Sunday , 19 May 2024

Month: December 2021

HabariTangulizi

Hotuba ya Rais Samia ya kuuaga mwaka 2021, kuukaribisha 2022

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2021, ametoa hotuba ya kuufunga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka mpya...

Kimataifa

Afrika Kusini yaondoa marufuku ya kutembea usiku

SERIKALI ya Afrika Kusini ambako ndiko aina mpya ya kirusi cha Corona (Omicron) ilianzia, imesema huenda wimbi la sasa la maambukizi limeshapita kilele...

Habari

Rais Samia atangaza neema 2022

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itautizama kwa umakini mwaka 2022 ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Tangulizi

Rais Samia azungumzia janga la UVIKO-19, chanjo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya virusi vya korona (UVIKO-19) na kujitokeza kupata chanjo. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Yanga yafunga mwaka kwa kishindo

  KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga mwaka 2021 kwa kishindo mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Lema kurejea Tanzania Machi 202

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Gobless Lema, wanatarajia kurudi nchini Tanzania kati...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amweka mtegoni Rais Samia kuhusu miradi ya JPM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aipige chini miradi ya...

Habari za Siasa

Lissu amuunga mkono Spika Ndugai

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alikosea kusema kuna siku...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi awakabidhi zigo la uchumi wa bluu Diaspora

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar wanaoishi nje ya nchi ‘Diaspora’, washirikiane na Serikali yake katika kuimarisha uchumi wa visiwa...

Habari za Siasa

Hashim Rungwe afunga mwaka na kilio cha katiba mpya

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amesema mwaka 2021 unaisha pasina kilio cha wananchi juu ya upatikanaji katiba...

Michezo

Kocha wa Simba amzungumzia Ajibu, amtakia kila la kheri

  KOCHA mkuu wa klabu ya Simba Pablo Martin amemtakiwa kila la kheri mchezaji Ibrahim Ajibu mara baada ya kujiunga na Azam Fc...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM yamkaanga Spika Ndugai

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umehoji kwa nini makelele juu ya Serikali kukopa fedha za utekelezaji miradi ya maendeleo,...

Habari Mchanganyiko

Polisi Tanzania: Tunaendelea kuchunguza tuhuma za Nabii Mwingira

  JESHI la Polisi Tanzania limesema, Kiongozi wa Kanisa la Efatha, Mtume na Nabii Josephat Mwingira alikwisha kufika na kuandika maelezo juu ya...

Habari za Siasa

CCM Mwanza: Kauli ya Ndugai ni ya kihuni

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, kimesema kauli iliyotolewa na Spika wa Bunge, Spika Job Ndugai, ya kuwa kuna siku nchi...

Habari MchanganyikoTangulizi

RPC Dar: Suala la Askofu Mwingira linashughulikiwa makao makuu

  SAKATA la kuhojiwa Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, juu ya madai yake ya kwamba alinusurika kuuawa na watu wa Serikali,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ajipanga upya, kurejea Tanzania

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, leo Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, anatarajiwa kuhutubia Taifa,...

Tangulizi

‘Hausiboi’ adaiwa kuua bosi wake

  JESHI la Polisi Mkoani wa Arusha, linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa), akituhumiwa kuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) mkazi wa Njiro...

Habari za Siasa

Spika Job Ndugai ‘kutimuliwa,’ wabunge CCM wanoa makucha

  NAFASI ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuendelea kukalia kiti hicho Bungeni iko shakani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Kesi ya Makonda yatinga kwa Jaji Mfawidhi

  MALALAMIKO dhidi ya Hakimu Mkazi wa Mahakama za Kinondoni na Kisutu, kugoma kufungua shauri la jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...

Michezo

Banda awagawa viongozi Simba

  UONGOZI wa klabu ya Simba pamoja na benchi la ufundi kwa sasa wapo katika wakati mgumu juu ya kuamua hatma ya mkataba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania walivyoonja machungu ya 2021

  MWAKA wa 2021, unaofika tamati leo Ijumaa ya tarehe 31 Desemba, umeacha machungu katika maisha ya Watanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Nabii Mwingira pasua kichwa, Polisi yasema…

  SAKATA la Kiongozi wa Kanisa la Efatha nchini Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi...

Tangulizi

Charles Hilary ateuliwa Ikulu Z’bar

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji mkongwe nchini, Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wamkalia ‘kooni’ Spika Ndugai

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko: Msitishwe na wapiga dili migodini

  WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amewataka wachimbaji wadogo wa dhahabu wasitishwe na vyeo vya watu wanaofika katika maeneo yao ya migodi...

Michezo

Djuma Shaban hati hati kuikosa Dodoma Jiji

  MLINZI wa kulia wa klabu ya Yanga Raia wa Jamhuri ya Congo, Djuma Shaban yupo hati hati kuukosa mchezo wa Ligi Kuu...

