Saturday , 27 April 2024
Home sosi
809 Articles18 Comments
Habari Mchanganyiko

Bosi Takukuru aomba kukiri makosa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, ameiomba Ofisi ya Mkurugenzi...

Habari za Siasa

Bwege: Msiichague CCM hali mbaya

SULEMAN Bungara Maarufu Bwege, Mgombea Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kwenye jimbo la Kilwa Kusini, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni kutokukipigia kura...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawatumia salamu watakaoiba kura

MWENYEKITI wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin  Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Kumwachia Lissu: Zitto amaliza utata

KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 22 Septemba 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina jinsi ispokuwa kuungana...

Habari za Siasa

Kasubi ataja vipaumbele akichaguliwa Mzimuni

BAKAR Kasubi, mgombea Udiwani wa Mzimuni Kinondoni, jijini Dar es  Salaam amawaeleza wananchi wa kata hiyo endapo watamchagua atahakikisha wananchi wanapata asilimia 10...

Habari za Siasa

Kubenea kumaliza tatizo la takataka Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni kupitia Act-Wazalendo ameahidi kumaliza changomoto ya uchafuzi wa mazingira kwa kuanzisha kiwanda kitachochakata takataka kuwa mbolea. Anaripori Faki...

Habari za Siasa

Rais Museveni atua Chato

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoa wa Geita na kupokewa na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, John...

Habari za Siasa

Lissu: Hatujidanganyi, uchaguzi huu mgumu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaaam…(endelea)....

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waja 50 kwa 50

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, endapo kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 20200, kitaweka usawa wa kijinsia...

Habari za Siasa

Membe awataka wananchi kumuuliza Magufuli maswali 4

BERNARD Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa Kilwa Mkoa wa Lindi, kuumuuliza maswali manne, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea)....

Habari za Siasa

Maalim Seif: CCM ijiandae kuondoka itake isitake

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimejiandaa kushika dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijiandae kuondoka ‘taka...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aeleza atakayofanya 2020-2025

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, misingi ya Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho 2020/25...

Habari za Siasa

Hakimu amvutia pumzi Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwama kuhudhuria kesi yake ya uchochezi namba 236/2017 na 123/2017...

Habari Mchanganyiko

Kitillya, wenzake: Faini Bil 1.5 au jela miezi sita

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi nchini Tanzania, imemhukumu Harry Kitillya, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Butiku awaonya wapinzani, wasimamizi wa uchaguzi

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevita vyama vya upinzani nchini Tanzania, kuacha kuipinga Serikali kwa kutumia maneno ya matusi na...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu awajibu wanaosema ameanza kampeni mapema

TUNDU Lissu, Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, madai yanayotolewa kuwa atapingwa kwa kufanya kampeni kabla ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mdhamini abanwa ampeleke Lissu mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempatia muda zaidi mdhamini wa Tundu Lissu ili amtafute na kumfikisha mahakamani baada ya...

Habari Mchanganyiko

Mwijaku arudi uraiani

MSANII wa maigizo Burton Mwambe (35) maarufu kwa jina la Mwijaku, sasa amerejea uraiani baada ya kukaa siku tano mahabusu. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Zitto amteua Membe kuwa mshauri mkuu ACT-Wazalendo

BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepewa cheo cha ‘mshauri wa chama’ hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Lissu kupenya Urais Chadema?

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio jina linalokita kwenye vichwa vya wengi kuhusu kupitishwa kwake kuwania urais...

Habari Mchanganyiko

Lissu aitwa mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhudhuria mahakamani...

Habari Mchanganyiko

Mwijaku kizimbani tuhuma za kusambaza picha za ngono

MSANII wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kusambaza...

Habari za Siasa

Kesi ya viongozi, wanachama 26 Chadema yakwama

KESI ya viongozi na wafuasi 26 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaokabiliwa na mashtaka saba yakiwamo kutoa lugha ya maudhi na...

Habari za Siasa

Ofisi ya Msajili: Mkapa ana historia ndani ya CUF

SISTY Nyahoza, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania amesema, Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya tatu ameacha mchango wake...

Habari za Siasa

Lipumba asimulia mwaka 1995 alivyoitwa Profesa uchwara

MWAKA 1995, niliitwa Profesa uchwara, zile sera za Chama cha Wananchi (CUF), sasa wanazitekeleza lakini wanashindwa kutekelza kwa ufasaha wake kwa kuwa sio...

Habari za Siasa

Membe: Tumepoteza mshauri masuala ya uchaguzi

BERNARD Kamilius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania amesema, kifo cha Rais mstaafu, Benjamin William Mkapa ni pigo kubwa...

