdee na wenzake 18...

Habari Mchanganyiko

LHRC: Katiba ya Kenya iwe darasa Tanzania

  WAKATI jirani zetu nchi ya Kenya wakimaliza uchaguzi wao , Ubora wa Katiba yao umetajwa kuwa sababu ya kutokuwa na machafuko licha...

HabariTangulizi

Kubenea ambwaga Makonda kesi ya ‘mchongo’

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imefuta hukumu iliyomtia hatiani aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo (2015-2020), Saed Kubenea...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Pakistan kinara wa unyanyasaji, utekaji na ubakaji wanawake

  WAKATI Dunia ikihubiri haki na usawa wa kijinsia huko nchini Pakistani wanawake wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia , kubakwa na kutekwa nyara....

HabariSiasaTangulizi

Mdee wenzake saba waitwa mahakamani kuhojiwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...

Tangulizi

TEF wakomalia mabadiliko sheria ya habari

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema kusudio la maboresho ya sheria za habari nchini, yanalenga kuwaondoa wanahabari na...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Halima Mdee na Wenzake kuanza kusikilizwa kesho

KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

  WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali...

Habari MchanganyikoMichezo

Mchengerwa: Bi Hindu ameacha alama

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammedi Mchengerwa amesema kifo cha muigizaji mkongwe Chuma Suleiman maarufu kama Bi Hindu kimeacha pengo kubwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mdee kusikilizwa siku 14 mfululizo

  HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Kina Mdee: Chadema yaondoa mapingamizi, shauri kuanza kusikilizwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara kortini kwa kuisababishia Serikali hasara Bil 10.5

  WAFANYABIASHARA watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa 13 yakiwamo kukwepa kodi iliyopelekea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata...

Habari Mchanganyiko

Uamuzi wa shauri la aliyedaiwa kujinyonga kituo cha Polisi lasogezwa mbele

  MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imeahirisha kutoa uamuzi juu ya maombi ya familia ya marehemu Stella Moses (30) aliyedaiwa kujinyonga kwenye kituo...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Asad: Katiba mpya muhimu, nchi imefunguka

ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini-CAG, Profesa Mussa Assad amesema licha ya kuwa kuna umuhimu wa kuwa na Katiba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kisena, wenzake 3 wafikishwa kizimbani na kusomewa mashtaka 33

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART), Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashataka 15 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Habari Mchanganyiko

Mbivu, mbichi shauri la Kubenea, Makonda Mei 18

  MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imepanga kutoa uamuzi tarehe 18 Mei 2022 juu ya maombi ya Mbunge wa zamani wa jimbo la...

Habari Mchanganyiko

SAG yaendeleza wema kwa yatima, yafuturu nao

  IKIWA  ni muendelezo wa kutenda mema Kampuni za Smart Africa Group (SAG) imefuturisha watoto yatima na waumini wengine kwenye mfungo wa mwezi...

Habari Mchanganyiko

SAG wafuturisha watoto yatima Mtambani

  KAMPUNI za Smart Africa Group (SAG) imetoa msaada wa vyakula na mafuta kwa ajili ya futari kwa watoto yatima wanaosoma kwenye shule...

Habari Mchanganyiko

Vodacom, Smart Lab kutumia Mil 500 kuwapa shavu wajasiriamali

  KAMPUNI ya ya Mawasiliano ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania pamoja na Smart Lab imezindua mpango maalam wa kuwawezesha wajasiriamali wadogo...

Michezo

Mchumba wa Maunda Zoro: Tulitarajia kufunga ndoa Julai

  MCHUMBA wa aliyekuwa Msanii wa Bongo fleva, Maunda Zoro ambaye amefariki dunia jana Kigamboni jijini Dar es Salaam, amefunguka kwamba alitarajia kufunga...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, China zajidili ushirikiano mifumo utoaji haki nchini

  WAZIRI wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania na kujadili kwa pamoja namna ya ushirikiano...

Afya

Hadhari ongezeko la saratani yatolewa Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania imewataka wananchi kujenga tabia ya kupima afya zao kwenye magonjwa yasiyoambukiza hususani saratani kutokana na idadi ya wagonjwa hao...

Habari MchanganyikoMichezo

Serikali yafuta ada leseni za Youtube kwa wasanii, wanamichezo, wanahabari, kicheko

  SERIKALI imetoa ahueni kwa vyombo vya habari vya mtandaoni kwa kupunguza malipo ya ada ya leseni ya mwaka na kuwaondolea ada watoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Video ya mahojiano Mke wa Bilionea Msuya, Polisi zakataliwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekataa kupokea kielelezo cha Tape iliyofikishwa mahakamani hapo na shahidi wa sita wa Jamhuri, Inspekta...

Kimataifa

Dawa mpya za kutibu Covid-19 hizi hapa

  TAASISI ya Usimamizi wa Dawa ya Ulaya – (EMA), imeidhinisha matumizi ya aina mbili za dawa za kutibu maradhi ya COVID-19, pamoja...

Habari Mchanganyiko

GGML yatoa mafunzo ya Covid-19 kwa waandishi wa habari 60 

KAMPUNI  ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita (GGML) kwa kushirikiana na Ofisiya Mkuu wa Mkoa huo, imetoa mafunzo kwa waandishi wa...

AfyaTangulizi

Wagonjwa wa Covid-19 waongezeka Tanzania

  WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....

error: Content is protected !!