Michezo

Ajibu avunja mkataba na simba, aibukia Azam FC

  KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu amejiunga rasmi na matajiri wa jiji la Dar es Salaam, klabu ya...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya DIT-ICB yazinduliwa, wahadhiri wanaotaka kustaafu…

  MWENYEKITI wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Richard Masika ameruhusu wakufunzi waliofikia umri wa kustaafu kuendelea kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kuanika mikakati ya Chadema 2022

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, ataitaja mikakati ya chama hicho kuelekea 2022, kesho tarehe...

Michezo

Vita kinara wa mabao Ligi Kuu

  WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kupamba moto, kwa kupigwa michezo 11 kwa baadhi ya timu, vita nyingine imeibuka katika kutafuta mfungaji...

MichezoTangulizi

Kagere, Wawa, Banda wavunjiwa mikataba Simba

  KLABU ya soka ya Simba imevunja mikataba ya nyota wake wanne wa kigeni wakiwemo mastaa wao aliokuwa tegemeo katika kikosi hicho kwa...

Michezo

Mshery achukua mikoba ya Diarra Yanga

  KLABU ya Soka ya Yanga imemtangaza rasmi mlinda mlango Aboutwalib Hamidu Mshery kama usajili mpya ndani ya klabu hiyo akitokea kwenye kikosi...

HabariTangulizi

Polisi yazungumzia sakata la Nabii Mwingira

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limesema, linaendele na uchunguzi dhidi ya tuhuma mbalimbali zilizotolewa na Kiongozi...

Habari Mchanganyiko

RC Dar awashukia watumishi Tanroads wanaoficha taarifa za miradi

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewataka watumishi wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), kuacha tabia ya kuficha taarifa...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Uhamiaji: Tumejipanga kuelekea 2022

  JESHI la Uhamiaji nchini Tanzania, limesema limejipanga kutoa huduma bora kwa wananchi, pamoja na kudhibiti matukio ya uhamiaji kinyume cha sheria, katika...

Habari za Siasa

Waliokufukuzwa CUF wamkumbusha Msajili, yeye awajibu

  WALIOKUWA wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), wamehoji ukimya wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, juu ya...

Michezo

Diarra awapa wakati mgumu Yanga

  WAKATI mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga Djigui Diarra akitimka kwa ajili ya kujiunga na kambi ya Timu ya taifa...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza azichambua kauli za Rais Samia, Spika Ndugai

  ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amezungumzia kauli za viongozi wawili,...

Habari za Siasa

Majaliwa akoshwa ujenzi wa madarasa Lindi, mamilioni yabaki

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa madarasa yanayotokana na fedha za maendeleo mkoani Lindi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serukamba amvaa Spika Ndugai

  MBUNGE wa zamani wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuacha kupotisha umma kuhusu mkopo...

Habari MchanganyikoTangulizi

TRC yazungumzia gharama ujenzi reli ya kisasa

  SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema gharama inayotumika kujenga reli ya kisasa (SGR), ni ndogo ikilinganishwa na za nchi nyingine. Anaripoti Regina...

Michezo

Chama uso kwa uso na Simba, kombe la Shirikisho

  Clatous Chama Raia wa Zambia akiwa na kikosi cha RS Berkane atakutana uso kwa uso na timu yake ya Zamani ya Simba...

HabariTangulizi

Vifo vilivyoitikisa dunia 2021

  HATIMAYE zimesalia siku tatu 2021 kufika ukingoni usiku wa Ijumaa, tarehe 31 Desemba mwaka huu, huku dunia ikitikiswa na vifo vya watu...

Kimataifa

Askofu Desmond Tutu kuzikwa Januari Mosi

  Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini na mwanaharakati wa muda mrefu dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tutaendelea kukopa, tumalize miradi yote

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itaendelea kukopa mikopo ya masharti nafuu ili kuendeleza na kuanzisha miradi mingine mipya...

MichezoTangulizi

Geita Gold FC yanasa mkataba mnono wa Sh milioni 500

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML imeidhamini Klabu ya soka ya Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa thamani ya Sh...

Habari za Siasa

Rais Samia aitangazia neema TOT

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, ameelekeza kutatuliwa kwa changamoto zinazoikabili Bendi ya Tanzania...

KimataifaMichezo

Defao afariki dunia

  Nguli wa muziki wa Rhumba kutoka Congo, Général Defao (63) amefariki dunia nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza. Anaripoti Mwandishi Wetu  … (endelea). Defao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Mwingira kikaangoni, apewa saa 24

  JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeagiza Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, ahojiwe ndani ya saa 24...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mwenyekiti mpya NEC

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteua viongozi mbalimbali, akiwemo Jaji Jacob Casthom Mwambegele, aliyemteua kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...

error: Content is protected !!