Habari za Siasa

Zitto: Mnazo sababu za kuing’oa CCM

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewaeleza wanachama wa chama hicho Tunduru, Mtwara kwamba wanayo sababu ya kuing’oa CCM madarakani. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Maalim Seif ataja hasimu wake Uchaguzi Mkuu 2020

HASIMU wangu na wetu sisi Chama cha ACT-Wazalendo kwenye siasa si Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wala Chama cha NCCR-Mageuzi pia vyama...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajiondoa Chadema, ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Msajili hawezi kuifuta ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania amesema, msajili wa vyama vya siasa nchini humo...

Habari za Siasa

Makonda kujitosa ubunge, mjadala waibuka

HATUA ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge...

Habari Mchanganyiko

Wadhamini wa Lissu ngoma mbichi

WADHAMINI wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, wamegomewa maombi yao kwamba ‘Lissu akamatwe’ waliyoyafikisha katika Mahakama Kuu ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Habari Mchanganyiko

CCM haijatimiza ahadi ya uvuvi – Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wananchi kutoipa kura CCM kwa kuwa, imeshindwa kutimiza ahadi zake za mwaka 2015. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Askofu Gwajima, Abbas Tarimba wachukua fomu

MAKADA zaidi ya 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwemo Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, wamechukua fomu ya kuomba...

Tangulizi

Hivi ndivyo Sheikh Ponda alivyokamatwa msikitini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amekamatwa na polisi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Tukio la kukamatwa...

Habari za Siasa

Zitto amharibia JPM Kigoma

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemchomea utambi Rais John Magufuli kwamba, amewatupa watu wa Kigoma. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Sasa hivi wathubutu waone – Zitto

WIZI wa kura unaolalamikiwa wakati wa uchaguzi mkuu, sasa hautatokea kwa namna Chama cha ACT-Wazalendo kilivyojipanga Bara na Visiwani. Anaripoti Faki Sosi, Kasulu Kigoma...

Habari za Siasa

‘Maalim Seif, majimbo 34 tunachukua Z’bar’

MAALIM Seif Sharif Hamad atashinda urais wa Zanzibar na tuna uhakika wa kushinda majimbo 34 ya uchaguzi visiwani humo. Anaripoti Faki Sosi, Kigoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Kufuru ya Zitto Kusini, amtingisha Prof. Lipumba

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amkaribisha Membe ACT-Wazalendo

KIONGOZI Mkuu (KC) wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amemkaribisha rasmi mwanadiplomasia mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, kujiunga na chama...

Habari za Siasa

Msanii Vitalis Maembe ajiunga ACT-Wazalendo, atangaza kugombea Bagamoyo

VITALIS Maembe, Mwanamuziki na Mwanaharakati nchini Tanzania, amesema amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo kwa kuwa chama hicho kina misingi ya  kudai haki  na...

Habari za Siasa

Nyalandu: Nitafanya mabadiliko Tanzania, Chadema

LAZARO Nyalandu, mtia nia wa urais wa Tanzania ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, akipewa nafasi ya Rais wa Jamhuri...

Habari za SiasaTangulizi

Kugombea urais: Maalim Seif atua mzigo Z’bar

KITENDAWILI kwamba Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo atagombea urais visiwani Zanzibar, amekitegua leo. Anaripoti Faki Sosi, Zanzibar…(endelea). Amesema, kutokana...

Habari za Siasa

Afya ya Bwege yaimarika, aunganishwa na kina Zitto

SELEMAN Bungara maarufu Bwege, Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) amefikishwa Kituo cha Polisi cha Lindi Mjini akitokea Kilwa Masoko....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, wenzake wasafirishwa usiku kwa karandinga

JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi limemsafirisha usiku kwa usiku Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na wenzake kutoka Kilwa Masoko kwenda...

Tangulizi

Polisi wamkamata Zitto, Bwege

ESHI la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi, limemkamata Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama siasa cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa…(endelea) Zitto...

Habari za Siasa

Zitto aeleza walivyojipanga uchaguzi mkuu, kugombea ubunge

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuwa hakitasusia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Kupitisha jina ‘inategemea nimeamkaje?’

RAIS John Magufuli amewataka wateule wake walio na majukumu kutokimbilia majimboni kugombea, na kwamba kupitishwa kwa majina yao kunategemea ‘siku hiyo ataamkaje.’ Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Nafasi ya Gambo Arusha yajazwa

MKUU wa Mkoa wa Arusha sasa ni Idd Kimanta, ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli jijini Arusha. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea)....

error: Content is protected !!